Inawezekana Millard Ayo anaingiza pesa nyingi kuliko Diamond Platnumz?

Jana nilikuwa kanisani mchungaji kasema acha kudandia hbr na taarifa zizizo kuhusu unapoteza muda
 
Ingawa mond amekuwa na kelele nyingi sana kuhusu kipato chake na kutushawishi kabisa kwamba inawezekana ndiye kijana ambaye ana utajiri mkubwa kuliko wote hapa TZ.

Lakini ukimya wa milard ni wa kutilia mashaka sana,hajawahi kusema popote kwamba analipwa mshahara mkubwa kuliko mkurugenzi wa CMG[emoji1][emoji1],mpaka kusaga mwenyewe alipohojiwa.hii ni dalili kwamba mambo mengi kayaficha sana.

By the way Mungu aendelee kuwabariki zaidi na zaidi,na wawe milango ya mafanikio ya wengine wengi pia.
 
Duh kwahyo Millard alikuwa na mshahara mkubwa kuliko Ruge??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…