Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Afya siyo jambo la muungano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zanzibar halipo akifa mtu kwa Corona wanasema ni corona hakuna kuficha ficha kama TanganyikaFuteni neno changamoto za upumuaji
Zanzibar hakuna mkanganyiko labda huko Tanganyika kwenye Tabia za kuficha takwimu na UgonjwaNi mkanyagano tu!
Corona ipo Tanzania tena corona sugu tofauti na Corona zingine huko mataifa ya mbali kama Pakistan india Brazil ambapo corona inaua watu kama nzigeSaa 2 zilizopita jirani yangu anayeniuziaga bia mdada grosari amedondoka mbele yetu na kufa kwa kudai anashindwa kupumua. Hatujapeleka mwili mochwari.
Cha kushangaza... Tangu Mwinyi alivyotangaza Meko hajulikani alipo...Wanaojua masuala ya uongozi wa nchi zetu Zanzibar na Tanganyika wanisaidie juu ya haya Mawasiliano baina ya Marais wetu Dk. Hussein Mwinyi na Dk. Magufuli (Tanzania).
Nijuavyo ni kwamba Muungano wetu ni wa nchi moja ndani ya Serikali mbili. Uamuzi wa Rais Magufuli unaathiri maeneo yote ya nchi kwa maana ya Zanzibar na Bara kwa ujumla.
Swali langu, Rais Magufuli anaamini hakuna Covid-19 isipokuwa kuna "changamoto ya upumuaji" na ndio maana hapendekezi uvaaji wa barakoa kupambana na janga hilo.
Rais Mwinyi ameweka hadharani kuwa Zanzibar kuna Covid, inaua watu na inaua uchumi wa Zanzibar na kutaka wananchi kuchukua tahadhari. Je, Magufuli hawezi kumuadhibu Mwinyi kwa nini atangaze uwepo wa Corona ndani ya nchi ya Tanzania na si changamoto ya upumuaji?
Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Dk. Abbas anasema, "hatujasema Tanzania hakuna korona'! Watanzania tushike lipi na la nani? Kwa nini kabla ya kuzungumza masuala ya Kitaifa pakawepo Mawasiliano na uamuzi wa pamoja?
Nawasilisha!
... zile nguo za kivita angezivaa kwa ajili ya vita dhidi ya korona ingependeza zaidi ... maana vita dhidi ya korona inaleta kauhalisia zaidi kuliko ile vita ingine feki!Utawala wa jiwe hauvuki bahari. Yake ni Danganyika tu. Na anatudanganya kwelikweli.
Nchi mbili tofautiWanaojua masuala ya uongozi wa nchi zetu Zanzibar na Tanganyika wanisaidie juu ya haya Mawasiliano baina ya Marais wetu Dk. Hussein Mwinyi na Dk. Magufuli (Tanzania).
Nijuavyo ni kwamba Muungano wetu ni wa nchi moja ndani ya Serikali mbili. Uamuzi wa Rais Magufuli unaathiri maeneo yote ya nchi kwa maana ya Zanzibar na Bara kwa ujumla.
Swali langu, Rais Magufuli anaamini hakuna Covid-19 isipokuwa kuna "changamoto ya upumuaji" na ndio maana hapendekezi uvaaji wa barakoa kupambana na janga hilo.
Rais Mwinyi ameweka hadharani kuwa Zanzibar kuna Covid, inaua watu na inaua uchumi wa Zanzibar na kutaka wananchi kuchukua tahadhari. Je, Magufuli hawezi kumuadhibu Mwinyi kwa nini atangaze uwepo wa Corona ndani ya nchi ya Tanzania na si changamoto ya upumuaji?
Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Dk. Abbas anasema, "hatujasema Tanzania hakuna korona'! Watanzania tushike lipi na la nani? Kwa nini kabla ya kuzungumza masuala ya Kitaifa pakawepo Mawasiliano na uamuzi wa pamoja?
Nawasilisha!
Zanzibar wana bahati ya kuwa na kiongozi mwenye busaraWanaojua masuala ya uongozi wa nchi zetu Zanzibar na Tanganyika wanisaidie juu ya haya Mawasiliano baina ya Marais wetu Dk. Hussein Mwinyi na Dk. Magufuli (Tanzania).
Nijuavyo ni kwamba Muungano wetu ni wa nchi moja ndani ya Serikali mbili. Uamuzi wa Rais Magufuli unaathiri maeneo yote ya nchi kwa maana ya Zanzibar na Bara kwa ujumla.
Swali langu, Rais Magufuli anaamini hakuna Covid-19 isipokuwa kuna "changamoto ya upumuaji" na ndio maana hapendekezi uvaaji wa barakoa kupambana na janga hilo.
Rais Mwinyi ameweka hadharani kuwa Zanzibar kuna Covid, inaua watu na inaua uchumi wa Zanzibar na kutaka wananchi kuchukua tahadhari. Je, Magufuli hawezi kumuadhibu Mwinyi kwa nini atangaze uwepo wa Corona ndani ya nchi ya Tanzania na si changamoto ya upumuaji?
Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Dk. Abbas anasema, "hatujasema Tanzania hakuna korona'! Watanzania tushike lipi na la nani? Kwa nini kabla ya kuzungumza masuala ya Kitaifa pakawepo Mawasiliano na uamuzi wa pamoja?
Nawasilisha!
Viongozi wote wawili wanakula Samaki sana ila nahisi samaki wa Ziwa Victoria sana viwango vikubwa cha Madini ya Zebaki kutokana na shughuli za uchimbaji wa Zahabu kwenye maeneo ya kando kando ya ZiwaZanzibar wana bahati ya kuwa na kiongozi mwenye busara
Na nchi yake ina waislamu tupuLazima Mwinyi atafute pakutokea dhidi ya chanjo ambayo bila kupata hakuna Mzanzibari atakaye enda kuhiji Saudi Arabia
Swali la kipumbavu, siyo saizi ya Great ThinkerMkuu Rais ni binadamu kama wengine kwahiyo hawa watu wanautashi wa tofauti na imani za tofauti.
Ni kuulize swali mtoa Maada, je wewe unaona COVID-19 ipo au haipo?