Inawezekana Rais Mwinyi na Magufuli hawawasiliani katika uongozi?

Wanaojua masuala ya uongozi wa nchi zetu Zanzibar na Tanganyika wanisaidie juu ya haya Mawasiliano baina ya Marais wetu Dk. Hussein Mwinyi na Dk. Magufuli (Tanzania).

Nijuavyo ni kwamba Muungano wetu ni wa nchi moja ndani ya Serikali mbili. Uamuzi wa Rais Magufuli unaathiri maeneo yote ya nchi kwa maana ya Zanzibar na Bara kwa ujumla.

Swali langu, Rais Magufuli anaamini hakuna Covid-19 isipokuwa kuna "changamoto ya upumuaji" na ndio maana hapendekezi uvaaji wa barakoa kupambana na janga hilo.

Rais Mwinyi ameweka hadharani kuwa Zanzibar kuna Covid, inaua watu na inaua uchumi wa Zanzibar na kutaka wananchi kuchukua tahadhari. Je, Magufuli hawezi kumuadhibu Mwinyi kwa nini atangaze uwepo wa Corona ndani ya nchi ya Tanzania na si changamoto ya upumuaji?

Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Dk. Abbas anasema, "hatujasema Tanzania hakuna korona'! Watanzania tushike lipi na la nani? Kwa nini kabla ya kuzungumza masuala ya Kitaifa pakawepo Mawasiliano na uamuzi wa pamoja?

Nawasilisha!

Nizuia kuendele kusoma ulichoandika mara tu niliposoma mstari wako huo hapo hapo niliouweka kwa rangi tafauti.
1. Muungano wetu ni wa nchi mbili na sio moja. Tananyika na Zanzibar ni nchi mbili.
2. Uamuzi wa Magufuli unathiri baadhi tu ya maeneo ya nchi. Mfano mzuri sana ni mishahara ya wafanyakazi, kama hii leo Magufuli akipandisha mishahara ya wafanya kazi wa Tanzania, basi ni wafanyakazi wa JWTZ na waajiriwa wa moja kwa moja na serikali ya Tanzania tu (kama ofisi ya mambo ya nchi za nje) ndio wanapandishiwa mishahara yao. Polisi, daktari, mwalimu n.k. mishahara yao haipandi. Mfano mwengine ni kuwa rais wa tanzania hawezi kumnegua uwaziri waziri yeyote yule wa serikali ya zanzibar.
 
Muong mkubwa ww si ndio nyie mlisem kapita kwa kumwaga damu leo mnasema mzuri angal kipindi cha chaguzi mlimktaa
Kumkataa ilikuwa ni haki yetu maana hatukumchagua lakini hilo halitunyimi sisi kumsema kwa mazuri anayoyafanya
 
Wanaojua masuala ya uongozi wa nchi zetu Zanzibar na Tanganyika wanisaidie juu ya haya Mawasiliano baina ya Marais wetu Dk. Hussein Mwinyi na Dk. Magufuli (Tanzania).

Nijuavyo ni kwamba Muungano wetu ni wa nchi moja ndani ya Serikali mbili. Uamuzi wa Rais Magufuli unaathiri maeneo yote ya nchi kwa maana ya Zanzibar na Bara kwa ujumla.

Swali langu, Rais Magufuli anaamini hakuna Covid-19 isipokuwa kuna "changamoto ya upumuaji" na ndio maana hapendekezi uvaaji wa barakoa kupambana na janga hilo.

Rais Mwinyi ameweka hadharani kuwa Zanzibar kuna Covid, inaua watu na inaua uchumi wa Zanzibar na kutaka wananchi kuchukua tahadhari. Je, Magufuli hawezi kumuadhibu Mwinyi kwa nini atangaze uwepo wa Corona ndani ya nchi ya Tanzania na si changamoto ya upumuaji?

Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Dk. Abbas anasema, "hatujasema Tanzania hakuna korona'! Watanzania tushike lipi na la nani? Kwa nini kabla ya kuzungumza masuala ya Kitaifa pakawepo Mawasiliano na uamuzi wa pamoja?

Nawasilisha!
Mmoja anakimbia na mwingine anatembea, je unadhani mwendo wao utafanana?
 
Nijuavyo ni kwamba Muungano wetu ni wa nchi moja ndani ya Serikali mbili. Uamuzi wa Rais Magufuli unaathiri maeneo yote ya nchi kwa maana ya Zanzibar na Bara kwa ujumla.
Nchi moja inawezaje kuungana yenyewe kwa yenyewe na kutengeneza serikali mbili? Au ulimaanisha " ni Utengano wa nchi moja kutengeneza serikali mbili"
 
Mwinyi ana uwezo wa kuagiza mgao wa covax wa Zanzibar uletwe?
 
Kama kawaida, akili kisoda!! Unazungumzia mamlaka na mleta mada anazungumzia mawasiliano na kuwa na meseji moja!!

Haiwezekani kila kinachosemwa kuhusu jambo moja ni sahihi. Kuna uwezekano wa kimoja kati ya vyote ni ukweli na vingine ni uongo au vyote ni uongo! Tafakari!!
🤐
 
CCM inaikalia Zanzibar kwa mabavu!!
 
Wanaojua masuala ya uongozi wa nchi zetu Zanzibar na Tanganyika wanisaidie juu ya haya Mawasiliano baina ya Marais wetu Dk. Hussein Mwinyi na Dk. Magufuli (Tanzania).

Nijuavyo ni kwamba Muungano wetu ni wa nchi moja ndani ya Serikali mbili. Uamuzi wa Rais Magufuli unaathiri maeneo yote ya nchi kwa maana ya Zanzibar na Bara kwa ujumla.

Swali langu, Rais Magufuli anaamini hakuna Covid-19 isipokuwa kuna "changamoto ya upumuaji" na ndio maana hapendekezi uvaaji wa barakoa kupambana na janga hilo.

Rais Mwinyi ameweka hadharani kuwa Zanzibar kuna Covid, inaua watu na inaua uchumi wa Zanzibar na kutaka wananchi kuchukua tahadhari. Je, Magufuli hawezi kumuadhibu Mwinyi kwa nini atangaze uwepo wa Corona ndani ya nchi ya Tanzania na si changamoto ya upumuaji?

Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Dk. Abbas anasema, "hatujasema Tanzania hakuna korona'! Watanzania tushike lipi na la nani? Kwa nini kabla ya kuzungumza masuala ya Kitaifa pakawepo Mawasiliano na uamuzi wa pamoja?

Nawasilisha!
Elewa kwamba Zanzibar ni nchi huru na mipaka yake inajulikana! Mwulize mzee Mizengo Kayanza Peter Pinda mpaka akimwaga machozi alipojidai kusema Zanzibar siyo nchi! Mwisho wa Magufuli ni kisiwa cha Tumbe!!
 
Ninamheshimu sana Mh. Rais Dkt Hussein Mwinyi. Mwenye busara, akili na maarifa ya uongozi. Ninakuhakikishia Zanzibar itabadilika kila eneo. Take my words. Yaani sijui Wazanzibari walipitia kwa Mungu yupi mpaka akapatikana Hussein Mwinyi. Ataponyedha majeraha yote Zanzibar.
Mwenyezi Mungu awasaidie kwani walidhurumiwa kwa muda mrefu sana
 
Muong mkubwa ww si ndio nyie mlisem kapita kwa kumwaga damu leo mnasema mzuri angal kipindi cha chaguzi mlimktaa
Duuu. Mimi hapa au? Haitatokea hata siku moja niongee hasi kwa Hussein Mwinyi. Kifupi hayupo kiongozi mwenye busara na maarifa kama Hussein. Hana skendo, well raised public and family man. The Best President for Zanzibar na ninatamani awe wa Mainland kabisa. Anastahili na anaweza na ameonesha dunia kuwa he is the right choice for the Zanzibarians. Zanzibar next 5 years will be a total overhaul country. Sema jingine.
 
Elewa kwamba Zanzibar ni nchi huru na mipaka yake inajulikana! Mwulize mzee Mizengo Kayanza Peter Pinda mpaka akimwaga machozi alipojidai kusema Zanzibar siyo nchi! Mwisho wa Magufuli ni kisiwa cha Tumbe!!

Mwinyi anaweza kuagiza chanjo ya Covid-19 kwa ajili ya Zanzibar akitaka?
 
Wanaojua masuala ya uongozi wa nchi zetu Zanzibar na Tanganyika wanisaidie juu ya haya Mawasiliano baina ya Marais wetu Dk. Hussein Mwinyi na Dk. Magufuli (Tanzania).

Nijuavyo ni kwamba Muungano wetu ni wa nchi moja ndani ya Serikali mbili. Uamuzi wa Rais Magufuli unaathiri maeneo yote ya nchi kwa maana ya Zanzibar na Bara kwa ujumla.

Swali langu, Rais Magufuli anaamini hakuna Covid-19 isipokuwa kuna "changamoto ya upumuaji" na ndio maana hapendekezi uvaaji wa barakoa kupambana na janga hilo.

Rais Mwinyi ameweka hadharani kuwa Zanzibar kuna Covid, inaua watu na inaua uchumi wa Zanzibar na kutaka wananchi kuchukua tahadhari. Je, Magufuli hawezi kumuadhibu Mwinyi kwa nini atangaze uwepo wa Corona ndani ya nchi ya Tanzania na si changamoto ya upumuaji?

Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Dk. Abbas anasema, "hatujasema Tanzania hakuna korona'! Watanzania tushike lipi na la nani? Kwa nini kabla ya kuzungumza masuala ya Kitaifa pakawepo Mawasiliano na uamuzi wa pamoja?

Nawasilisha!
Swali fikirishi je wewe huamini km kuna covid-19,'change'ni wewe chukua hatua
 
Mwinyi anaweza kuagiza chanjo ya Covid-19 kwa ajili ya Zanzibar akitaka?
Suala la Afya siyo moja katib ya masuala ya Muungano. Wako FREE kuagiza chanjo wakitaka, kama hawajaagiza labda masuala ya BAJETI
 
Back
Top Bottom