Inawezekana Rais Mwinyi na Magufuli hawawasiliani katika uongozi?

Dr Hussein Mwinyi ni Daktari wa Binadamu kwa hiyo hawezi
kudanganya kuwa hakuna ugonjwa huku watu wanakufa kwa wingi wala hawezi kuupa majina ya ajabu, kama Changamoto ya kupumua au pneumonia kali, ugonjwa unaojulikana.

Kwa hili sidhani itakuwa rahisi Magufuli kumuadhibu Mwinyi kwa kutangaza kuwa Zanzibar ina Covid-19 kwa sababu inawezekana Chato kukawa na ugonjwa fulani Mtwara usiwepo vinginevyo amuadhibu Rais Uhuru maana Kenya ina ugonjwa Tanzania haina na Kenya iko karibu zaidi na Bara kuliko Zanzibar.

Rais Mwinyi anafanya mambo mengi mazuri kwa Zanzibar ya kuigwa kwa hiyo wajinga wa CCM Bara wanaweza wakajaribu kumuadhibu kama walivyomfanyia Jumbe kwa kuchafua hali ya hewa. Yajayo Zanzibar yatafurahisha Bara!
Shida ya dikteta ana amini katika akili yake pekee
 
Wanaojua masuala ya uongozi wa nchi zetu Zanzibar na Tanganyika wanisaidie juu ya haya Mawasiliano baina ya Marais wetu Dk. Hussein Mwinyi na Dk. Magufuli (Tanzania).

Nijuavyo ni kwamba Muungano wetu ni wa nchi moja ndani ya Serikali mbili. Uamuzi wa Rais Magufuli unaathiri maeneo yote ya nchi kwa maana ya Zanzibar na Bara kwa ujumla.

Swali langu, Rais Magufuli anaamini hakuna Covid-19 isipokuwa kuna "changamoto ya upumuaji" na ndio maana hapendekezi uvaaji wa barakoa kupambana na janga hilo.

Rais Mwinyi ameweka hadharani kuwa Zanzibar kuna Covid, inaua watu na inaua uchumi wa Zanzibar na kutaka wananchi kuchukua tahadhari. Je, Magufuli hawezi kumuadhibu Mwinyi kwa nini atangaze uwepo wa Corona ndani ya nchi ya Tanzania na si changamoto ya upumuaji?

Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Dk. Abbas anasema, "hatujasema Tanzania hakuna korona'! Watanzania tushike lipi na la nani? Kwa nini kabla ya kuzungumza masuala ya Kitaifa pakawepo Mawasiliano na uamuzi wa pamoja?

Nawasilisha!
Viongozi kutowasiliana hapa TZ ni kawaida sasa... unakumbuka suala la cheti cha kuzaliwa na ndoa!? Mwakyembe alitamka kama leo, kwamba huna cheti cha kuzaliwa hufungi ndoa, kesho yake tu bwana mkubwa akafuta hiyo kauli na akasema inawezekana hata Mwakyembe mwenyewe hana hicho cheti cha kuzaliwa....
Hata suala la Mahindi kuzaliwa kuingia Kenya kule Holili, mkuu wa mkoa anasema hatujazuiliwa na waziri wa chakula anasema tumezuiliwa ila tunalishughirikia
 
Wanaojua masuala ya uongozi wa nchi zetu Zanzibar na Tanganyika wanisaidie juu ya haya Mawasiliano baina ya Marais wetu Dk. Hussein Mwinyi na Dk. Magufuli (Tanzania).

Nijuavyo ni kwamba Muungano wetu ni wa nchi moja ndani ya Serikali mbili. Uamuzi wa Rais Magufuli unaathiri maeneo yote ya nchi kwa maana ya Zanzibar na Bara kwa ujumla.

Swali langu, Rais Magufuli anaamini hakuna Covid-19 isipokuwa kuna "changamoto ya upumuaji" na ndio maana hapendekezi uvaaji wa barakoa kupambana na janga hilo.

Rais Mwinyi ameweka hadharani kuwa Zanzibar kuna Covid, inaua watu na inaua uchumi wa Zanzibar na kutaka wananchi kuchukua tahadhari. Je, Magufuli hawezi kumuadhibu Mwinyi kwa nini atangaze uwepo wa Corona ndani ya nchi ya Tanzania na si changamoto ya upumuaji?

Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Dk. Abbas anasema, "hatujasema Tanzania hakuna korona'! Watanzania tushike lipi na la nani? Kwa nini kabla ya kuzungumza masuala ya Kitaifa pakawepo Mawasiliano na uamuzi wa pamoja?

Nawasilisha!
Mwinyi anaiga kutoka kwa Uhuru badala ya kufuata maelekezo ya dikteta
 
MHESHIMIWA RAIS ALISEMA WATU WACHUKUE TAHADHARI JAMANI NA PIA HILI SWALA LIPO NGAZI YA JAMII NA FAMILIA KWA HIYO TUCHUKUE TAHADHARI.KWA UPANDE WA ZANZIBAR NAO WANACHUKUA TAHADHARI . KWENYE SUALA LA MAJANGA HATUWEZI KUFANANA DUNIA NZIMA NAMNA YA KUPAMBANA NAYO.KILA NCHI INA NJIA ZAKE.KAMA MKUU WA NCHI YEYE ANATAKIWA KUTUTULIZA SIYO KUTUPA TAHARUKI NA HILO AMELIFANYA.
 
TUENDELEE KUFANYA ZOEZI NA KULA MBOGA MBOGA NA MATUNDA ILI KUONGEZA KINGA YA MWILI USISAHAU KULA SAA NANE
 
Wanaojua masuala ya uongozi wa nchi zetu Zanzibar na Tanganyika wanisaidie juu ya haya Mawasiliano baina ya Marais wetu Dk. Hussein Mwinyi na Dk. Magufuli (Tanzania).

Nijuavyo ni kwamba Muungano wetu ni wa nchi moja ndani ya Serikali mbili. Uamuzi wa Rais Magufuli unaathiri maeneo yote ya nchi kwa maana ya Zanzibar na Bara kwa ujumla.

Swali langu, Rais Magufuli anaamini hakuna Covid-19 isipokuwa kuna "changamoto ya upumuaji" na ndio maana hapendekezi uvaaji wa barakoa kupambana na janga hilo.

Rais Mwinyi ameweka hadharani kuwa Zanzibar kuna Covid, inaua watu na inaua uchumi wa Zanzibar na kutaka wananchi kuchukua tahadhari. Je, Magufuli hawezi kumuadhibu Mwinyi kwa nini atangaze uwepo wa Corona ndani ya nchi ya Tanzania na si changamoto ya upumuaji?

Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Dk. Abbas anasema, "hatujasema Tanzania hakuna korona'! Watanzania tushike lipi na la nani? Kwa nini kabla ya kuzungumza masuala ya Kitaifa pakawepo Mawasiliano na uamuzi wa pamoja?

Nawasilisha!
Wewe ni mpuuzi! Mara nyingi JPM amesema kuna covid watu wajikinge. Hivi kama huna cha kuandika kaa kimya
 
Lini kasema? Ameruhusu kupima lini? Na wapimaji alisha warejesha kazini?

Tuwe na kumbukumbu za matukio.
 
Mshika usukani anayeendesha gari la Tanganyika ni mwizi wa PhD na mshirikina. Wakati yule wa kule ktkt ya bahari ni mcha Mungu na msomi tena wa fani ya udaktari
Hata wa baharini nae ni mwizi 😄
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Wanaojua masuala ya uongozi wa nchi zetu Zanzibar na Tanganyika wanisaidie juu ya haya Mawasiliano baina ya Marais wetu Dk. Hussein Mwinyi na Dk. Magufuli (Tanzania).

Nijuavyo ni kwamba Muungano wetu ni wa nchi moja ndani ya Serikali mbili. Uamuzi wa Rais Magufuli unaathiri maeneo yote ya nchi kwa maana ya Zanzibar na Bara kwa ujumla.

Swali langu, Rais Magufuli anaamini hakuna Covid-19 isipokuwa kuna "changamoto ya upumuaji" na ndio maana hapendekezi uvaaji wa barakoa kupambana na janga hilo.

Rais Mwinyi ameweka hadharani kuwa Zanzibar kuna Covid, inaua watu na inaua uchumi wa Zanzibar na kutaka wananchi kuchukua tahadhari. Je, Magufuli hawezi kumuadhibu Mwinyi kwa nini atangaze uwepo wa Corona ndani ya nchi ya Tanzania na si changamoto ya upumuaji?

Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Dk. Abbas anasema, "hatujasema Tanzania hakuna korona'! Watanzania tushike lipi na la nani? Kwa nini kabla ya kuzungumza masuala ya Kitaifa pakawepo Mawasiliano na uamuzi wa pamoja?

Nawasilisha!

"Nyeusi ni nyeusi hata ufanyeje kamwe haiwezi kuwa nyeupe"

"Corona ni Corona--------"
 
Zanzibar ina bendera yake, wimbo wa taifa lake, ni nchi inayojitegemea.

Mlitaka afe nani zaidi ya Makamu wa kwanza wa raisi aliyejitangaza mwenyewe kuwa ana korona ndo nchi itangaze rasmi?

Bara wamekufa wengi ila hawasemi chochote, naamini ipo siku mambo ya gizani yataonekana nuruni na kila mtu ataona.
 
Umejuaje ni mcha Mungu?
Mshika usukani anayeendesha gari la Tanganyika ni mwizi wa PhD na mshirikina. Wakati yule wa kule ktkt ya bahari ni mcha Mungu na msomi tena wa fani ya udaktari
 
Saa 2 zilizopita jirani yangu anayeniuziaga bia mdada grosari amedondoka mbele yetu na kufa kwa kudai anashindwa kupumua. Hatujapeleka mwili mochwari.
Poleni sana
 
Wanaojua masuala ya uongozi wa nchi zetu Zanzibar na Tanganyika wanisaidie juu ya haya Mawasiliano baina ya Marais wetu Dk. Hussein Mwinyi na Dk. Magufuli (Tanzania).

Nijuavyo ni kwamba Muungano wetu ni wa nchi moja ndani ya Serikali mbili. Uamuzi wa Rais Magufuli unaathiri maeneo yote ya nchi kwa maana ya Zanzibar na Bara kwa ujumla.

Swali langu, Rais Magufuli anaamini hakuna Covid-19 isipokuwa kuna "changamoto ya upumuaji" na ndio maana hapendekezi uvaaji wa barakoa kupambana na janga hilo.

Rais Mwinyi ameweka hadharani kuwa Zanzibar kuna Covid, inaua watu na inaua uchumi wa Zanzibar na kutaka wananchi kuchukua tahadhari. Je, Magufuli hawezi kumuadhibu Mwinyi kwa nini atangaze uwepo wa Corona ndani ya nchi ya Tanzania na si changamoto ya upumuaji?

Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Dk. Abbas anasema, "hatujasema Tanzania hakuna korona'! Watanzania tushike lipi na la nani? Kwa nini kabla ya kuzungumza masuala ya Kitaifa pakawepo Mawasiliano na uamuzi wa pamoja?

Nawasilisha!
Tanganyika na Zanzibar zote ni nchi huru.Rais Mwinyi ametimiza wajibu wake wa kikatiba kutoa tamko kwa RAIA wake/Wazanzibar.
Tujiulize kama Tanganyika ni kisiwa hata tujiapize kwamba hakuna COVID-19?Kwa nini serikali yetu Tukufu ya Tanganyika/Tanzania haitoi tamko kama hilo la kuuambia umma kuwa Corona ipo na inaua wazee wetu kwa wingi na tuchukue tahadhari za kujikinga,kuchanjwa na kupatiwa vipimo na kuwatibu walioambukizwa kwa kufuata miongozo ya WHO?
Je,kuna namna siku moja ya kuwafidia Wananchi waliopoteza Ndugu/jamaa na marafiki kwa uzembe wa kutokutoa tahadhari au ukosefu wa vitendea kazi okozi kwa waliougua COVID-19 ambayo tunaambiwa haipo?
 
Back
Top Bottom