Ni hivi, hizo ni private number na zinalipiwa TRA.
Hata wewe kama una gari 5 na zote unataka kuweka jina lako (Rrondo) ni pesa yako tu
Chief, kwani hujui kinachoendelea minazini?Kwamba sheria inataka isiwe applied kwao..!?
HahaaaaUkienda polisi na wao watakushangaa umepata wapi ujasiri wa kureport jambo hilo.
Nimekuwa nikiona magari mengi tofauti yana namba za usajili T2020 JPM, nauliza je hii ni namba halali kwa magari haya?
Nimeona magari zaidi ya 10 yana namba hii. Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii?
Mfano limesababisha ajali nikienda polisi nikiwatajia namba hii watajua ni ipi kati ya hizo nyingi zinazotumia namba hii?
Cc: Mkuu wa usalama barabarani.
Anakemea uvunjaji wa sheria, ambao umekithiri...Utashindana na Rais wewe?
Haitakiwi namba zifanane hebu acha upimbi...Ni hivi, hizo ni private number na zinalipiwa TRA.
Hata wewe kama una gari 5 na zote unataka kuweka jina lako (Rrondo) ni pesa yako tu
Si kwa mtindo huu. Tofauti ya registration lazima iwepo.Ni hivi, hizo ni private number na zinalipiwa TRA.
Hata wewe kama una gari 5 na zote unataka kuweka jina lako (Rrondo) ni pesa yako tu
Mkuu ungejaribu hata kupitia komenti kwanza za wengine ungeongeza maarifa kidogoMkuu huyu hajawahi kumiliki gari hawezikujua hizo special vehicle plate number na zinavyooperate!
Umeandika Kimakua auInamaana unajifanya hujui magari hayo ni ya nani ba tana kazi gani?
Akili za kimalaya hizi, kwahiyo sheria ipo chini ya Rais??Utashindana na Rais wewe?
Hujaelewa concept.Ni hivi, hizo ni private number na zinalipiwa TRA.
Hata wewe kama una gari 5 na zote unataka kuweka jina lako (Rrondo) ni pesa yako tu
Kabisaa...walipie..?hahaha..wazee wa kijani walipie?Ni hivi, hizo ni private number na zinalipiwa TRA.
Hata wewe kama una gari 5 na zote unataka kuweka jina lako (Rrondo) ni pesa yako tu
Nimeona had gari za CDM kwenye msafara wa lissu zimeandikwa LISSU NI YEYE so wote wale wale tuMkuu gari mbili haziwezi kuwa na namba moja.
Za hawa jamaa hata mikoa mbali mbali namba hiyo hiyo.
Uvunjaji sheria za nchi wa wazi sembuse kwa sheria, kanuni au taratibu za uchaguzi walizoweka wao?
Aibu kwake 'kubwa jinga bwana manoti' hapo kwenye tume na njaa zako zilizo pitiliza.
Disgusting!
...Kwanini wafuasi na Vibaraka wa CCM wote Wana akili za kuokoteza?
Palipoandikwa "Lissu Ni Yeye" hakuna number yoyote pale. Inaonekana hujui hata maana ya plate number! Jinga kabisa.
Zipo za CDM piaHii nchi polisi wanajuaga sheria ikiwa ni upinzani tu, ukiwa CCM unaweza kufanya lolote. Huku Tabata yamejaa kuanzia la mgombea ubunge Segerea, madiwani na mashabiki.
...Kila siku tunapiga kelele kuhusu Serikali hii na CCM yake wanafanya mambo ya kipuuzi yaliyo kinyume cha Sheria lakini hakuna hatua inayochukuliwa. Imagine hayo magari yangekuwa yameandikwa Lissu au Rungwe unadhani yangeruhusiwa kupita Barabarani?
Mkuu,huyo uliyemjibu ni sukule.Mkuu ungejaribu hata kupitia komenti kwanza za wengine ungeongeza maarifa kidogo
Hiyo unayoita “ Special Vehicle Plate Number” tumeelezea mbona?? Namba spesho na namba maalum nadhani ndo unaziongelea. Na sheria yake iliyobadilishwa kuruhusu namba maalum imewekwa hapo juu