Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

Hapo umehitimisha mjadala. Ila kuna wabishi watakuja tu na hoja pingamizi.
 
Hahah hio namba ni specific kwa kampeni season. Inalipiwa laki na nusu na si 10M mjomba.
Kuna mjomba hapo[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]amesema kuna hio fee ya Tsh. Ya 150,000,sikua nimewahi kuisikia kabla.
Kimsingi ilipaswa iwe hivyo lakini pengine kuna punguzo kwenye taasisi
 
Ongeza cc TRA ndio wenye jukumu la kusajili na kupokea mapato stahili yanayohusiana na usajili.
 
u
Kuna mjomba hapo[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]amesema kuna hio fee ya Tsh. Ya 150,000,sikua nimewahi kuisikia kabla.
itakuwa ni mkono wa baunsa umetype πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ fee ni laki 5
 
Najiuliza tu, wale wapenzi na washabiki wa Lissu wakitaka kuweka T 2020 TAL wataruhusiwa? Manake kusiwe na double standard!!
Hapo jibu utakalopewa ni rahisi tu,bado tuko kwny D huko kwny T hatujafika na usituchanganye kabisa.

Ila hapohapo usiniulize kama tumeshafikia kwny J.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…