Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Kuongea fact ni kashfa?Kashfa ni nini mpaka iwe haipaswi kuongelewa?Jadili mada acha kashfa mkuu.
Mambo ya campaign hayo sema ukileta umandazi unahukumiwa kwa namba halisi ya chombo.
Kibao cha JPM2020 unavesha juu ya kibao halisi.Mkuu tatizo linaanzia kwenye kuripoti Polis,unaenda Polisi na kuwaambia Gari iliyo nigonga ni T2020JPM Polisi watang'amua vipi wakati Namba zina fanana ?
Mamlaka halali haipaswi kukosolewa na kukashifiwa?Kwani tupo katika utawala wa kifalme?Ila maoni yako yasiwe kukashifu mamlaka halali.
Ila maoni yako yasiwe kukashifu mamlaka halali.
Tujadili namba za haya magari mkuu. Hayo mengine yapo kule jukwaa la siasa.Kinacho jadiliwa hapa ni kweli na Ushahidi umewekwa ,ile Katuni ina ujumbe mzuri sana juu ya Bwana mkubwa.Hata Katiba hii na mapungufu yake yote inaamini Mtu mwenye cheo cha Ukuu wa Nchi hawezi kufanya/kuamua kila kitu yeye tu.
Kibao cha JPM2020 unavesha juu ya kibao halisi.
Tujadili namba za haya magari mkuu. Hayo mengine yapo kule jukwaa la siasa.
Duh hii inaonesha si kila mtu analipiaNi wazi hujaziona nyingi. Kuna za showroom fulani zimewekwa hio namba.
Sidhani. Wengi wanafuata mkumbo wanabandika tu.Hisia zangu zinanituma kubaya. Wakati wa uchaguzi hizi gari zaweza kutumika kufanya uhalifu mfano kupora box la kura. Ikaiwia ngumu kulitofautisha.
Polisi chukueni hatua kupiga marufuku
Unaniita CCM mbona nimelileta humu?Hili la Namba za Magari kwa Namba moja (inayo fanana) kutumiwa/kutumika katika Magari tofauti ni kosa ,ila kwa Sababu CCM ndio mmeshika mpini ni sawa tu.Kwa wenye Akili tunasema mnavunja Sheria.
Utashindana na Rais wewe?
Hii inatokana na matatizo ya ubongo wa baadhi ya wanadamu.Huku Mbeya hadi gari la matangazo analotumia Tulia lina namba hiyo hiyo T2020 JPM