Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

Hili la Namba za Magari kwa Namba moja (inayo fanana) kutumiwa/kutumika katika Magari tofauti ni kosa ,ila kwa Sababu CCM ndio mmeshika mpini ni sawa tu.Kwa wenye Akili tunasema mnavunja Sheria.
Mbona yapoya cdm
images%20(44).jpg

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Ni hivi, hizo ni private number na zinalipiwa TRA.
Hata wewe kama una gari 5 na zote unataka kuweka jina lako (Rrondo) ni pesa yako tu
SAFI SANA, WATU WENGINE WANAJIFANYA HAWAJUI MAMBO YA PRIVATE NUMBERS[emoji109][emoji109][emoji109] wananifanya niwaone washamba.
 
Hii nchi polisi wanajuaga sheria ikiwa ni upinzani tu, ukiwa CCM unaweza kufanya lolote. Huku Tabata yamejaa kuanzia la mgombea ubunge Segerea, madiwani na mashabiki.
Private NUMBERS hizo, na wewe kaandike zako tlp ruhusa kutoka T.R.A
 
Nimeona had gari za CDM kwenye msafara wa lissu zimeandikwa LISSU NI YEYE so wote wale wale tu

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app

CDM bado hawajaanza kuiga. Tutakapoanza kuiga tutawataarifu.

Kwani hadi sasa umeshasikia wapi jiwe au bomu limerushwa? Si mngali mnarusha nyie bado?

Mkitufikisha mnakotaka tuwaige tutawataarifu. Beberu anasema: "stay tuned."
 
Basi wewe sio mfuatiliaji
Unataka kusema hujawahi yaona magari yenye kibao hichi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Ejqs0VaWoAABBQo.jpg

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
SAFI SANA, WATU WENGINE WANAJIFANYA HAWAJUI MAMBO YA PRIVATE NUMBERS[emoji109][emoji109][emoji109] wananifanya niwaone washamba.
Angalia wewe na huyo mwenzio msije kuwa ndio washamba.
 
Ni hivi, hizo ni private number na zinalipiwa TRA.
Hata wewe kama una gari 5 na zote unataka kuweka jina lako (Rrondo) ni pesa yako tu
Kama usajili ndio huwa unakuwa hivyo Basi sioni haja gari kuwa na namba.Magari kumi kuwa na namba moja Ni sawasawa na watahiniwa kumi kuwa na namba moja ya mtihani.
 
SAFI SANA, WATU WENGINE WANAJIFANYA HAWAJUI MAMBO YA PRIVATE NUMBERS[emoji109][emoji109][emoji109] wananifanya niwaone washamba.
We hujielewi.. kama mwenye magari hayo anaitwa swamy, huwezi andika magari zaidi ya moja swamy, swamy, swamy... lazima utatofautishiwa... mfano swamy 1, swamy 2, swamy 3 etc... Acha kujitoa akili... Kuwka namba moja kwenye magari zaidi ya moja, ni sawa na kutokuwa na namba tu..
 
We hujielewi.. kama mwenye magari hayo anaitwa swamy, huwezi andika magari zaidi ya moja swamy, swamy, swamy... lazima utatofautishiwa... mfano swany 1, swamy 2, swamy 3 etc... Acha kujitoa akili
Kalipe hela t.r.a uone kama hawakupatii ruhusa.
 
Private NUMBERS hizo, na wewe kaandike zako tlp ruhusa kutoka T.R.A
Sikiliza, private number tunazijua. Inaweza kuwa hata SWAMY ila ni ya gari yako wewe tu. Sio gari ya kila mtu kwenye ukoo itumie namba hio. Hii tunayoisema hapa inatumiwa na watu kibao kuanzia mwenye VX V8 hadi Vits. Hio 'private number' ina maana gani kama namba hio hio anatumia kila anaejisikia?! Hata namba yangu T***AAA hakuna anaetumia zaidi yangu na sio private number!
 
Back
Top Bottom