Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

Hayo ni mambo ya kale, maarifa wazee wetu walikuwa nayo miaka hiyo. Sasa hivi vijana hawajui hayo mambo na wanaona ni kama uchawi. 😂😂😂😂

Hata vita vya maji maji, wajerumani walishindwa sema kuficha aibu wakasema wao ndiyo walishinda, ila kiundani sisi tulishinda na ile dawa ya kugeuza risasi kuwa maji ilifanya kazi kweli.
 
Chai
Tuna Mzee wetu hapa tunamuuguza kwa muda mrefu miaka mitatu sasa tunampambania nae alipata tatizo kupalalalaizi mpaka sana yupo ICU hali yake sio nzuri miguu yake imeanza kuoza

Imenibidi kuandika thread hii humu sababu siku mbili hizi tumepigiwa simu huko kijijini kwamba Mzee wetu twende huko kijijini wanafamilia wote tukafanye mambo ya Mila twende na kondoo wawili inasemekana Mzee wetu Kuna miti miwili ndio aliweka roho yake

Kwahiyo tutaendelea kupoteza muda kumuuguza atakufa mpaka aoze mwili wote inatubidi tuende tukafanye mambo ya Mila maana tukimuacha aoze mwili mzima ndio afe hali hiyo itakuja kumkuta mwanafamilia
Chai
 
Nahitaji ushauri siwezi kuandika vitu ambavyo havipo ili kuchangamsha genge mama yangu miaka hiyo nyuma alishaondoka alikuwa ananiambia nilikuwa baba yako Kuna vitu alimeza sababu Kijiji Kijiji chao kulikuwa na wachawi wanamaliza watu kwahiyo ilibidi ajikinge asiuawe kishirikins maneno haya aliyokuwa akinimbia nilikuwa siyazingatii mimi nilikuwa nazani kama utani sasa ndio nakumbuka jambo hili
 
Tuna Mzee wetu hapa tunamuuguza kwa muda mrefu miaka mitatu sasa tunampambania nae alipata tatizo kuparalalaizi mpaka sana yupo ICU hali yake sio nzuri miguu yake imeanza kuoza

Imenibidi kuandika thread hii humu sababu siku mbili hizi tumepigiwa simu huko kijijini kwamba Mzee wetu twende huko kijijini wanafamilia wote tukafanye mambo ya Mila twende na kondoo wawili inasemekana Mzee wetu Kuna miti miwili ndio aliweka roho yake

Kwahiyo tutaendelea kupoteza muda kumuuguza atakufa mpaka aoze mwili wote inatubidi tuende tukafanye mambo ya Mila maana tukimuacha aoze mwili mzima ndio afe hali hiyo itakuja kumkuta mwanafamilia
Angeweka roho yake kwenye hela
 
Kuna wazee nilishaonaga ishu kama hii sema wengi ninaowajua ni wale kitu kinatupwa kwenye paa ya nyumba anatolewa nje baadae akirudishwa anakata roho akiwa ndani ya nyumba na hiko kitu kinatolewa au wengine ndo hadi paa litobolewe mwanga umpige akiwa humohumo ndani ya nyumba ya mti sijashuhudia bado.......sema hao wazee wengi wanakuaga wamefanyiwa mazindiko mazito ndo maana kufa inakua sio rahisi
 
Nahitaji ushauri siwezi kuandika vitu ambavyo havipo ili kuchangamsha genge mama yangu miaka hiyo nyuma alishaondoka alikuwa ananiambia nilikuwa baba yako Kuna vitu alimeza sababu Kijiji Kijiji chao kulikuwa na wachawi wanamaliza watu kwahiyo ilibidi ajikinge asiuawe kishirikins maneno haya aliyokuwa akinimbia nilikuwa siyazingatii mimi nilikuwa nazani kama utani sasa ndio nakumbuka jambo hili
Aisee
 
Umeamini?
We usiyeamini usiombe yakukute, huko kwetu ipo dawa mtu akiitumia hafi mpaka apigwe mwale wa jua kutokea kwenye paa, yaani mtauguza mpaka atatoa funza kichwa kinaongea tu. Inabidi mtoboe bati au kama ni nyumba ya nyasi mnazitoa usawa wa alipolala jua likipenya ndio anaweza kufa kawaida. Hii sikusimuliwa nilijionea kabisa mtu mpaka anaoza hawezi kusogea lakini anaongea kawaida kabisa.
 
Back
Top Bottom