leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 563
- 2,198
Haongei lakini kila ukoo una wakubwa na wanajua mengi ya mila na utamaduni wa huko kwenu, ongeeni nao watawasaidiaAongei ndio mana ndugu wametupigia simu tufanye hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haongei lakini kila ukoo una wakubwa na wanajua mengi ya mila na utamaduni wa huko kwenu, ongeeni nao watawasaidiaAongei ndio mana ndugu wametupigia simu tufanye hivyo
Haya ni mazindiko ya kiafrika, roho haikai kwenye mti ila anafanya zindiko anaungana na ule mti ukitaka kumuua ni mpaka ule mti ufe kwanza. Hizi zilitumika kama kinga enzi zile watu wanatekwa maporini safari za miguu hamna magari. Zipo nyingi ambazo nimewahi kuziona in action ni kama;Roho wanawekaje kwenye miti? Hapo ndo nachanganyikiwa kabisa!
Hizi zipo mkuu tembea ujionee dunia imebeba mengi..Umeamini?
SahihiHaya ni mazindiko ya kiafrika, roho haikai kwenye mti ila anafanya zindiko anaungana na ule mti ukitaka kumuua ni mpaka ule mti ufe kwanza. Hizi zilitumika kama kinga enzi zile watu wanatekwa maporini safari za miguu hamna magari. Zipo nyingi ambazo nimewahi kuziona in action ni kama;
1. Dawa ya mbio- hii kulikuwa na jambazi sugu wanamtafuta kila wakija akitoka mbio hata mbwa hawafati hiyo speed ya jamaa.
2. Kukosekana kwenye hatari- hii mtu akija akudhuru anakuwa hakuoni, walihangaika na huyo mtu mpaka wakaamua kuua mwanae kwa hasira baada ya kumkosa muhusika kila wakati.
3. Dawa ya kurusha ngumi- hii ukimpiga mtu ngumi anazikwa, inafanya kazi pale tu unapokuwa unaonewa lakini ukianzisha ukorofi utapigwa kama ngoma.
4. Dawa ya kurusha jiwe au fimbo - hii kama mtu kakukimbia na huwezi mpata basi ukichukua kitu chochote ukarushia uelekeo wake humkosi, hata awe mbali wa viwanja 3 vya mpira.
Na zingine kibao kwa nyie watoto wa miaka ya 90 na 2000 hamuwezi elewa.
Ulimwengu huu ni mpana sana!Roho wanawekaje kwenye miti? Hapo ndo nachanganyikiwa kabisa!
Nendeni, hao waliowapigia simu wanajua, sasa wanawaonea huruma ndio maana wanawaambia muende msije mkafilisika na bado mgonjwa asipone!Tuna Mzee wetu hapa tunamuuguza kwa muda mrefu miaka mitatu sasa tunampambania nae alipata tatizo kuparalalaizi mpaka sana yupo ICU hali yake sio nzuri miguu yake imeanza kuoza
Imenibidi kuandika thread hii humu sababu siku mbili hizi tumepigiwa simu huko kijijini kwamba Mzee wetu twende huko kijijini wanafamilia wote tukafanye mambo ya Mila twende na kondoo wawili inasemekana Mzee wetu Kuna miti miwili ndio aliweka roho yake
Kwahiyo tutaendelea kupoteza muda kumuuguza atakufa mpaka aoze mwili wote inatubidi tuende tukafanye mambo ya Mila maana tukimuacha aoze mwili mzima ndio afe hali hiyo itakuja kumkuta mwanafamilia
Kuna mwamba kpnd nipo mdogo alikua mwizi, na alikua akikamatwa akipigwa hafi, watu wanakata panga inaonekana kaumia ila kumbe wanakata gogo! Wanamwacha hapo kama kazirai hivi kesho yake mwamba anadunda.Haya ni mazindiko ya kiafrika, roho haikai kwenye mti ila anafanya zindiko anaungana na ule mti ukitaka kumuua ni mpaka ule mti ufe kwanza. Hizi zilitumika kama kinga enzi zile watu wanatekwa maporini safari za miguu hamna magari. Zipo nyingi ambazo nimewahi kuziona in action ni kama;
1. Dawa ya mbio- hii kulikuwa na jambazi sugu wanamtafuta kila wakija akitoka mbio hata mbwa hawafati hiyo speed ya jamaa.
2. Kukosekana kwenye hatari- hii mtu akija akudhuru anakuwa hakuoni, walihangaika na huyo mtu mpaka wakaamua kuua mwanae kwa hasira baada ya kumkosa muhusika kila wakati.
3. Dawa ya kurusha ngumi- hii ukimpiga mtu ngumi anazikwa, inafanya kazi pale tu unapokuwa unaonewa lakini ukianzisha ukorofi utapigwa kama ngoma.
4. Dawa ya kurusha jiwe au fimbo - hii kama mtu kakukimbia na huwezi mpata basi ukichukua kitu chochote ukarushia uelekeo wake humkosi, hata awe mbali wa viwanja 3 vya mpira.
Na zingine kibao kwa nyie watoto wa miaka ya 90 na 2000 hamuwezi elewa.
Hizi mambo kweli zipo sema, ndo ivo siku hizi kama vile haziamniki, mm sijawahi shuhudia na kuona zinafanyikaje ila kipnd nipo mdogo ilikua sio jambo la ajabu kuskia...Haya ni mazindiko ya kiafrika, roho haikai kwenye mti ila anafanya zindiko anaungana na ule mti ukitaka kumuua ni mpaka ule mti ufe kwanza. Hizi zilitumika kama kinga enzi zile watu wanatekwa maporini safari za miguu hamna magari. Zipo nyingi ambazo nimewahi kuziona in action ni kama;
1. Dawa ya mbio- hii kulikuwa na jambazi sugu wanamtafuta kila wakija akitoka mbio hata mbwa hawafati hiyo speed ya jamaa.
2. Kukosekana kwenye hatari- hii mtu akija akudhuru anakuwa hakuoni, walihangaika na huyo mtu mpaka wakaamua kuua mwanae kwa hasira baada ya kumkosa muhusika kila wakati.
3. Dawa ya kurusha ngumi- hii ukimpiga mtu ngumi anazikwa, inafanya kazi pale tu unapokuwa unaonewa lakini ukianzisha ukorofi utapigwa kama ngoma.
4. Dawa ya kurusha jiwe au fimbo - hii kama mtu kakukimbia na huwezi mpata basi ukichukua kitu chochote ukarushia uelekeo wake humkosi, hata awe mbali wa viwanja 3 vya mpira.
Na zingine kibao kwa nyie watoto wa miaka ya 90 na 2000 hamuwezi elewa.
Kuna mwamba kpnd nipo mdogo alikua mwizi, na alikua akikamatwa akipigwa hafi, watu wanakata panga inaonekana kaumia ila kumbe wanakata gogo! Wanamwacha hapo kama kazirai hivi kesho yake mwamba anadunda.
Nishawahi kusikia hii, kuna wengine ni mpka uwaanike juani ndo wakate motoTuna Mzee wetu hapa tunamuuguza kwa muda mrefu miaka mitatu sasa tunampambania nae alipata tatizo kuparalalaizi mpaka sana yupo ICU hali yake sio nzuri miguu yake imeanza kuoza
Imenibidi kuandika thread hii humu sababu siku mbili hizi tumepigiwa simu huko kijijini kwamba Mzee wetu twende huko kijijini wanafamilia wote tukafanye mambo ya Mila twende na kondoo wawili inasemekana Mzee wetu Kuna miti miwili ndio aliweka roho yake
Kwahiyo tutaendelea kupoteza muda kumuuguza atakufa mpaka aoze mwili wote inatubidi tuende tukafanye mambo ya Mila maana tukimuacha aoze mwili mzima ndio afe hali hiyo itakuja kumkuta mwanafamilia
Mm mwenyewe nashangaa mbona hawapo sku hizi? Ujue hiyo ni fursa kabisa? Au ilikua ni nguvu za mwili na matambiko?Hii nilishuhudia pia jamaa mwizi Kaishapigwa zaidi ya mara 8 minadani na hafi akiumizwa analazwa hospital tu anatoroka anarudi zake kujiuguzia ghetto siku kadhaa anarudi job😀😀
Walikuwa wanahirizi miliini mwao ili mumue mpaka mmchane muiondoe,na wezi wengi walikuwa ivyo aswa usukumani ndo balaaMm mwenyewe nashangaa mbona hawapo sku hizi? Ujue hiyo ni fursa kabisa? Au ilikua ni nguvu za mwili na matambiko?
Hakuna ajabu yoyote ila ni elimu, hio haina tofauti na uhai uliofichwa kwenye sindano na vidonge kwani usipochomwa au kumeza unakufa na ukitumia unapona.Teknolojia zetu waafrika zimekaa kiajabu ajabu hata kujifunza mtu unajikuta unaogopa,hiyo noma roho ipo kwenye mti dah...
Mimi naamini kwa 100%Tuna Mzee wetu hapa tunamuuguza kwa muda mrefu miaka mitatu sasa tunampambania nae alipata tatizo kuparalalaizi mpaka sana yupo ICU hali yake sio nzuri miguu yake imeanza kuoza
Imenibidi kuandika thread hii humu sababu siku mbili hizi tumepigiwa simu huko kijijini kwamba Mzee wetu twende huko kijijini wanafamilia wote tukafanye mambo ya Mila twende na kondoo wawili inasemekana Mzee wetu Kuna miti miwili ndio aliweka roho yake
Kwahiyo tutaendelea kupoteza muda kumuuguza atakufa mpaka aoze mwili wote inatubidi tuende tukafanye mambo ya Mila maana tukimuacha aoze mwili mzima ndio afe hali hiyo itakuja kumkuta mwanafamilia
Zama hizi si wazee tu au wenye umri mkubwa.Hiyo ipo hasa kwa watu wenye umri mkubwa ni mambo ya dawa za asili mara nyingi anachukuliwa mgonjwa husika anawekwa ndani alafu sehem ya paa inatobolewa kidogo anapigwa na ule mwaga wa jua akiwa ndani hapo ndio anakata roho vingnevyo ataoza na harufu juu
Weweeee.....Zama hizi si wazee tu au wenye umri mkubwa.
Hata rika la balekhe wanafanyiwa.
Yesu....🙆♂️Mimi naamini kwa 100%
Kwetu Mpimbwe huko Katavi wilaya ya Tanganyika mila hii ipo.
Sio mti tu, kuna maji, mnyama, mmea, shallow graves n.k.
So sishangai huyo ndugu yako kusema hayo.
Mie mwenyewe siku nikiamua kuzindika mwili wangu, naenda tu home kwa bibi, mambo yanakuwa safi.
Sema masharti yake ndio yananishinda
Kule kwetu, ukishaanza kujitambua tu, unaweza fanyiwaWeweeee.....
Sema kweli...😳