Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Kweli, hakuna jipya chini ya jua!Kabisa kama zombie mpaka jua ndo afe zile muv kuna idea wanachukua sehemu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli, hakuna jipya chini ya jua!Kabisa kama zombie mpaka jua ndo afe zile muv kuna idea wanachukua sehemu.
Tunajenga kwa pesa zetu za ndani kumbe alikuwa anatupiga na kukopa kimya kimyaAngeweka roho kwenye miti leo tusingekua na majanga yafuatayo
1)Chawa wa mama,
2)Deni ni stahimilivu,
3)Mama amekomesha mafisadi,
4)Mama:kuna watu wanaiba pesa za serikali,
5)Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake,
6)Garama za vifurushi,
7)Chadema kugeuka CCM ndogo, (wanatumika kutuhadaa wananchi huku ccm ikitafuna nchi kwa amani)
8)Chanjo za corona
9)Dp world
Mengine utaongeza na wewe
Daah.... Sasa km anakuwa bado anaongea si unamuacha akae milele?We usiyeamini usiombe yakukute, huko kwetu ipo dawa mtu akiitumia hafi mpaka apigwe mwale wa jua kutokea kwenye paa, yaani mtauguza mpaka atatoa funza kichwa kinaongea tu. Inabidi mtoboe bati au kama ni nyumba ya nyasi mnazitoa usawa wa alipolala jua likipenya ndio anaweza kufa kawaida. Hii sikusimuliwa nilijionea kabisa mtu mpaka anaoza hawezi kusogea lakini anaongea kawaida kabisa.
Nilishashuhudia huu utopolo. Mtu katafunwa na kansa ya jicho, jicho lote limeng'oka limebaki shimo tu ukiangalia hata ubongo unaweza kuuona halafu shimo liko infected limeoza lakini jamaa hafi. Mpaka madaktari wanashangaa kwa sababu hali aliyokuwa nayo ni ile wanaita medical impossibility!We usiyeamini usiombe yakukute, huko kwetu ipo dawa mtu akiitumia hafi mpaka apigwe mwale wa jua kutokea kwenye paa, yaani mtauguza mpaka atatoa funza kichwa kinaongea tu. Inabidi mtoboe bati au kama ni nyumba ya nyasi mnazitoa usawa wa alipolala jua likipenya ndio anaweza kufa kawaida. Hii sikusimuliwa nilijionea kabisa mtu mpaka anaoza hawezi kusogea lakini anaongea kawaida kabisa.
Duh kazi kwelikweli,nahisi huyo mzee atakuwa msukuma maana ndo mambo yao hayo atawasumbua sana nyie nendeni tu ili lisije kujirudia kwa mmoja wenu..
SUKUMA GANG mnisamehe mweeh 🤣
Wasukuma jamani tunaingiaje hapa tena? Jiiizozi! 😁😁😁🖐Kama ni usukumani sishangai kule Kuna mambo aisee ukiyasikia na kuyaona unabaki kinywa wazi
Kwanini hamkupeleka wataalam wajifunze kinachoendelea? Mwili umeoza, hauwezi sapoti uhai ila mhusika yupo hai, badala ya kuita dunia uchunguzi ufanyike ni kwanini mnatoboa paa afe. Hamkuona umuhimu wa sayansi kwenye jambo kama hili?We usiyeamini usiombe yakukute, huko kwetu ipo dawa mtu akiitumia hafi mpaka apigwe mwale wa jua kutokea kwenye paa, yaani mtauguza mpaka atatoa funza kichwa kinaongea tu. Inabidi mtoboe bati au kama ni nyumba ya nyasi mnazitoa usawa wa alipolala jua likipenya ndio anaweza kufa kawaida. Hii sikusimuliwa nilijionea kabisa mtu mpaka anaoza hawezi kusogea lakini anaongea kawaida kabisa.
Sasa unataka ushauri wa Nini na wakati umeshaambiwa muende Kijijini mkakate huo mti?humu hakuna atayekushauri la maanaNahitaji ushauri siwezi kuandika vitu ambavyo havipo ili kuchangamsha genge mama yangu miaka hiyo nyuma alishaondoka alikuwa ananiambia nilikuwa baba yako Kuna vitu alimeza sababu Kijiji Kijiji chao kulikuwa na wachawi wanamaliza watu kwahiyo ilibidi ajikinge asiuawe kishirikins maneno haya aliyokuwa akinimbia nilikuwa siyazingatii mimi nilikuwa nazani kama utani sasa ndio nakumbuka jambo hili
Mgonjwa asipone Tena au asife?Nendeni, hao waliowapigia simu wanajua, sasa wanawaonea huruma ndio maana wanawaambia muende msije mkafilisika na bado mgonjwa asipone!
Ukitaka kusoma kuhusu dawa unasoma unajua parasetam sijui ampicplini, hiyo ya miti kwanini inapatikana kwenye hadithi tu?Hakuna ajabu yoyote ila ni elimu, hio haina tofauti na uhai uliofichwa kwenye sindano na vidonge kwani usipochomwa au kumeza unakufa na ukitumia unapona.
Hivyo kuna tofauti gani na aliyelinda uhai wake kutumia mti?
Nikupe mfano mwingine,
Huyo mzee hata ingetokea ajali asingekufa kirahisi, Je ipi teknolojia bora kati ya hiyo ya kujikikinga na miti au vitu na teknolojia ya Airbag ambayo inapunguza risk wakati wa ajali?
Bora kuficha roho kwenye mti...Hakuna ajabu yoyote ila ni elimu, hio haina tofauti na uhai uliofichwa kwenye sindano na vidonge kwani usipochomwa au kumeza unakufa na ukitumia unapona.
Hivyo kuna tofauti gani na aliyelinda uhai wake kutumia mti?
Nikupe mfano mwingine,
Huyo mzee hata ingetokea ajali asingekufa kirahisi, Je ipi teknolojia bora kati ya hiyo ya kujikikinga na miti au vitu na teknolojia ya Airbag ambayo inapunguza risk wakati wa ajali?
Wenzenu wanaziandika kwenye kitabu kila mtu ajisomee. Za kwenu zipo kwenye hekaya.Hii tafsiri inaishia anga la Afrika tu si ndio?
Maana kule kwa wenzetu Mila zao zinaitwa Dini, marehemu wao (mizimu kwetu) wanaitwa watakatifu.
Na huu ujuzi wa kwamba mila na tamaduni hizi ni kuingia mikataba na shetani umeupatia wapi?
Wajinga wajanja?hiyo hata mzungu haijui hiyo dadekWatu weusi ni wajinga sanaa
Haya matukio yangekuwa yanatokea kweli yangekuwa yameshavuta wawekezaji. Hii dunia matajiri, viongozi, watu wenye nguvu adui yao ni kifo. Wangeungana wajue ni nini hicho.Daah.... Sasa km anakuwa bado anaongea si unamuacha akae milele?
Waafrika tutapata lini akili ya kuthamini vyetu?
Huko Asia kuna baadhi ya makabila wanatunza maiti za wapendwa wao na huwa wanafanya sherehe kuzitoa ndani na kuzipamba.
Sisi tunashindwa kutunza mtu anaeongea,?
Eti kisa anaoza, acha aoze tuone mwisho wake!
Ukipata maelekezo nitue twende wote...maana Wabongo wamezidiNipe maelekezo na mimi nifike huko kwenu.
Ujanja uko wapi? Wewe unajua namna ya kucheza na mauti ila nchi na jamii yako watu wanakufa mahospitalini, vichanga vinakufa huku wewe unaificha hiyo elimu halafu uwe mjanja? Mzungu akijua namna ya kutibu analeta kwa jamii yake mpaka huku inafika, anaandika na kitabu.Wajinga wajanja?hiyo hata mzungu haijui hiyo dadek
Watu wenyewe si ndio nyie wabishi na wajuaji,mmekumbatia vya mzungu na kuviona Bora na kuvidharau vyenu, endeleeni kunywa mseto,waacheni wanaoupenda Uafrica wafiche roho zao kwenye mitiUjanja uko wapi? Wewe unajua namna ya kucheza na mauti ila nchi na jamii yako watu wanakufa mahospitalini, vichanga vinakufa huku wewe unaificha hiyo elimu halafu uwe mjanja? Mzungu akijua namna ya kutibu analeta kwa jamii yake mpaka huku inafika, anaandika na kitabu.
Kwani unataka tuanze kukuelezea namna wazungu walivyoua mila desturi na tamaduni zetu, na kisha kuweka mifumo ambayo itatulemaza milele?!Ujanja uko wapi? Wewe unajua namna ya kucheza na mauti ila nchi na jamii yako watu wanakufa mahospitalini, vichanga vinakufa huku wewe unaificha hiyo elimu halafu uwe mjanja? Mzungu akijua namna ya kutibu analeta kwa jamii yake mpaka huku inafika, anaandika na kitabu.
Ujinga tu. Binadamu mwenye akili akiwa na elimu yenye manufaa anaiweka hadharani, kwenye vitabu, mashuleni. Sasa wewe una jambo lako unalifichaaaa unakufa nalo halafu uonekane mjanja?Watu wenyewe si ndio nyie wabishi na wajuaji,mmekumbatia vya mzungu na kuviona Bora na kuvidharau vyenu, endeleeni kunywa mseto,waacheni wanaoupenda Uafrica wafiche roho zao kwenye miti