Wewe una umri gani?Huwa najiuliza sana hili swali. Yaani huwa nashangaa kusikia au kuona mwanamke au mwanaume mwennye miaka 35+ kulia na kuhangaika kwa sababu ya mapenzi! Ni kwamba wameruka hatua za ukuaji au ni hisia?
Ni umri gani mtu hatakiwi kuumizwa na mapenzi ?That's why i wonder!!!
Yaani kusikia mtu wa umri huo anavurugwa kisa mapenzi nashangaa sana.
kumekuchaHuwa najiuliza sana hili swali. Yaani huwa nashangaa kusikia au kuona mwanamke au mwanaume mwennye miaka 35+ kulia na kuhangaika kwa sababu ya mapenzi!
Ni kwamba wameruka hatua za ukuaji au ni hisia?
Unajua above 35, tuna assume mtu ana watoto wakubwa ambao wameshaanza kujitambua. Na hata kama hana watoto basi anategemewa na watu fulani.Ni umri gani mtu hatakiwi kuumizwa na mapenzi ?