Inawezekana vipi mtu mwenye zaidi ya miaka 35 kuumia kwasababu ya mapenzi?

Inawezekana vipi mtu mwenye zaidi ya miaka 35 kuumia kwasababu ya mapenzi?

Unajua above 35, tuna assume mtu ana watoto wakubwa ambao wameshaanza kujitambua. Na hata kama hana watoto basi anategemewa na watu fulani...
Sasa, imagine uko unalia mbele ya watoto wako eti umeachwa, huwezi hata kula, unakaa kinyonge.... Aaah jamaniii!
Mkuu mapenzi hayazoeleki, kuna wababa wazee huwa wanalia kabisa
 
Unajua above 35, tuna assume mtu ana watoto wakubwa ambao wameshaanza kujitambua. Na hata kama hana watoto basi anategemewa na watu fulani..
Inatokea kuna yule aliemuacha mwenza wake kisa ujana late 20s anakuja kushtuka alikosea na kujutia at 45+ huko na hapo inakua too late unategemea asiumie kama mwenzi wake asipomuelewa na kumpokea tena? Kuna kisa kimoja humu nikikipata nitaambatanisha hapa uone inavyokua.
 
Mnaijua hii PC ilipigwa kiberiti kisa kipochi manyoya. Jamaa anahudumia afu anakitembeza kwa washkaji. Jamaa akaona isiwe tabu piga sindao ya sumu akaona huyu anaweza asife akapiga mafuta ya petroli
IMG-20230312-WA0008.jpg
 
Huwa najiuliza sana hili swali. Yaani huwa nashangaa kusikia au kuona mwanamke au mwanaume mwennye miaka 35+ kulia na kuhangaika kwa sababu ya mapenzi....
Last time I checked niliona watu wenye 30+ bado wanakuwa na Ubongo na mioyo.

Ubongo ambao unahusika na maswala ya hisia

Kwahiyo usipate tabu, as along as mwanadamu, be it a man or a woman ana ubongo na moyo unafanya kazi akipata kiboko yake atalia kama mtoto.

TAARIFA KWA UMMA!
Tunafundisha jinsi ya kuliliza Lishangazi lako na Vibabu
Ada zetu ni nafuu na utalipa kidogo kidogo.
 
bado wanakuwa na Ubongo na mioyo
Ubongo ambao unahusika na maswala ya hisia
Ikiwa hakuna kikomo cha hisia, kwanini mtu mzima anapoanguka halii kwa sauti kama mtoto endapo tu hajapewa pole? Kwanini mtu mzima akihisi njaa halii?

Binafsi naona kwa mtu mzima kulialia kisa mapenzi; ni kujiendekeza tu! Kwani huyo mtu mtakufa wote???
 
Mnaijua hii PC ilipigwa kiberiti kisa kipochi manyoya. Jamaa anahudumia afu anakitembeza kwa washkaji. Jamaa akaona isiwe tabu piga sindao ya sumu akaona huyu anaweza asife akapiga mafuta ya petroliView attachment 2557139
Lini wamesema sababu za kifo chake ni mapenzi?

Mbona taarifa zilizopo kifo chake ni sababu nyingine na siyo mapenzi?
 
Kwa mwanaume ukishagonga 30 ukilia kisa mapenzi ntakushangaa sanaa labda wanawake mabingwa wa hisia

Mwanaume inabidi uwe na "mission" kwenye haya maisha, sasa mission yako ikiwa mapenzi, hapo hatuna mtu

Hivi Kuna mtu dunia inamkumbuka kisa mapenzi? hakunaaa

Tunawakumbuka kina prophet Muhammad, Jesus Christ, Isaac Newton, Julius Nyerere, JPM, Reginar Mengi, Ruge Mutahaba kwa alama walizoacha
 
Unajua above 35, tuna assume mtu ana watoto wakubwa ambao wameshaanza kujitambua. Na hata kama hana watoto basi anategemewa na watu fulani...
Sasa, imagine uko unalia mbele ya watoto wako eti umeachwa, huwezi hata kula, unakaa kinyonge.... Aaah jamaniii!
Kama kuumia na mapenzi kwako inaamana kulia mbele za watu au kukataa kula Basi sawa ila jitahidi uwe mkubwa
 
Back
Top Bottom