Inawezekana vipi mtu mwenye zaidi ya miaka 35 kuumia kwasababu ya mapenzi?

Inawezekana vipi mtu mwenye zaidi ya miaka 35 kuumia kwasababu ya mapenzi?

Mnaijua hii PC ilipigwa kiberiti kisa kipochi manyoya. Jamaa anahudumia afu anakitembeza kwa washkaji. Jamaa akaona isiwe tabu piga sindao ya sumu akaona huyu anaweza asife akapiga mafuta ya petroliView attachment 2557139
Dah yalikuwa mauaji ya kikatili sana. Sasa kama alipigwa sindano ya sumu pia mbona ilimchukua muda kifariki? Kwamba madaktari waliligundua Hilo mapema na kideal na vitu viwili kwa wakati mmoja kupunguza makali ya sumu at the same time dealing with deep burning?🙄
 
Ikiwa hakuna kikomo cha hisia, kwanini mtu mzima anapoanguka halii kwa sauti kama mtoto endapo tu hajapewa pole? Kwanini mtu mzima akihisi njaa halii?

Binafsi naona kwa mtu mzima kuliala kisa mapenzi; ni kujiendekeza tu! Kwani huyo mtu mtakufa wote???
namna ya kujieleza kihisia inatofautiana
Mtoto namna yake pekee ni kulia ilhali mtu mzima ana namna nyingine kuonesha huzuni yake na pia kulia ikiwemo

Kuna siku nilikuwa Bagamoyo stamd alfajiri kuna mtu mzima wa kike alijikwa akaingia mtaroni kilio chake i wish ningerekodi na kukutumia kama ushahidi

Usigeneralize eti watu wazima hawalii

Hali yako kihisia kwa sasa ikoje; una mtu au umetoka kwenye break up?
 
Sasa hisia za Mapenzi na umri wapi na wapi?

Maumivu ya mapenzi hubakia pale pale bill kujali umri wa mtu.

Mtoa mada Ni Kama hujawahi umizwa k'o una afadhali Sana na omba yasikukute tu.
 
Ukiona huna hisia na mapenzi ujue roho yako ishakufa umebaki mwili tu
Na hakuna mtu timamu ambae moyo umekufa kihisia sema tu ujampata wakuingia humo moyoni unajua kutokana speed za maisha, ugumu na ubize ni ngumu Sana nowdays kupata penzi lililo deep so ukili pata mkaja breakup utaumia tu
 
Mkuu bibie alikufanyia figisu gani?
Kwa mara ya kwanza naumizwa na mapenzi kiasi inabadilisha maisha yangu umri ulikuwa miaka 37.

Yule mwanamke hii laana ataishi nayo mpaka anaingia kaburini- she changed my life in a negative way.

😤😤😤😤😤
 
Kwamba ukiwa 30+unakuwa ushakuwa malaya ulokubuhu?
 
Back
Top Bottom