mkosa yote
JF-Expert Member
- Nov 9, 2018
- 504
- 1,071
Upole wakati mwingine ni hekima sio udhaifu. Wabongo hawajajifunza mpaka leo miaka 60 baada ya uhuru.Hawana dogo hao Wala shukrani Kila kitu kwao ni kupinga na kuleta vurumai.
Na mods wanampa kinga ya kutukana watu lakini ukijaribu kumkabili unapigwa ban. Au huyu ni mmoja wa moderatorsDada una kila dalili huna marinda comments zako zote ni hayo hayo tu
Huwa mna - bet kuwa kutakuwa na vurugu au kuna vurugu zimewahi kutokea?Ukumbuke rais kaongelea ufanyikaji wa vurugu hapo. Kama unahatarisha amani ya nchi utazuiwa tu
Mama Samia hapa amechemka, hapa mama amesema uongo na hii ni dhihaka kubwa kwa wapinzani na Katiba ya JMT,hajawatendea Haki Wapinzani na Watz wote kwa ujumla wake. Hii ni aibu. Yawezekana kuna masalia ya Jiwe yanayo mpotosha Rais kwa maslahi binafsi.Katika kipande kifupi cha video hapo chini Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika Mkutano na wadau wa Demokrasia hivi leo ametoa hotuba inayoshangaza sana.
Anasema kuwa Rais akitoa kibali cha mikutano ya hadhara, Chadema wanaenda kuvunja vunja Magari pamoja na mali nyingine za uma ndiyo maana hatoi vibali vya Mikutanoπππ
Nimejiuliza maswali mengi sana.Tokea lini Rais akawa na haki au wajibu wa kutoa vibali vya Mikutano kwa vyama vya siasa?Hata kama ni kweli kuwa vyama vya siasa vikipewa vibali vya mikutano ya hadhara vinafanya fujo na kuharibu mali za uma,sheria za kuwadhibiti si zipo?
Mikutano ya vyama vya siasa ipo kwa mujibu wa Katiba na sheria zetu na wala siyo kwa mujibu wa Rais.Sasa leo Rais anadai kuwa yeye ndiye mtoa vibali.WTF!!!πππ
Ameenda mbali zaidi na kudai kuwa vyama vya siasa vikipewa vibali vya Mikutano vinaenda kuvunja vunja Magari pamoja na mali nyingine za ummaπππ
Kuna mtu yeyote hapa ambae ana ushahidi wa Chadema au chama chochote cha upinzani kuharibu mali za uma katika mikutano yake ya kisiasa kama anavyodai Rais?
Haya mambo yamenishangaza sana.Ni maajabu makubwa kwangu mimi.Yanafikirisha pia, lakini cha zaidi ni kwamba yanachekesha sana.View attachment 2045213
She is hopeless fool.Maridhiano ya nini wakati mikutano ya kisiasa ipo kwa mujibu wa katiba?Wewe
Huyu anafanya uungwana hata kuongea nao na akawasikiliza. Hayati JPM huo muda aliutoa siku moja tu pale Mwanza baada ya kumaliza hotuba yake.
Huyu hana mkono wa chuma, dialogue ndio inayopewa kipaumbele, maridhiano ndio yanayopewa kipaumbele.
Mfa maji ni huyu anaedai kuwa urais kwake ni janga.Kwani wewe unazungumzia nini hasa ? Maana unatapatapa Kama mfa maji
Mambo yote ya msingi.au unadhani mimi ni popoma kama wewe na huyo kilaza mwenzako anayeongelea vitu asivyovijua vizuri.Unachokijua wewe ni kipi?!![emoji15][emoji15]
Kiseme hapa.......
She is hopeless fool kwa sababu nchi huwa inaongozwa kwa mujibu wa katiba na sheria na wala siyo kwa mujibu wa matamko ya Rais.Kwa kauli hii Rais wetu na Amiri Jeshi Mkuu amenifurahisha Sana...hongera Rais...uwe imara namna hii...
Shule ni shidaNadhani hujamsikiliza uzuri Mhe. Rais mama yetu. Hakuna sehemu amesema Rais akitoa kibari. Tusimlishe maneno. Kauli nayo isikia hapo katika clip uloweka kasema "Unatoa kibari kafanyeni Mikutano..." Turudi darasani neno Unatoa... ni nafsi ya ngapi? Inawakilisha nini? Angetumia neno..."ninatoa kibari"....hapo sawa ni nafsi ya kwanza.
Hivyo Rais ametumia neno "Unatoa kibari..." kama nafsi ya pili, ambayo inawakilisha mtoa kibari!
Sikiliza kwa umakini, utaelewa.
Hopeless fool ni kuanzia mtangulizi wake aliyeikataa mikutano na akachimba mkwara mzito kwamba atakayeifanya atakiona cha mtema kuni.She is hopeless fool.Maridhiano ya nini wakati mikutano ya kisiasa ipo kwa mujibu wa katiba?
Urongo mtupu! Hizi ni propaganda za CCM za kuendelea kuwaxuia Wapinzani kwa visingizio visivo kichwa wala miguu.Hawana dogo hao Wala shukrani Kila kitu kwao ni kupinga na kuleta vurumai.
Maadama Mama kasema hivyo, basi huo ndio ukweli.Katika kipande kifupi cha video hapo chini Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika Mkutano na wadau wa Demokrasia hivi leo ametoa hotuba inayoshangaza sana.
Anasema kuwa Rais akitoa kibali cha mikutano ya hadhara, Chadema wanaenda kuvunja vunja Magari pamoja na mali nyingine za uma ndiyo maana hatoi vibali vya Mikutanoπππ
Nimejiuliza maswali mengi sana.Tokea lini Rais akawa na haki au wajibu wa kutoa vibali vya Mikutano kwa vyama vya siasa?Hata kama ni kweli kuwa vyama vya siasa vikipewa vibali vya mikutano ya hadhara vinafanya fujo na kuharibu mali za uma,sheria za kuwadhibiti si zipo?
Mikutano ya vyama vya siasa ipo kwa mujibu wa Katiba na sheria zetu na wala siyo kwa mujibu wa Rais.Sasa leo Rais anadai kuwa yeye ndiye mtoa vibali.WTF!!!πππ
Ameenda mbali zaidi na kudai kuwa vyama vya siasa vikipewa vibali vya Mikutano vinaenda kuvunja vunja Magari pamoja na mali nyingine za ummaπππ
Kuna mtu yeyote hapa ambae ana ushahidi wa Chadema au chama chochote cha upinzani kuharibu mali za uma katika mikutano yake ya kisiasa kama anavyodai Rais?
Haya mambo yamenishangaza sana.Ni maajabu makubwa kwangu mimi.Yanafikirisha pia, lakini cha zaidi ni kwamba yanachekesha sana.View attachment 2045213
haha. Noma sanaHakuna aliye bora, labda kwa kuwa huyu siyo mpoteza watu