Inawezekana vipi Taifa linampata Rais kama huyu?

Hiyo ni lugha ya kidiplomasia ndugu. Mana yake amemlinda aliuepita isionekane alikurupuka. Asingeweza kusema hadharani kwamba nimefungulia mikutano, ingeonekana anamtukana mwendazake. Kashafungua kwa lugha ya kidiplomasia.

Muwege siku moja moja na akili jamani hata Kama mmesomea SAUT
 
Wapinzani wa tanzania wanacho jua nu kutukana viongozi wakiamini ndio upinzan kuna wakati wanaacha siasa wanaanza ku attack viongozi personally, upinzani wana mambo ya hovyo sana.
 
Aisee acha uongo,samua hajasema rais anatoa vibali vya mikutano ya siasa na hajakitaja chama chochote kwa jina kuwa kinavunja magari,hiyo hotuba tumeisikia wote

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Utawala wa huyu Mzanzibar utasababisha hata ccm wenyewe waone umuhimu wa katiba mpya. Wasipofanya hivyo Zanzibar wana njia rahisi sana ya kutawala Tanzania. Wataacha Mtanganyika ashinde uchaguzi then akifa wao wanamalizia awamu
Ikiwezekana hata kwa kumroga huyo mtanganyika Ili wachukue tu usikoniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe unavyoona kuna umuhimu wa kuwepo vyama vingi nchini?
 
Nikisikiliza hotuba zake nataman tuanzishe chuo cha urais, ok hata Kama wanavunja magari sheria si zipo wakamatwe washtakiwe lakini kupoka haki za msingi kwa hoja mfu Kama hizo hapo ndo anasababisha tudai katiba mpya kwa nguvu

wakikamatwa na kushitakiwa mtasema wanaonewa pamoja na kusema pia ni wafungwa kisiasa..
 
Kwa mtizamo wangu huu mtindo wa mgombea kuwa na mgombea mwenza ambae ikitokea mgombea kafa akiwa madarakani mwenza ndie rais ndio umetuletea huyu mama kinyume na matarajio ya wengi.
Jambo la pili katika huu mfumo wa mgombea mwenza ni hatarishi kwa rais wa nchi maana mwenza anfahamu siku tu mkuu akidondoka yeye ndio rais bila jasho wala jitihada yeyote ya kujinadi popote. Hii inaweza pelekea hujuma za kuharakisha kifo kitokee.
Tabia ya binadamu ni kupenda ukuu na kunyenyekewa sasa pale anapojua kuwa vitu hivyo anaweza kuvipata kwa kurithi tu ni shauku yake huo wakati uje ikiwa ni kwa mapenzi ya Mungu ama ya shetani.
Sioni sababu ya nchi zenye mfumo kama huu wakuu wake kujimwambafy maana adui wake wapo wengi na kibaya zaidi adui wake mkuu ni yule aliye wa pili kutoka yeye katika mamlaka kwa sababu ya madaraka.
 
Anasema kuwa Rais akitoa kibali cha mikutano ya hadhara, Chadema wanaenda kuvunja vunja Magari pamoja na mali nyingine za uma ndiyo maana hatoi vibali vya MikutanoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii inatia ukakasi kwelikweli ya uwezo wa mama kumpa miaka mingine, binafsi sikuamini kwani imekuwa ni mipasho zaidi
 
Katiba mpya ndo mwarobaini wa mapicha picha tunayoendelea kushuhudia chini ya utawala wa fisiemu......
 
Kwa kauli hii Rais wetu na Amiri Jeshi Mkuu amenifurahisha Sana...hongera Rais...uwe imara namna hii...
She is hopeless fool kwa sababu nchi huwa inaongozwa kwa mujibu wa katiba na sheria wala siyo kwa mujibu wa matamko ya Rais.
Anafungua mikutano yeye kama nani?Yeye ndiye katiba na sheria?Mikutano ya kisiasa ipo kwa mujibu wa katiba na sheria zetu.

Uvunjaji wa sheria katika mikutano hiyo hushughulikiwa kwa mujibu wa sheria wala siyo kwa mujibu wa Rais.
 
Mbona kwa jpm uliufyata
 
Wewe Behaviourist acha matusi na kashfa kwa Rais wa nchi...chunga mdomo wako...chunga ulimi wako...uwe na adabu na heshima kwa mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu...
 
Wewe Behaviourist acha matusi na kashfa kwa Rais wa nchi...chunga mdomo wako...chunga ulimi wako...uwe na adamu na heshima kwa mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu...
Mkuu wa nchi ambae ameingizwa madarakani na mapolisi hafai kuheshimiwa.Anapaswa atukanwe sana.

Rais wa nchi ambae ameingizwa madarakani na mapolisi ni Rais wa aibu,hapaswi kuheshimiwa hata kidogo.

Rais ambae hana kibali cha wananchi ni Rais Kokoro,anapaswa kupuuzwa kila wakati na kila mtu.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Samia awe na msimamo. Asiruhusu mikutano ya vyama vya siasa majukwaani maana vyama vingine vimo kazini kwa kutumiwa kuvunja umoja na amani ya watanzania. Vyama vyote ikwemo chama tawala viendeshe siasa za majukwaani kipindi cha kampeni za uchaguzi tu. Chama tawala na serikali yake vipewe muda kutekeleza ahadi zake bila vurugu. Ufanyaji siasa baada ya uchaguzi uhamie bungeni na kwenye mabaraza ya serikali za mitaa.
Siku hizi zipo aina za mawasiliano chungu nzima chama kuendesha shughuli zake za kisiasa bila ya lazima kuitisha mikutano ya hadhara. Mikutano ya hadhara au maandamano vinahusika kukwaza shughuli za kazi hasa mijini. Vinaweza ingiliana na usafiri na kukwaza watu hawahusiki na shughuli za chama husika.
 
Huyo Mama YENU atakua Rais wa hovyo kupata kutokea kuliko hata mwendazake. Rais gani anashindwa kutofautisha maneno ya kuongea kwenye MIPASHO na kwa Watu serious?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…