britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu! Wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?
Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea kuwa tuna akili zaidi yao hao majinga ya Marekani?
Na kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na golini kujua ni nini haswa kimetokea, maana...
Duh!
Paskali
najua lakini mwanzoni alikuw a amekengeuka. He is now making a new alignment! He might be telling/meaning the opposite! Am I right? Have I made the right sense out of his publication?ukija kwa spidi ya tesla huwezi kumuelewa paskali.
ππππNimemsikia, kauli hiyo ni sedition!.
Mtu tayari ni rais, huwezi kusema hawezi kuwa mwanamke hawezi kuwa rais wakati tayari tuna rais mwanamke!.
P
Usichanganye mambo ya Nchi na upuuzi wenu wa dini za kuletewa.Uislamu hata ukristo vinazuia mwanamke kutawala wala kuongoza wanaume. Kwani, mwanamke ni kiwiliwili na mrume ninl kichwa. Sasa inakuwaje sasa mwili unaongoza kichwa badala ya kichwa kuuongoza?