Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?

Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana Wamarekani ni Majinga Ajabu, Wamemchagua Mwanaume, na Kumtosa Mwanamke?. 2025 Watanzania Tuchague Mwanamke Kuonyeshe Tuna Akili Zaidi Yao?

Kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na kujua ni nini haswa kimetokea!.

Duh...!.

Paskali

Tunachagua mtu kwa sera na si kwa jinsia - hata kama mshindi akiwa amesaidiwa kuiba kura lakini miyoni tunajua tulichagua nani. Wamarekani wamechagua Babu Mawigi sababu anaeleweka sana tu.
 
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana Wamarekani ni Majinga Ajabu, Wamemchagua Mwanaume, na Kumtosa Mwanamke?. 2025 Watanzania Tuchague Mwanamke Kuonyeshe Tuna Akili Zaidi Yao?

Kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na kujua ni nini haswa kimetokea!.

Duh...!.

Paskali
Aliyekwambia kuchagua mwanamke ni kuwa na akili nani?
Kama unachagua wa kuoa sawa ni uthibitisho kuwa umekuwa mtu mzima mwenye akili. Ila kuchagua kiongozi mwanamke si uthibitisho kuwa umekuwa mtu mzima mwenye akili.
 
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana Wamarekani ni Majinga Ajabu, Wamemchagua Mwanaume, na Kumtosa Mwanamke?. 2025 Watanzania Tuchague Mwanamke Kuonyeshe Tuna Akili Zaidi Yao?

Kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na kujua ni nini haswa kimetokea!.

Duh...!.

Paskali
Unachotaka wewe ni achaguliwe Mwanamke kuwa Rais au unataka kuona kuwa anachaguliwa mtu mwenye sifa stahiki za kuwa Rais???
 
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana Wamarekani ni Majinga Ajabu, Wamemchagua Mwanaume, na Kumtosa Mwanamke?. 2025 Watanzania Tuchague Mwanamke Kuonyeshe Tuna Akili Zaidi Yao?

Kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na kujua ni nini haswa kimetokea!.

Duh...!.

Paskali
Siyo sawa kujilinganisha na Wamarekani kwa sababu kule uchaguzi unafanyika lakini kwetu hakuna uchaguzi bali uwa tunafanya maigizo ya uchaguzi.
 
Hivi ni lini Tanzania ilishawai kuwa na uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge ulio huru na haki?
Kila siku tunafanya uchaguzi huru na wa haki kwa viwango vyetu vya African Democracy.
Lini Tanzania iliwahi tawaliwa na Rais kutoka chama cha kisiasa tofauti?
Haijawahi na haitawahi, ndio maana sio mara moja, sio mara mbili nawaeleza watu humu kuhusu CCM kutawala milele!.
Hiyo hoja yako umeileta kinafiki baada ya kuona huyo mwanamke wa Marekani amekataliwa na watu wenye akili na unataka ufananishe Marekani na watanzania wanaosubiri misaada kujenga mashimo ya vyoo na madarasa.
Kama kumkataa mwanamke kwako ni akili, subiria 2025 tuwaonyeshe.
Kwa kifupi ni kwamba "kutawaliwa na jinsia ya kike ni laana labda awe mama yako mzazi tu na si vinginevyo, hiyo ipo ata ngazi ya familia"
Duh...!
Watu wenye akili hawawezi ruhusu huo upumbavu wa kutawaliwa na jinsia ya kike
Duh...!, hivyo anamaanisha sisi Watanzania wote zaidi ya milioni 60 ni ....!.
P
 
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana Wamarekani ni Majinga Ajabu, Wamemchagua Mwanaume, na Kumtosa Mwanamke?. 2025 Watanzania Tuchague Mwanamke Kuonyeshe Tuna Akili Zaidi Yao?

Kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na kujua ni nini haswa kimetokea!.

Duh...!.

Paskali
Bahasha
IMG-20241007-WA0000.jpg
 
Msimamo ni huu huu hata kama Ufipa watamsimamisha Mdee na Lumumba wakaamua kumsimamisha gosha Biteko?
 
Donald Trump ndiye m'beba maono ya dunia kwa sasa. Tundu Lissu ndiye m'beba maono ya Tanzania kutokea Chadema kwa sasa.

Luhaga Mpina ndiye m'beba maono ya Tanzania kutokea Ccm kwa sasa.
 
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana Wamarekani ni Majinga Ajabu, Wamemchagua Mwanaume, na Kumtosa Mwanamke?. 2025 Watanzania Tuchague Mwanamke Kuonyeshe Tuna Akili Zaidi Yao?

Kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na kujua ni nini haswa kimetokea!.

Duh...!.

Paskali
Wasiibe kura tuu!
 
Kila siku tunafanya uchaguzi huru na wa haki kwa viwango vyetu vya African Democracy.
Kuna kipindi nilikua nakufatilia vile vipindi vyako vya maonesho ya sabasaba, ila kwa mtazamo huu wa kinafiki ulionao sasa niseme tu kwamba unasikitisha sana ndugu Mayala.

Ile siku hayati Magufuli anakuambia Mayala maana yake unanjaa nilifikiri ni utani kumbe hayati alishakugundua mapema sana kwamba wewe ni mnafiki na haupaswi kupewa dhamana ya uongozi.
 
Situation ya USA ni tofauti kabisa na Tanzania.Na kama ndivyo 2025 utakuwa ni muhura wa kwanza kwa Rais Mh.Dr Samia hivyo kufanya kuweza kuhudumu vipindi viwili yaani 2025-2035.
 
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana Wamarekani ni Majinga Ajabu, Wamemchagua Mwanaume, na Kumtosa Mwanamke?. 2025 Watanzania Tuchague Mwanamke Kuonyeshe Tuna Akili Zaidi Yao?

Kufuatia matokeo haya, sisi akina Tomaso, sio watu wa kujikalia tuu na kujiuliza, ngoja tufanye michakato ya kusogelea maeneo ya karibu na kujua ni nini haswa kimetokea!.

Duh...!.

Paskali
Hahahaha Trump anakuambia Kamala anaweza kuzungumza na Putin??? Yaani hapo ndiyo uone maana ya uanaume. In short Dkt Samia alikuwa na nafasi ila alijiharibia yeye mwenyewe kwa kushindwa kuchukua hatua kwa wahujumu uchumi na mafisadi, pamoja na kuwa hatuwezi mlaumu sana ila vitu vingi vya kifisadi na yeye kutokuchukua hatua vimemfanya aonekane ni dhaifu. Jambo lingine baya kabisa ni kukomalia chanjo ya COVID-19 ambao ilikuwa siyo kujidharirisha tu bali kuonesha kabisa hakuwa anaelewa watanzania wanataka nini. Kwa ufupi Dkt Samia nafasi yake ni finyu labda abadilike kama alivyowahi sema Dkt kikwete
 
Back
Top Bottom