Inawezekana Wanawake wana nidhamu ya pesa kuliko sisi Wanaume

Inawezekana Wanawake wana nidhamu ya pesa kuliko sisi Wanaume

Sasa mwanamke hana matumizi kwanini ashindwe kutunza pesa
ANajishughulisha anapata pesa na hana matumizi kama ni home mwanaume anasupply kila kitu.

Ukimkuta mwanamke anaishi peke yake, analipa kodi anasomesha mtoto/watoto yaan kila kitu yeye halafu ukute ana pesa ndefu hivyo huyo mheshimu
 
Inawezekana Wanawake wana nidhamu ya pesa kuliko sisi Wanaume, nilishuhudia kwa macho yangu Kikoba cha Wanawake Mpesa chenye zaidi ya milioni 100 katika makundi 10

Wanawake wananitisha sana kwenye maswala ya management ya pesa kwasababu nikama wana uwezo mkubwa sana wa kutunza fedha kwa muda mrefu kuliko sisi Wanaume ila sina uhakika

Kuna kundi la Wanawake wa mtaa mmoja lilinishangaza sana, hawa akina mama waliniomba niwasaidie kuunga Mpesa kupitia App ili waweze kufuatilia Kikoba chao, walikua na Vikoba 10 kila kimoja kina ml 10, nikawaonesha namna ya kufunua salio jambo lililonishangaza walikua na zaidi ya ml 100 katika vikundi vyao 10

Nikawauliza je huwa hamdhulumiani wakanambia tangu wameanza vikundi hivyo hawajawahi kukosana na maisha yanaendelea kama kawaida na walishafikia hadi ml200, 100 wakagawiana ili wainuane kwenye kazi zao

Wakanambia hata wakiachika wanauwezo wa kujijengea nyumba kila mmoja wao, hawakuishia hapo wakanambia wameamua kuungana ili watakaponyanyasika kwenye ndoa wawe na uwezo wa kumiliki mali zao wenyewe
Sio kwamba wanajua kutunza pesa mkuu. Wanaroho mbaya. Hata akija nani mwenye shida gan hatoi hela. Na kadiri anavyokaa ba hiyo hela inampq nguvu hata wewe anaweza kukuchenchia
 
Juzi nmempa wife 200k ya shopping jana ananiomba nauli ya kwenda kufanya shopping nilimkata jicho hlo mwenyewe akaondoka nduki.

Back to the topic ni kwamba wanawake siyo kwamba wanauwezo wa kutunza fedha bali mwanamke hela yake huwa haiguswi na mwanaume/mmewe kwa walio wengi.

Ndo maana nikwaida kukuta mwanaume anauza mitumba karume na mwanamke yuko bank kuu lakini huyu mwanaume ndo akawa provider mpaka wa nauli kwa mkewe.

Inshort wanawake ni wabinafsi,na always huwa wanajipanga wajitegemee ili muanze kushindana
Wanawake siyo wabinafsi ila wana vipaumbele tofauti na wanaume, mwanaume akipata pesa atawaza atumie na wanawake sababu ngono ndio kipaumbele chake, ila mwanamke akipata pesa atawaza atumie na wazazi, watoto, ndugu na jamaa sasa huo siyo ubinafsi bali ni suala la vipaumbele tu
 
Halafu hii kasumba ya mwanamke kujitafuta ili akiachana na mwanaume aweze jitegemea hivi wanajuaga tutaachana? Yan wamekaa kuvitavita na usishangae siku amezipata anaanza mizengwe
Sababu wanajua hamtabiriki unakaa na jitu linakuambia wanaume hawatosheki na mwanamke mmoja, mara sijui wake za ndoa ndio chanzo cha waume zao kuchepuka, mtu anaona hapa hamna kitu kwahiyo anaanza kutafuta uelekeo mapema tu
 
Ushamba unao wewe watu waweze kuweka mpaka 200ml halafu washindwe tuvitu tudogo twa sehemu wanakowekeza pesa zao
Wale sio mabinti ni akina mama, mabinti ndio watukutu wa simu, ipo idadi kubwa sana ya watu wazima kuanzia miaka 45 au 50 ambao hawajui kutumia feature zote za Smartphone, idadi kubwa ya hili rika wamezoea kutumia mfumo wa USSD, wao wanadhani kupata huduma za Mpesa hakuna njia zaidi ya USSD *150*00#

Na rika hili lina hofu kubwa ya kupoteza fedha ndio maana wengi wao hata meseji za Mpesa hawafutagi wanadhani kufuta meseji ni kufuta pesa
Na ni ngumu sana kuwabadilishia mfumo wa USSD

Wapo wengine wana mamilioni ya fedha bank lakini hawafahamu namna ya kutumia feature zote za bank mara nyingi wanaenda bank wenyewe na kusaidiwa na wahudumu na ni watu wazima wenye uwezo mkubwa wa fedha

Kuwa na fedha nyingi sio kigezo cha kufahamu tehama au kuwa na ujuzi wa kutumia kila kitu
 
Hiyo Yako ni chai hata uelezee vipi
 
Juzi nmempa wife 200k ya shopping jana ananiomba nauli ya kwenda kufanya shopping nilimkata jicho hlo mwenyewe akaondoka nduki.

Back to the topic ni kwamba wanawake siyo kwamba wanauwezo wa kutunza fedha bali mwanamke hela yake huwa haiguswi na mwanaume/mmewe kwa walio wengi.

Ndo maana nikwaida kukuta mwanaume anauza mitumba karume na mwanamke yuko bank kuu lakini huyu mwanaume ndo akawa provider mpaka wa nauli kwa mkewe.

Inshort wanawake ni wabinafsi,na always huwa wanajipanga wajitegemee ili muanze kushindana
Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom