Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 26,224
- 71,873
Shida yetu kwenye kuspend, tukiwa nazo nyingi na makorokoro yasiyo na matumizi wala faida yanakuwa mengi,
Kingine wanawake wengi wanachota kwa wanaume(waume, boyfriends mahawara nk) biashara nyingi zinapewa nguvu na wanaume, hiyo ndio favour pekee mwanamke anazaliwa nayo, kuonewa huruma,
Chini ya 18, ataitwa mtoto na mapambo mengiii
18+ ujana wake unambeba pakubwa tofauti na kijana wa kiume
angalia wajane wanavyodekezwa kila sehemu kwenye biblia na jamii huwapa kipaumbele kuliko wagane