Juzi nmempa wife 200k ya shopping jana ananiomba nauli ya kwenda kufanya shopping nilimkata jicho hlo mwenyewe akaondoka nduki.
Back to the topic ni kwamba wanawake siyo kwamba wanauwezo wa kutunza fedha bali mwanamke hela yake huwa haiguswi na mwanaume/mmewe kwa walio wengi.
Ndo maana nikwaida kukuta mwanaume anauza mitumba karume na mwanamke yuko bank kuu lakini huyu mwanaume ndo akawa provider mpaka wa nauli kwa mkewe.
Inshort wanawake ni wabinafsi,na always huwa wanajipanga wajitegemee ili muanze kushindana