Mkuu unamaanisha ndugu zake au ndugu zako maana kwenye jamii yetu katika jinsia inayoongoza kwa kusaidia ndugu na jamaa ni wanawake, zamani wazazi walikuwa wanaona fahari kuzaa watoto wa kiume tupu ila siku hizi wazazi wakikosa mtoto wa kike wanasikitika wanawaza nani atawatunza uzeeni, mwanaume anaweza kuwa yuko mjini anaishi maisha mazuri na kuhonga wanawake na kulewa na washkaji ila wazazi wake kijijini wanaishi maisha magumu na kwenye mazingira mabovuMwanamke ukiwanae hata aje ndugu amekatwa mkono anahitaji matibabu hela yake haitok yuko radhi mlale njaa nahuwez jua kama anahela, atakulzimisha ukakope madeni yakuue ila hela zenu hamtoi....mfano mwanamke akiumwa atatuma mesej hd kwama ex zake kulia shida nahata kuliwa ataliwa ila pesa yake hawez kutumia sasa huo ujinga mwanaume hawez
Mimi wife niliisikia hii kauli mwezi tu nimemuoaSababu wanajua hamtabiriki unakaa na jitu linakuambia wanaume hawatosheki na mwanamke mmoja, mara sijui wake za ndoa ndio chanzo cha waume zao kuchepuka, mtu anaona hapa hamna kitu kwahiyo anaanza kutafuta uelekeo mapema tu
Zao hawatumii wanatumia za kwako unafikiri zao zinafika ngapi km hawazitumii?Wanawake wananitisha sana kwenye maswala ya management ya pesa kwasababu nikama wana uwezo mkubwa sana wa kutunza fedha kwa muda mrefu kuliko sisi Wanaume ila sina uhakika
Vichwa vibovuMimi wife niliisikia hii kauli mwezi tu nimemuoa
(Nilisikia anaongea na dada yake kuwa ile mali XY ya familia ikiuzwa pesa yake atunziwe huko ili aone biashara ya kufanya ili siku tukiachana zimsaidie) baada ya kusikia hivyo.
Nikamwambia uzuri bado mapema na hatujawa na watoto unaonaje ukirudi kwenu ukafanye na kusimamia biashra zako kwa uhuru.
Nikampa pesa kiasi nikamwambia na hii kaongezee,
Alilia sana nakumbuka kesi iliisha baada ya wazazi kuingilia kati na ile pesa yake alinikabidhi
Ila kiukweli inashangaza sana sijui hayo mawazo yanatoka wapi
Wanawake wanamiliki biashara na mijengo mjini, we unaongelea labda wale goalkeeper wanaosubiri kupiga ganji kwa waume zaoSasa hiyo hela yote matumizi yanaishia kitchen party na birthday au kununua abaya na sherehe sherehe zisivyo na kichwa la miguu
🤣🤣🤣 Wewe ni wa kuambiwa tu aisee🤒Ni kweli mie niliambiwa juzi nitoe pesa ya chumvi aisee
Yani tangu kuzaliwa mpk uzee ni tunaonewa huruma tu, tofauti na dume,, hata vitani wanaliliwa wanawake na watoto, na watoto wenyewe ni wa kike wa kiume akiwa na miaka 15 tu inatosha kumpeleka kwenye mapiganoJamii inamhurumia mwanamke kuliko mwanaume kwenye nyanja nyingi, wanawake wachache wenye akili wameiona hiyo fursa na wanaitumia ipasavyo.
Akiwa mjane na anafanya biashara si ajabu hata kodi asilipe akawa analialia kwa wakurugenzi tra wamhurumie yeye mjane, hana mume na watoto wanamtegemea 😂😂
Halafu baada ya kukabidhiwa hiyo pesa unaenda kuhonga michepuko kisha mkeo akikufumania, unasema chanzo cha wewe kuchepuka ni yeye halafu hiyo michepuko ikishakufilisi akuvumilie, na bado akutii na hapo majukumu yote ya nyumbani na malezi ya watoto anafanya yeyeMimi wife niliisikia hii kauli mwezi tu nimemuoa
(Nilisikia anaongea na dada yake kuwa ile mali XY ya familia ikiuzwa pesa yake atunziwe huko ili aone biashara ya kufanya ili siku tukiachana zimsaidie) baada ya kusikia hivyo.
Nikamwambia uzuri bado mapema na hatujawa na watoto unaonaje ukirudi kwenu ukafanye na kusimamia biashra zako kwa uhuru.
Nikampa pesa kiasi nikamwambia na hii kaongezee,
Alilia sana nakumbuka kesi iliisha baada ya wazazi kuingilia kati na ile pesa yake alinikabidhi
Ila kiukweli inashangaza sana sijui hayo mawazo yanatoka wapi
Sina ujasiri huoHalafu baada ya kukabidhiwa hiyo pesa unaenda kuhonga michepuko kisha mkeo akikufumania, unasema chanzo cha wewe kuchepuka ni yeye halafu hiyo michepuko ikishakufilisi akuvumilie, na bado akutii na hapo majukumu yote ya nyumbani na malezi ya watoto anafanya yeye
Kabisa mkuu, wale feminist huwa wanajipa tabu bure tu, kuna kamseleleko wanawake wanako ila wao wanataka kupimana ubavu na wanaumeYani tangu kuzaliwa mpk uzee ni tunaonewa huruma tu, tofauti na dume,, hata vitani wanaliliwa wanawake na watoto, na watoto wenyewe ni wa kike wa kiume akiwa na miaka 15 tu inatosha kumpeleka kwenye mapigano
Wanamiliki🤣🤣🤣🤣Wanawake wanamiliki biashara na mijengo mjini, we unaongelea labda wale goalkeeper wanaosubiri kupiga ganji kwa waume zao
Wanaenda kununua mawigi na iphone 15. HopelessAkili zao ili uzijue subiri wagawane kibunda. Baada ya wiki watafute tena ndipo utawashangaa
Tatizo ni malengo ya hivyo vikundi, kwamba wakinyanyasika kwenye ndoa wawe na uwezo wakujenga nyumba zao wenyewe.Inawezekana Wanawake wana nidhamu ya pesa kuliko sisi Wanaume, nilishuhudia kwa macho yangu Kikoba cha Wanawake Mpesa chenye zaidi ya milioni 100 katika makundi 10
Wanawake wananitisha sana kwenye maswala ya management ya pesa kwasababu nikama wana uwezo mkubwa sana wa kutunza fedha kwa muda mrefu kuliko sisi Wanaume ila sina uhakika
Kuna kundi la Wanawake wa mtaa mmoja lilinishangaza sana, hawa akina mama waliniomba niwasaidie kuunga Mpesa kupitia App ili waweze kufuatilia Kikoba chao, walikua na Vikoba 10 kila kimoja kina ml 10, nikawaonesha namna ya kufunua salio jambo lililonishangaza walikua na zaidi ya ml 100 katika vikundi vyao 10
Nikawauliza je huwa hamdhulumiani wakanambia tangu wameanza vikundi hivyo hawajawahi kukosana na maisha yanaendelea kama kawaida na walishafikia hadi ml200, 100 wakagawiana ili wainuane kwenye kazi zao
Wakanambia hata wakiachika wanauwezo wa kujijengea nyumba kila mmoja wao, hawakuishia hapo wakanambia wameamua kuungana ili watakaponyanyasika kwenye ndoa wawe na uwezo wa kumiliki mali zao wenyewe
Hi kweli, siku wakivunja kikoba fungu la kumi lazima.Hela zao huliwa na mwamposa na waganga
Hata mm hiyo imenishangaza ila ukweli wanawake sikuhizi wamejipanga mkiwatest wanalipua kambi lakin sio woteTatizo ni malengo ya hivyo vikundi, kwamba wakinyanyasika kwenye ndoa wawe na uwezo wakujenga nyumba zao wenyewe.
Ni chanzo hicho Cha jeuri ndani ya ndoa eti Sasa ana uwezo wankujenga mwenyewe !
Ndiyo maana ndoa hazina maana siku hizi. Watu wapo kwenye ndoa kupimana uwezo wa kifedha siyo kujenga family wakipata fedha.Hata mm hiyo imenishangaza ila ukweli wanawake sikuhizi wamejipanga mkiwatest wanalipua kambi lakin sio wote
Kwahiyo pesa huwa wanakuwa nazo wanaume tu? Hivi biashara na kilimo wanachofanya ukiachana na hawa wadangaji wa mitandaoni kuna wanamama wana hela chafu mtaani kwa jitihada zao za utafutaji ambao unafanywa sawa na wanaume tuWanamiliki🤣🤣🤣🤣
Wewe uliwaona wamerithi au wamejengewa na wanaume..