Uzi uishie hapa wewe ndio umeongea pointShida yetu kwenye kuspend, tukiwa nazo nyingi na makorokoro yasiyo na matumizi wala faida yanakuwa mengi,
Kingine wanawake wengi wanachota kwa wanaume(waume, boyfriends mahawara nk) biashara nyingi zinapewa nguvu na wanaume, hiyo ndio favour pekee mwanamke anazaliwa nayo, kuonewa huruma,
Chini ya 18, ataitwa mtoto na mapambo mengiii
18+ ujana wake unambeba pakubwa tofauti na kijana wa kiume
angalia wajane wanavyodekezwa kila sehemu kwenye biblia na jamii huwapa kipaumbele kuliko wagane
Akianza mizengwe tafsiri yake ni kwamba wewe ni ulikuwa kituo tu,safari yake ya kumtafuta ampendae inaendeleaHalafu hii kasumba ya mwanamke kujitafuta ili akiachana na mwanaume aweze jitegemea hivi wanajuaga tutaachana? Yan wamekaa kuvitavita na usishangae siku amezipata anaanza mizengwe
Jamii inamhurumia mwanamke kuliko mwanaume kwenye nyanja nyingi, wanawake wachache wenye akili wameiona hiyo fursa na wanaitumia ipasavyo.Shida yetu kwenye kuspend, tukiwa nazo nyingi na makorokoro yasiyo na matumizi wala faida yanakuwa mengi,
Kingine wanawake wengi wanachota kwa wanaume(waume, boyfriends mahawara nk) biashara nyingi zinapewa nguvu na wanaume, hiyo ndio favour pekee mwanamke anazaliwa nayo, kuonewa huruma,
Chini ya 18, ataitwa mtoto na mapambo mengiii
18+ ujana wake unambeba pakubwa tofauti na kijana wa kiume
angalia wajane wanavyodekezwa kila sehemu kwenye biblia na jamii huwapa kipaumbele kuliko wagane
Juzi nmempa wife 200k ya shopping jana ananiomba nauli ya kwenda kufanya shopping nilimkata jicho hlo mwenyewe akaondoka nduki.
Back to the topic ni kwamba wanawake siyo kwamba wanauwezo wa kutunza fedha bali mwanamke hela yake huwa uswi na mwanaume/mmewe kwa walio wengi.
Ndo maana nikwaida kukuta mwanaume anauza mitumba karume na mwanamke yuko bank kuu lakini huyu mwanaume ndo akawa provider mpaka wa nauli kwa mkewe.
Inshort wanawake ni wabinafsi,na always huwa wanajipanga wajitegemee ili muanze kushindana
Upo sahihi, mm nasemaga ndoa haimpi faida mwanamme, ila inamhakikishia mwanamke kuwa atahudumiwa kwa kila kitu na mume wake mpaka anakufa.Sasa mtu ambaye pesa yake haina matumizi si lazima itatunzwa au??
Wanawake na ubinafsi ni kama kopo na funiko,wanawake wanaishi na wanaume kwa ajili ya kupata fedha na kuhudumiwa.
Si ndio maana nimecheka kwa sauti.....pesa ya mwanamke huwa Haina baraka na ndio maana mwanaume hata akiwa saidia fundi Tu anaweza kufanya mambo na yakaonekana, akailisha familia, akasomesha watoto, akalipa Kodi ya nyumba, akamvisha mwanamke wake na bado akawa na mchepuko na mambo yote yakaendaHela zote hizo lakini hata chumvi ya mia tano, au kiberiti kikiisha ndani mwanaume anambiwa atoe hela
"Wakanambia hata wakiachika wanauwezo wa kujijengea nyumba kila mmoja wao, hawakuishia hapo wakanambia wameamua kuungana ili watakaponyanyasika kwenye ndoa wawe na uwezo wa kumiliki mali zao wenyewe"Inawezekana Wanawake wana nidhamu ya pesa kuliko sisi Wanaume, nilishuhudia kwa macho yangu Kikoba cha Wanawake Mpesa chenye zaidi ya milioni 100 katika makundi 10
Wanawake wananitisha sana kwenye maswala ya management ya pesa kwasababu nikama wana uwezo mkubwa sana wa kutunza fedha kwa muda mrefu kuliko sisi Wanaume ila sina uhakika
Kuna kundi la Wanawake wa mtaa mmoja lilinishangaza sana, hawa akina mama waliniomba niwasaidie kuunga Mpesa kupitia App ili waweze kufuatilia Kikoba chao, walikua na Vikoba 10 kila kimoja kina ml 10, nikawaonesha namna ya kufunua salio jambo lililonishangaza walikua na zaidi ya ml 100 katika vikundi vyao 10
Nikawauliza je huwa hamdhulumiani wakanambia tangu wameanza vikundi hivyo hawajawahi kukosana na maisha yanaendelea kama kawaida na walishafikia hadi ml200, 100 wakagawiana ili wainuane kwenye kazi zao
Wakanambia hata wakiachika wanauwezo wa kujijengea nyumba kila mmoja wao, hawakuishia hapo wakanambia wameamua kuungana ili watakaponyanyasika kwenye ndoa wawe na uwezo wa kumiliki mali zao wenyewe
Mbona wanatuhongaInawezekana Wanawake wana nidhamu ya pesa kuliko sisi Wanaume, nilishuhudia kwa macho yangu Kikoba cha Wanawake Mpesa chenye zaidi ya milioni 100 katika makundi 10
Wanawake wananitisha sana kwenye maswala ya management ya pesa kwasababu nikama wana uwezo mkubwa sana wa kutunza fedha kwa muda mrefu kuliko sisi Wanaume ila sina uhakika
Kuna kundi la Wanawake wa mtaa mmoja lilinishangaza sana, hawa akina mama waliniomba niwasaidie kuunga Mpesa kupitia App ili waweze kufuatilia Kikoba chao, walikua na Vikoba 10 kila kimoja kina ml 10, nikawaonesha namna ya kufunua salio jambo lililonishangaza walikua na zaidi ya ml 100 katika vikundi vyao 10
Nikawauliza je huwa hamdhulumiani wakanambia tangu wameanza vikundi hivyo hawajawahi kukosana na maisha yanaendelea kama kawaida na walishafikia hadi ml200, 100 wakagawiana ili wainuane kwenye kazi zao
Wakanambia hata wakiachika wanauwezo wa kujijengea nyumba kila mmoja wao, hawakuishia hapo wakanambia wameamua kuungana ili watakaponyanyasika kwenye ndoa wawe na uwezo wa kumiliki mali zao wenyewe
Je, katika fedha hizo za michango hakuna fedha haramu za kuhongwa? Niliwahi kuishi mitaa fulani ya Dar es salaam ambapo jamaa yangu alikuwa na Totoz kama 4 zimeolewa lakini anawasaidia marejesho na vikoba na hawajali kabisa ndoa zao.Inawezekana Wanawake wana nidhamu ya pesa kuliko sisi Wanaume, nilishuhudia kwa macho yangu Kikoba cha Wanawake Mpesa chenye zaidi ya milioni 100 katika makundi 10
Wanawake wananitisha sana kwenye maswala ya management ya pesa kwasababu nikama wana uwezo mkubwa sana wa kutunza fedha kwa muda mrefu kuliko sisi Wanaume ila sina uhakika
Kuna kundi la Wanawake wa mtaa mmoja lilinishangaza sana, hawa akina mama waliniomba niwasaidie kuunga Mpesa kupitia App ili waweze kufuatilia Kikoba chao, walikua na Vikoba 10 kila kimoja kina ml 10, nikawaonesha namna ya kufunua salio jambo lililonishangaza walikua na zaidi ya ml 100 katika vikundi vyao 10
Nikawauliza je huwa hamdhulumiani wakanambia tangu wameanza vikundi hivyo hawajawahi kukosana na maisha yanaendelea kama kawaida na walishafikia hadi ml200, 100 wakagawiana ili wainuane kwenye kazi zao
Wakanambia hata wakiachika wanauwezo wa kujijengea nyumba kila mmoja wao, hawakuishia hapo wakanambia wameamua kuungana ili watakaponyanyasika kwenye ndoa wawe na uwezo wa kumiliki mali zao wenyewe
🤣🤣🤣🤭 Uongo huuHela zote hizo lakini hata chumvi ya mia tano, au kiberiti kikiisha ndani mwanaume anambiwa atoe hela
Mbona kodi ya meza hata ukizidisha kiwango huwa inaisha kabla ya muda yaani mwanamke ndiye anauwezo mzuri wa kutumia pesa zako kuliko wewe mwenyewe ndiyo maana wanaume wajajanja hawaambii wake zao kama wana pesa kiasi gani huwa wanakula bati, (uchuna)Inawezekana Wanawake wana nidhamu ya pesa kuliko sisi Wanaume, nilishuhudia kwa macho yangu Kikoba cha Wanawake Mpesa chenye zaidi ya milioni 100 katika makundi 10
Wanawake wananitisha sana kwenye maswala ya management ya pesa kwasababu nikama wana uwezo mkubwa sana wa kutunza fedha kwa muda mrefu kuliko sisi Wanaume ila sina uhakika
Kuna kundi la Wanawake wa mtaa mmoja lilinishangaza sana, hawa akina mama waliniomba niwasaidie kuunga Mpesa kupitia App ili waweze kufuatilia Kikoba chao, walikua na Vikoba 10 kila kimoja kina ml 10, nikawaonesha namna ya kufunua salio jambo lililonishangaza walikua na zaidi ya ml 100 katika vikundi vyao 10
Nikawauliza je huwa hamdhulumiani wakanambia tangu wameanza vikundi hivyo hawajawahi kukosana na maisha yanaendelea kama kawaida na walishafikia hadi ml200, 100 wakagawiana ili wainuane kwenye kazi zao
Wakanambia hata wakiachika wanauwezo wa kujijengea nyumba kila mmoja wao, hawakuishia hapo wakanambia wameamua kuungana ili watakaponyanyasika kwenye ndoa wawe na uwezo wa kumiliki mali zao wenyewe
Dah inasikitisha sana mkuuNa watoto wao, unakuta mwanaume kajitahidi kufanya kazi ngumu familia yake iishi vizuri watoto wasome shule za kulipia, wakimaliza na kupata kazi mwanaume anakuwa ashachoka hawezi kufanya kazi, watoto ila wakipata utaona mke/mama ana abaya za laki 4 ila mwanaume ana open shoes za elfu kumi na tano alizonunua miaka mitano iliyopita
Ni kweli mie niliambiwa juzi nitoe pesa ya chumvi aisee🤣🤣🤣🤭 Uongo huu
Mwanamke ukiwanae hata aje ndugu amekatwa mkono anahitaji matibabu hela yake haitok yuko radhi mlale njaa nahuwez jua kama anahela, atakulzimisha ukakope madeni yakuue ila hela zenu hamtoi....mfano mwanamke akiumwa atatuma mesej hd kwama ex zake kulia shida nahata kuliwa ataliwa ila pesa yake hawez kutumia sasa huo ujinga mwanaume hawezWanawake siyo wabinafsi ila wana vipaumbele tofauti na wanaume, mwanaume akipata pesa atawaza atumie na wanawake sababu ngono ndio kipaumbele chake, ila mwanamke akipata pesa atawaza atumie na wazazi, watoto, ndugu na jamaa sasa huo siyo ubinafsi bali ni suala la vipaumbele tu
Unashangaa nini wakati hizo hela ni zetu wanaume tulizowaonga.Inawezekana Wanawake wana nidhamu ya pesa kuliko sisi Wanaume, nilishuhudia kwa macho yangu Kikoba cha Wanawake Mpesa chenye zaidi ya milioni 100 katika makundi 10