Inawezekana Wanawake wana nidhamu ya pesa kuliko sisi Wanaume

Mkuu unamaanisha ndugu zake au ndugu zako maana kwenye jamii yetu katika jinsia inayoongoza kwa kusaidia ndugu na jamaa ni wanawake, zamani wazazi walikuwa wanaona fahari kuzaa watoto wa kiume tupu ila siku hizi wazazi wakikosa mtoto wa kike wanasikitika wanawaza nani atawatunza uzeeni, mwanaume anaweza kuwa yuko mjini anaishi maisha mazuri na kuhonga wanawake na kulewa na washkaji ila wazazi wake kijijini wanaishi maisha magumu na kwenye mazingira mabovu
 
Sababu wanajua hamtabiriki unakaa na jitu linakuambia wanaume hawatosheki na mwanamke mmoja, mara sijui wake za ndoa ndio chanzo cha waume zao kuchepuka, mtu anaona hapa hamna kitu kwahiyo anaanza kutafuta uelekeo mapema tu
Mimi wife niliisikia hii kauli mwezi tu nimemuoa
(Nilisikia anaongea na dada yake kuwa ile mali XY ya familia ikiuzwa pesa yake atunziwe huko ili aone biashara ya kufanya ili siku tukiachana zimsaidie) baada ya kusikia hivyo.
Nikamwambia uzuri bado mapema na hatujawa na watoto unaonaje ukirudi kwenu ukafanye na kusimamia biashra zako kwa uhuru.
Nikampa pesa kiasi nikamwambia na hii kaongezee,
Alilia sana nakumbuka kesi iliisha baada ya wazazi kuingilia kati na ile pesa yake alinikabidhi
Ila kiukweli inashangaza sana sijui hayo mawazo yanatoka wapi
 
Wanawake wananitisha sana kwenye maswala ya management ya pesa kwasababu nikama wana uwezo mkubwa sana wa kutunza fedha kwa muda mrefu kuliko sisi Wanaume ila sina uhakika
Zao hawatumii wanatumia za kwako unafikiri zao zinafika ngapi km hawazitumii?
 
Vichwa vibovu
 
Sasa hiyo hela yote matumizi yanaishia kitchen party na birthday au kununua abaya na sherehe sherehe zisivyo na kichwa la miguu
Wanawake wanamiliki biashara na mijengo mjini, we unaongelea labda wale goalkeeper wanaosubiri kupiga ganji kwa waume zao
 
Kusema kweli wanawake ni watunzaji wazuri wa fedha huo Ndo ukweli,ukatae au ukubali Ndo hivyo ,achana na habari ya kwamba eti wote mwafanya kazi,lkn yeye anunui mahitaji ya ndani,tambua kwamba we mwanaume ndo provider!!,,je ujawai ona au kusikia mwanaume hela anapata lkn hatoi matumizi kwa familia yake??na mke ndo anailisha familia tena kwa kipato kidogo anachopata na mwingine hata kuweka akiba,nakufanya mambo makubwa?!,lkn hela ya mwanaume ukashindwa kujua inakoenda?,,na sehemu nyingi wanawake wako hivyo,mme anaweza telekeza familia lkn mke hawezi thubutu kutelekeza watoto hata siku moja,tazama we mwenyewe utajionea,na anaweza itunza kwa kipato hicho hicho kidogo.
Hiyo inadhihirisha kuwa pia ni watunzaji wazuri wa fedha,na pia kutumia kibajeti haswa,,hatuja kataa wapo wenye kukengeuka lkn ni wachache saaana kulingana na wanaume.. mhimu sisi sote tutambue wajibu wetu katika familia zetu,tutaishi vyema,kila mmoja atekeleze majukumu yake ipasavyo.
Angalizo,lkn mwanamke nae ku provide japo kidogo kidogo si vibaya,kwa wema na upendo.
 
Yani tangu kuzaliwa mpk uzee ni tunaonewa huruma tu, tofauti na dume,, hata vitani wanaliliwa wanawake na watoto, na watoto wenyewe ni wa kike wa kiume akiwa na miaka 15 tu inatosha kumpeleka kwenye mapigano
 
Halafu baada ya kukabidhiwa hiyo pesa unaenda kuhonga michepuko kisha mkeo akikufumania, unasema chanzo cha wewe kuchepuka ni yeye halafu hiyo michepuko ikishakufilisi akuvumilie, na bado akutii na hapo majukumu yote ya nyumbani na malezi ya watoto anafanya yeye
 
Sina ujasiri huo
Pesa aliyonipatia nilimwezesha yeye mwenyewe,
Hakuna mwanaume asiyetekeleza majukumu yake bila sababu, na sababu kubwa huwa ni mwanamke mwenyewe
 
Yani tangu kuzaliwa mpk uzee ni tunaonewa huruma tu, tofauti na dume,, hata vitani wanaliliwa wanawake na watoto, na watoto wenyewe ni wa kike wa kiume akiwa na miaka 15 tu inatosha kumpeleka kwenye mapigano
Kabisa mkuu, wale feminist huwa wanajipa tabu bure tu, kuna kamseleleko wanawake wanako ila wao wanataka kupimana ubavu na wanaume

Hii imepelekea jamii ya kiume kuanza kukosa ile huruma ambayo ilikua kama ya asili juu ya wanawake, ukilia utafanywa fursa au daraja.
 
Wanawake wanamiliki biashara na mijengo mjini, we unaongelea labda wale goalkeeper wanaosubiri kupiga ganji kwa waume zao
Wanamiliki🤣🤣🤣🤣
Wewe uliwaona wamerithi au wamejengewa na wanaume..
 
Tatizo ni malengo ya hivyo vikundi, kwamba wakinyanyasika kwenye ndoa wawe na uwezo wakujenga nyumba zao wenyewe.
Ni chanzo hicho Cha jeuri ndani ya ndoa eti Sasa ana uwezo wankujenga mwenyewe !
 
Tatizo ni malengo ya hivyo vikundi, kwamba wakinyanyasika kwenye ndoa wawe na uwezo wakujenga nyumba zao wenyewe.
Ni chanzo hicho Cha jeuri ndani ya ndoa eti Sasa ana uwezo wankujenga mwenyewe !
Hata mm hiyo imenishangaza ila ukweli wanawake sikuhizi wamejipanga mkiwatest wanalipua kambi lakin sio wote
 
Hata mm hiyo imenishangaza ila ukweli wanawake sikuhizi wamejipanga mkiwatest wanalipua kambi lakin sio wote
Ndiyo maana ndoa hazina maana siku hizi. Watu wapo kwenye ndoa kupimana uwezo wa kifedha siyo kujenga family wakipata fedha.
 
Wanamiliki🤣🤣🤣🤣
Wewe uliwaona wamerithi au wamejengewa na wanaume..
Kwahiyo pesa huwa wanakuwa nazo wanaume tu? Hivi biashara na kilimo wanachofanya ukiachana na hawa wadangaji wa mitandaoni kuna wanamama wana hela chafu mtaani kwa jitihada zao za utafutaji ambao unafanywa sawa na wanaume tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…