Soma comments za wanawake wenzako huko juu..Hakuna Mwanamke anaweza bila kuwezeshwa na wanaumeKwahiyo pesa huwa wanakuwa nazo wanaume tu? Hivi biashara na kilimo wanachofanya ukiachana na hawa wadangaji wa mitandaoni kuna wanamama wana hela chafu mtaani kwa jitihada zao za utafutaji ambao unafanywa sawa na wanaume tu
Mkuu,wana uwezo wa kutunza kwa sababu ya ubinafsi,hata chupi yake ya kuvaa anataka anunuliwe na mwanaume,anatunza yake wakati huo akitegemea kutumia yako kwa 100%,ndo maana mwanamke hawezi kumvumilia mwanaume ambae hana pesa hata kwa mwezi mmoja but sisi tunawavumilia mpk wanaingia kaburini huku wakitusua na kutumbua pesa zetu huku zingine wakituibia na kujiwekea akiba ya siri ili kikinuka wawe na pakuanzia,ni selfish hawa viumbe na wana roho mbaya sana.Imagine unampa pesa ya matumizi na kwenye pesa akinunulia zawadi hata ya soksi husipomwambia asante kwa zawadi atanuna siku nzima na kusema kukwambia huna shukrani,wewe imagine umempa 200k but anakusimaga na zawadi ya leso ya buku au soksi za buku.Halafu wanajikuta wanajifu kwa kutunza pesa,hamna kituHela zote hizo lakini hata chumvi ya mia tano, au kiberiti kikiisha ndani mwanaume anambiwa atoe hela
Inategemea makuzi yao, attitude towards uthubutu wao, ndiyo maana wanawaza hivyo na most of them ni hawa mabinti wa 20s yrs lazima afikirie kuwezeshwa.....na zaidi akiwa ni wale wa kukariri madesa std 1-chuo kikuu lazima mind sets zao ni za kuwaza kutokuweza tu. Kuna wanawake wanapiga kazi kama za wanaume tu kwenye utafutaji na wanamiliki vya kumiliki, nikuulize tu katka jamii iliyopo hakuna wanawake madon wanaopiga mishe za kueleweka kabisaSoma comments za wanawake wenzako huko juu..Hakuna Mwanamke anaweza bila kuwezeshwa na wanaume
Kaka nimekosa neno kuonyesha nimekuelewa sana na ni ukweli usemacho.Juzi nmempa wife 200k ya shopping jana ananiomba nauli ya kwenda kufanya shopping nilimkata jicho hlo mwenyewe akaondoka nduki.
Back to the topic ni kwamba wanawake siyo kwamba wanauwezo wa kutunza fedha bali mwanamke hela yake huwa haiguswi na mwanaume/mmewe kwa walio wengi.
Ndo maana nikwaida kukuta mwanaume anauza mitumba karume na mwanamke yuko bank kuu lakini huyu mwanaume ndo akawa provider mpaka wa nauli kwa mkewe.
Inshort wanawake ni wabinafsi,na always huwa wanajipanga wajitegemee ili muanze kushindana
Mwanaume akisema sina ata 100 mbovu asilimia kubwa wanamaanisha ata nini kitokee kama hana hana ataanza kupiganisha huku na huku ila mwanamke akisema hvyo ni uongo kwa asilimia kubwa likikaba jambo zaidi anatoa pesa ndani anakwambia hii ni ya mama mdogo aliniomba nimfichie utairudshia🙌🙌hawa viumbe🙌🙌Sio kwamba wanajua kutunza pesa mkuu. Wanaroho mbaya. Hata akija nani mwenye shida gan hatoi hela. Na kadiri anavyokaa ba hiyo hela inampq nguvu hata wewe anaweza kukuchenchia