Inawezekanaje bajeti ya Kenya ikawa kubwa mara mbili ya ile ya Tanzania?

666 chata

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
1,700
Reaction score
3,921
Hakuna neno lingine zaidi ya haya ni maajabu?

Kenya ina watu milion 53 huku Tanzania ikiwa na watu takribani milion 60.

Ukubwa wa Tanzania ni kilomita za mraba laki 9++ huku kenya wakiwa na eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba laki 5++.

Nchi ya Tanzania iko mbele mara elf moja dhidi ya kenya ktk mambo yote yenye kuleta faida kubwa kiuchumi kwa kuanzia maliasili, malighafi, madini, utalii, rasilimali watu, jografia nzuri na siasa safi.

Umoja uliopo Tanzania ni mkubwa mara elfu dhidi ya ule wa Kenya ambao wako kimakundi makundi tokana na ukabila.

Sasa inawezekanaje nchi kama Kenya ikawa na bajeti ya Tshs Trillion 66 huku Tanzania ikiwa ni Tshs Trillion 38?

Mambo haya yanawezekanaje jamani? Kwa bajeti hio ya Kenya ni wazi kwamba wenzetu hawa kila kitu wako mbele yetu mara mbili zaidi!

Ni nchi ya ajabu hii jamani daah.
 
KUNA SHANGINGI MMOJA JANA ALIKUWA ANASEMA ETI TANZANIA HAKUNA FOLENI YA MAHITAJI YA MAFUTA KAMA KENYA. ANALINGANISHA MAHITAJI YA MAFUTA YA KENYA NA TZ.

HUYU ANAICHUKULIA KENYA KIRAHISI SANA
 
Usisahau wana uchaguzi mwaka huu.
 
Trillion 3.3 Kenyan money ndio budget ya Kenya 2022/23

T 3.3×22=?

Ukipiga calcutation utajua jumla ya budget yao
 
Hakuna neno lingine zaidi ya haya ni maajabu?

Kenya ina watu milion 53 huku Tanzania ikiwa na watu takribani milion 60.

Ukubwa wa Tanzania ni kilomita za mraba laki 9++ huku kenya wakiwa na eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba laki 5++.

Nchi ya Tanzania iko mbele mara elf moja dhidi ya kenya ktk mambo yote yenye kuleta faida kubwa kiuchumi kwa kuanzia maliasili, malighafi, madini, utalii, rasilimali watu, jografia nzuri na siasa safi.

Umoja uliopo Tanzania ni mkubwa mara elfu dhidi ya ule wa Kenya ambao wako kimakundi makundi tokana na ukabila.

Sasa inawezekanaje nchi kama Kenya ikawa na bajeti ya Tshs Trillion 66 huku Tanzania ikiwa ni Tshs Trillion 38?

Mambo haya yanawezekanaje jamani? Kwa bajeti hio ya kenya ni wazi kwamba wenzetu hawa kila kitu wako mbele yetu mara mbili zaidi!

ni nchi ya ajabu hii jamani daah.
Ndio unafahamu leo? Hata uchumi wao ni karibu mara mbili ya wa kwetu.
 
Haya ndo matatizo ya kusoma vitini hasa katika elimu ya juu. Unakuja JF Na analysis duni kabisa kama hii.
 
Asilimia kubwa ni kulipa madeni yanayonufaisha wakubwa. Bajeti ya madeni na interest zake.
 
Tatizo watu hawana historia za Nchi hizi mbili, ni tatizo la watz wengi uangalia walipo na kusahau walikotoka.
Sasa wacha nikueleze, tofauti haijaanza leo, ni toka kipindi cha ukoloni. Licha ya Kenya kutawaliwa na mwingereza hadi uhuru, aliweza kuiandeleza kielimu, afya, miundo mbinu ya barabara na majengo, viwanda n.k. wakati tz baada ya vita ya pili ya dunia tulikuwa chini ya umoja wa mataifa tukiangaliwa na uingereza kuelekea uhuru, hivyo uingereza haikufanya juhudi zozote za kuinua hali ya maisha ya Tanganyika, kwa kuwa alijua muda wowote watatupa uhuru wakiamini tunaweza kujitawala, na ndio uhuru wetu ulipatikana kwa kuombwa tu umoja wa mataifa.

Tofauti ya kimaendeleo ilizuka toka 1945-1961, hivyo walitupa uhuru tukiwa na huduma duni za kijamii na kiuchumi, wasomi wachache, shule chache, na ukichunguza utangundua shule na mahospitali alijenga mjerumani, tofauti imeendelea hadi leo, tukichanganya na makosa ya kisiasa baada ya uhuru ndio kabisa Kenya inatuacha mbali!
 
Hakuna neno lingine zaidi ya haya ni maajabu?

Kenya ina watu milion 53 huku Tanzania ikiwa na watu takribani milion 60.

Ukubwa wa Tanzania ni kilomita za mraba laki 9++ huku kenya wakiwa na eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba laki 5++.

Nchi ya Tanzania iko mbele mara elf moja dhidi ya kenya ktk mambo yote yenye kuleta faida kubwa kiuchumi kwa kuanzia maliasili, malighafi, madini, utalii, rasilimali watu, jografia nzuri na siasa safi.

Umoja uliopo Tanzania ni mkubwa mara elfu dhidi ya ule wa Kenya ambao wako kimakundi makundi tokana na ukabila.

Sasa inawezekanaje nchi kama Kenya ikawa na bajeti ya Tshs Trillion 66 huku Tanzania ikiwa ni Tshs Trillion 38?

Mambo haya yanawezekanaje jamani? Kwa bajeti hio ya kenya ni wazi kwamba wenzetu hawa kila kitu wako mbele yetu mara mbili zaidi!

ni nchi ya ajabu hii jamani daah.
Kenya walikataa kufuata siasa za Ujamaa na Kujitegemea alizoleta Nyerere. Kuna video clip moja ya Nyerere alisema alimuomba Kenyatta waungane Kenyatta akakataa. Kenyatta aliona mbali kwamba sera za Nyerere zitakwamisha maendeleo tuu.
 
Tatizo watu hawana historia za Nchi hizi mbili, ni tatizo la watz wengi uangalia walipo na kusahau walikotoka.
Sasa wacha nikueleze, tofauti haijaanza leo, ni toka kipindi cha ukoloni. Licha ya Kenya kutawaliwa na mwingereza hadi uhuru, aliweza kuiandeleza kielimu, afya, miundo mbinu ya barabara na majengo, viwanda n.k. wakati tz baada ya vita ya pili ya dunia tulikuwa chini ya umoja wa mataifa tukiangaliwa na uingereza kuelekea uhuru, hivyo uingereza haikufanya juhudi zozote za kuinua hali ya maisha ya Tanganyika, kwa kuwa alijua muda wowote watatupa uhuru wakiamini tunaweza kujitawala, na ndio uhuru wetu ulipatikana kwa kuombwa tu umoja wa mataifa.
Tofauti ya kimaendeleo ilizuka toka 1945-1961, hivyo walitupa uhuru tukiwa na huduma duni za kijamii na kiuchumi, wasomi wachache, shule chache, na ukichunguza utangundua shule na mahospitali alijenga mjerumani, tofauti imeendelea hadi leo, tukichanganya na makosa ya kisiasa baada ya uhuru ndio kabisa Kenya inatuacha mbali!
Hiyo siyo sababu; kutumia matukio ya miaka yazamani sana (tena sana) kujadili mambo ya leo ni upungufu mkubwa wa hoja. Mbona Singapore iliyokuwa chini zaidi yetu leo hii ni mwamba wa uchumi?
 
Hakuna neno lingine zaidi ya haya ni maajabu?

Kenya ina watu milion 53 huku Tanzania ikiwa na watu takribani milion 60.

Ukubwa wa Tanzania ni kilomita za mraba laki 9++ huku kenya wakiwa na eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba laki 5++.

Nchi ya Tanzania iko mbele mara elf moja dhidi ya kenya ktk mambo yote yenye kuleta faida kubwa kiuchumi kwa kuanzia maliasili, malighafi, madini, utalii, rasilimali watu, jografia nzuri na siasa safi.

Umoja uliopo Tanzania ni mkubwa mara elfu dhidi ya ule wa Kenya ambao wako kimakundi makundi tokana na ukabila.

Sasa inawezekanaje nchi kama Kenya ikawa na bajeti ya Tshs Trillion 66 huku Tanzania ikiwa ni Tshs Trillion 38?

Mambo haya yanawezekanaje jamani? Kwa bajeti hio ya kenya ni wazi kwamba wenzetu hawa kila kitu wako mbele yetu mara mbili zaidi!

ni nchi ya ajabu hii jamani daah.
Mbona hata kwenye ngazi za kaya ni hivyo hivyo! Kaya ya watu watano wana bajeti kubwa ya mwezi kuliko kaya ya watu 10. Kupanga ni kuchagua.

Je, huwa wanatekeleza bajeti zao kwa asilimia ngapi?
 
Uko nyuma sana katika ulimwengu wa taarifa! Halafu maarifa yako pia ni madogo sana kama walivyo Watanzania wengi.
Leo ndo unajua tofauti ya budget ya Kenya na Tanzania ?!!!!!
Mwaka Jana tu 2021/2022 budget ya Kenya ilikuwa karibia Trilioni 72 wakati ya Tanzania ilikuwa ni Trilioni 36!
Mwaka huu wa budget Tanzania inaongelea budget ya karibia Trilioni 40 lakini mwenye maarifa atajua kwamba budget hii ni ndogo kutokana na mfumuko wa bei (inflation) uliopo.
Halafu pia acha ujinga wako wa kudhani eti utajiri wa Nchi unategemea tu milima,maliasili, jiografia na wanyama!
Utajiri wa Nchi unategemea zaidi aina ya watu waliopo katika Nchi hiyo.
Ukiwa na watu wajinga wengi kama ilivyo hapa Tanzania basi na umaskini unakuwa mkubwa zaidi.
Kenyans are too brainy compared to Tanzanians!
 
Mbona na sisi kungekuwa hakuna vita Ukraine tungekuwa na bajeti kubwa sana ni issue ya muda tuu acheni wivuu
 
Hiyo siyo sababu; kutumia matu7kio ya miaka yazamani sana (tena sana) kujadili mambo ya leo ni upungufu mkubwa wa hoja. Mbona Singapore iliyokuwa chini zaidi yetu leo hii ni mwamba wa uchumi?
Bado nakushauri kufikiri zaidi, mwendelezo wa siasa zetu baada ya uhuru. Kumbuka maendeleo uenda sambamba na uwekezaji toka nje wa dhati. Uwezi wekeza kwenye taifa kesho yake huijui, au mtawala ananguvu kuliko katiba, adhari za ukoloni katiba mbovu, wasomi wasio elimika ufikiria kujaza matumbo yao tu. Fikiri awamu ya tano, unapataje wawekezaji, mie bado naona ukoloni ni sababu, yanayojiri sasa ni matokeo yake!
 
Back
Top Bottom