Inawezekanaje bajeti ya Kenya ikawa kubwa mara mbili ya ile ya Tanzania?

Thinks tank wa Tz ni akina Kibajaji, Mwigulu, Ndugai, Sabaya, Makonda, Mnyeti, Ally Hapi, Mrisho Gambo, Bashiru, Makamba, Jery Muro, n.k unategemea nini?
 
Tatizo ni mfumo mbovu
 
Sema ukiwa na watawala wengi wajinga
 
Matukio ya zamani hizo hayatoi sababu yoyote kwenye maisha yetu ya leo. Rwanda pale walichinjana sana miaka 25 tu iliyopita mpaka watu wanaogopa kutembelea nchi ile lakini leo maisha yao ni mazuri sana na watu waniningia kuwekeza sana. Kama ni siasa za ujamaa, china walikuwa wakomunist na mpaka leo wanajiita wakomunist lakini wawekezaji waliingia wengi na leo uchumi wao hata wewe mwenyewe unaujua. Matatizo siyo sababu za kihistoria bali ni uongozi tunaojiwekea.
 
Tatizo sisi ni uongozi mbovu
 
Hilo deni la Kenya limenichosha 8trn kshs it equivalent to 160+trn tshs dadeki
 
Nenda hapo Kenya katembee kidogo halafu ndo uje ku compare na Tanzania.
 
Yaani wana ugumu wa maisha lakini sisi ndiyo tunafuata bidhaa kwao? we ni bonge la Bashite
Hizo bidhaa mnafuata bure Ndugu msukule wa Mbowe?

Kwahiyo watu wa Dar Ni masikini wakubwa kufuata bidhaa za chakula mikoani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…