GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
-
- #381
Nimekubali! Una akili sana mkuu!!!Najua lengo la swali lako.
Kwamba kwa vile mim ni mweusi nipingane na ukweli kuwa mtu mweusi ni janga na hana akili.
Natamani kupinga na kusema kwa fuahari kuwa mim mtu mweusi ni bora na mwenye akili kama binadamu wengine wote ila nafsi inanisuta sababu sio kweli na hata nikijidanganya kuwa nina akili kama wazungu haitasaidia kitu.
Kiendacho kwa mgangaHivi lile sakata la mabilioni ya Escrow liliishia wapi? Hela zilirejeshwa?
Hatuwezi tajirika bila kuuondoa ubinafsiHayo yote, na hata zaidi ya hayo, ni mazuri, lakini Tanzania haijafikia kipindi cha kufanya hayo. Tungeyafanya hayo "baadaye", tutakapokuwa tumeshatajirika!
Aisee! Ilihitimishwa hivyo?Kiendacho kwa mganga
Hakuna sheria ya kumfunga fisadi bongo zaid ya mwizi wa kuku.Aisee! Ilihitimishwa hivyo?
Nchi zingine raha sana. Mtu hatafuti madaraka kwa sababu ya njaa.Hakuna sheria ya kumfunga fisadi bongo zaid ya mwizi wa kuku.
Denmark ukwepe Kodi,au ufisadi Kodi hata jua utoliona
True hata chanzo Cha vita vinavyoendelea Congo ni tumbo la mobutu na njaa ya kagameNchi zingine raha sana. Mtu hatafuti madaraka kwa sababu ya njaa.
Afrika sasa.... nakubaliana na mtu aliyewahi kusema chanzo cha vita vya wenyewe kwa wenyewe barani Afrika ni "njaa"
Mkuu, si alishaaga dunia siku nyingi?True hata chanzo Cha vita vinavyoendelea Congo ni tumbo la mobutu na njaa ya kagame
Yeye ndie aliyewasha moto kulinda tumboMkuu, si alishaaga dunia siku nyingi?
πππYeye ndie aliyewasha moto kulinda tumbo
Huyo huko Denmark hata kuongoza HOA asingeaminiwa.Wakitokea viongozi wenye akili kubwa hawakawii kuitwa madikteta na hawakawii kuuliwa ili wapumbavu waendelee kushika dola.
1. Kwanza watanzania wote wenye umri wa kulipa kodi walipe kodi yaani mtu akimaliza shule au chuo mara tu apata barua ikimkumbusha kwamba akianza kazi atakuwa "subject" na kodi. Hapa nazungumzia kodi ya maendeleo ambayo wananchi ni lazima waelimishwe ili walipe hii kodi na kuondoa misururu ya kodi au tozo zingine ambazo hazina maana.Tufanyeje ili na sisi tuwe kama wao?
Lakini pamoja na mipaka ilowekwa na Berlin Conference 1884-1885 bado zipo nchi barani Afrika zina maendeleo makubwa tu Botswana, Namibia, Rwanda (baada ya vita iloisha 1994) ni mfano wa nchi zinoonyesha kuwa kukiwa na nia na malengo thabiti, basi maendeleo huja kwa kasi.Kwa nchi kama Tanganyika na nchi zote za Afrika, ambayo mipaka yake iliamuliwa na Wazungu kwa kutumia rula kwenye mkutano wa Berlin 1884-1885, sahau kupata maendeleo ya kweli. Mataifa ya kizungu yapo kikabila zaidi, lakini kwa Afrika mataifa yamebaki na mipaka ileile ya Berliin Conference ya 1884-1885 hadi leo ambapo nchi moja ina makabila 100 na zaidi.
πππππππππππππππππππππππππππππππ
3. Mikoa yote ijitegemee kimipango na kiuchumi ila kiasi fulani kiende serikali kuu(madaraka mikoani) na si majimbo. Ile mikoa ambayo yajiweza kiuchumi iwe ni vigumu kuishi (kwa watu wa kipato cha chini) kuwa na kodi kubwa na vyanzo vingine vikubwa vya mapato ili kusaidia mikoa mingine iinuke kiuchumi na kimaendeleo.
4. Kuanzishwe taasisi za maendeleo katika kila mkoa ambazo zitabuni na kuunda mipango ya maendeleo ya mikoa, wananchi waweze kuchagua mameya na madiwani wanowataka na si kungiza siasa, hii wenzetu waita ni "local democracy".
5. Kuwepo ufuatiliaji na usimamizi wa vyanzo vya mapato na fedha zitokanazo na vyanzo hivyo. Fedha zikusanywe na ziingizwe hazina bila kupitia mikono mingi ambayo itasababisha upotevu. Hivyo hapa TRA, Bandari, na taasisi zote ambazo zatakiwa kuipa serikali gawio zinakuwa zawajibika kufanya hivyo kwa mujibu wa sheria.
Nini? Soko la Kariakoo lilijengwa na Mjerumani? Ni kweli mkuu?Lakini pamoja na mipaka ilowekwa na Berlin Conference 1884-1885 bado zipo nchi barani Afrika zina maendeleo makubwa tu Botswana, Namibia, Rwanda (baada ya vita iloisha 1994) ni mfano wa nchi zinoonyesha kuwa kukiwa na nia na malengo thabiti, basi maendeleo huja kwa kasi.
Sasa sisi hadi leo twahangaika na soko moja tu la Kariakooo lilijengwa na wajerumani na tumeshindwa kujenga masoko mengine makubwa katika kila mkoa au wilaya na wananchi wapanga bidhaa zao ardhini na pembezoni mwa barabara.
Tatizo la Tanzania ni wizi,ukabila,rushwa na ujinga wa watu wanaongoza nchi ndio sababu umasikini mwingi Wananchi ni wanafiki wapumbavu na hudanganyika kirahisi sana na wanauoga na hofu ya maisha yao ni kama vile wanaishi utumwani na slave master is the government itβs actually amazing to understand Tanzania in 2023 . Still in the middle age.Siyo Denmark pekee. Vinchi vyote vidogo huko Ulaya, na baadhi huko Asia, ukilinganisha na Tanzania ni aibu tupu:
Denmark
Norway
Finland
Sweden
Singapore
Switzerland
Utajiri mkubwa hapa Ulimwenguni ni akili, wala siyo idadi kubwa ya fisi na pundamilia, siyo dhahabu na gas, ardhi nzuri ya kilimo, maziwa, bahari au hali nzuri ya hewa.
Hata upewe vyote, ukinyimwa akili, vyote vinakuwa havina maana. Lakini ukibahatika ukapata akili,ni mwanzo wa mafanikio yote. Kwanza utajua ni nini kilicho muhimu, utakuwa na mifumo mizuri ya kuvuna rasilimali, utakuwa na tekinolojia, utakuwa na mifumo mizuri ya utawala, na mifumo mizuri ya kusimamia uchumi kwa ujumla.
Sisi tuna vitu vingi, lakini asilimia kubwa sana ya watu wetu wamenyimwa akili, utashi na maarifa. Ndiyo maana wachache wenye akili, maarifa na utashi, ama wanakuwa frustrated na kukata tamaa au kuishia kwenda kufanya kazi mataifa ya nje kwa sababu nchini mwao ni giza nene.