GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
-
- #161
Nini? Huyo mtu alipaswa "kushtakiwa" kwa kosa la ubaguzi. Anawasengenyaje binadamu wenzake kiasi hicho?Watu weusi hatuna akili sawasawa wala tusizunguke, kuwa na utambuzi wa kawaida haimaanishi una akili timamView attachment 2643179
Mbona vitabu vy historia vianaeleza kuwa kufikia karne ya 15 Afrika na ulaya zilikuwa zinalingana kimaendeleo?Kwa nini mtu mweusi kila alipo matatizo yake ni yale yale? Kuanzia Haiti, Visiwa vya Caribbean, Afrika kwenyewe na hata niggazi waliomo ndani ya Amerika yenyewe...
Kwa nini? 🤔🤔🤔🤔
Kama ubongo si hoja iweje wao waaminishane vitu vinavyowaletea na maendeleo na sisi tushindwe hilo zoezi.Ubongo si hoja, bali kile mtu anachoaminidhwa.
Mwalimu mashuhuri wa Elimu Nafsi (Saikolojia), Professor William James anasema, "Whatever the mind can conceive and believe, can achieve"
Mbona vitabu vy historia vianaeleza kuwa kufikia karne ya 15 Afrika na ulaya zilikuwa zinalingana kimaendeleo?
Unataka kusema hata historia ni chenga la macho?
Sasa kama wanaweza kupush hizo mnaita ajenda zao za siri sijui na kutupa misaada kwa lengo la kutufanya tuzidi kuwa masikini hamuoni kuwa wametuzidi akili?o na misaada, wazungu wanawasaidia Waafrika kwa kuwapa pesa na misaada ili wazidi kuwa masikini zaidi ili waweze kuwatawala.
Siku ulaya itakapo acha kuipa pesa afrika ndipo afrika itakapoanza kuinuka, wanatumiaa misaada kupush ajenda zao za Siri mfano ushoga,nk.
Hili ni shirika la kusaidia maendeleo la wizara ya mambo ya nje Denmark, hasa kwa kusaidia nchi zinazoendelea, kwa kutoa misaida ya kiutu na maendeleo hasa vijijiniHivi DANIDA ni nini?
Nasikia kipindi fulani Rais wa Marekani alishawahi kuutangazia ulimwengu kuwa hata kama nchi zote duniani zingegoma kuiuzia mafuta, wasingepungukiwa. Wana akiba ya miaka 100.Ni roho mbaya tu sisi kila mtu anajifikiria yeye na familia yake na wapambe wake wanaomsifu !! Wenzetu wanafikiria zaidi Nchi zao na wananchi wote kwa ujumla !!
Yaani Tanzania tuna hali mbaya Awamu ya Kwanza hadi ya 4 wangeamua wekeza walipozaliwa sijui nchi ingekuwaje. Awamu ya 5&6 wote wameamua jenga Ikulu walipozaliwa.Eti anatoa mfano wa li mtu ambalo hata lenyewe linajijua na kujiita kichaa.
Yule ndo alikuwa anaenda ku collapsisha nchi sema Mungu akamuwahi.
Tatizo ni NyerereInawezekana sababu wao wako kinyume na sisi katika mengi. Ila kikubwa ni kwamba wamekabidhi nchi kwa watu serious na sio kuwapa madaraka watu wa hovyo kama tufanyavyo huku kwetu.
Nchi gani ya kijamaa pure ina manendeleo?Ujamaa sio tatizo endapo ungeboreshwa kidogo. Shida ni kukumbatia wajinga madarakani.
Siasa imegeuzwa ajira na wananchi tumekubaliana na hilo. Sisi ndio tatizo namba 1! Siku tukijitambua tukasema hapana imetosha sasa, maendeleo ya kweli yatapatikana.
Mfano ni CAG report hakuna aliyewajibishwa wala kuwajibika.Uzalendo haukai pamoja na kutowajibika. Ukishaona taifa linakumbatia viongozi wazembe na wasiotaka kuwajibika jua maendeleo yatabakia kuwa historia. Umaskini ndio utabaki kuwa wimbo milele.
Utawala bora na siasa safi ndio key.
Ndio uone wananchi walivyo wajinga, eti mtu anapewa chumvi kwa kazi ya miaka 5Nyakati za uchaguzi, viongozi wengi huwa wakarimu sana. Mara mgao wa khanga, fulana, sukari, sabuni, mpaka na hela.
Halafu watu hawahoji sababu za huo ukarimu wakati wa uchaguzi au karibu na uchaguzi tu.
Hata Serikali, kuna baadhi ya shughuli za kimaendeleo huzishughulikia uchaguzi unapokaribia, halafu wapiga kura kimyaa, hakuna kuhoji.
Chini hujengwa mwanzoni, ukishafika huku tulipo ngumu sanaAkitokea kiongozi akataka kubadili hizo mentatility anapingwa na kuitwa majina ya ajabu ajabu. Nchi zote zenye maendeleo zimejengwa kwa jasho na damu.
Naona hapa Kuna mtu/kiongozi anatafutwa Ili kutupiwa lawama (Nyerere). Je, DR Congo nao pia ni misingi mibovu Yao iliyowekwa toka uhuru?Tatizo letu ni misingi mibovu iliwekwa toka tulipopata uhuru.
DANIDA hadi leo wamewekeza NMB wanapata pesa, hizo pesa wanawekeza TzHIMA-DANIDA, Ni miongoni mwa project kubwa iliyokuwa chini ya Denmark na ilinufaisha wengi
Lishatolewa ufafanuzi kuwa wanafunga kupunguza gharama, na kupeleka Ubalozi sehemu ambazo zina matatizo.Embu subiri kwanza, umesemaje? kwamba wanataka kuufunga ubalozi? Wametuhusisha kutoa maoni?Itakuwaje sasa? Wakija kufanya maamuzi wawe kwanza wanatuuliza wenda kuna kibabu changu huko mtaenda kukitembelea ubarozi uendelee bana huwezi jua nikawa huko nikataka msaada wa ubalozi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
UjingaIna maana hujajua tu mpaka leo
Mapungufu yanayoikabili nchi hii
Ova
Tuwaombee kifoAs long as watu Kama
1. Mwigulu
2. January
3. Nape
4. Mbarawa
Ndio wanasaini mikataba kwenye nchi hii, hakika Kuna siku tutapokea misaada kutoka Rwanda.