Siyo hayo tu, nidhamu serikalini, kuchapa kazi, na kujitambua kuwa sisi ni nani na tunaweza kila kitu!Kwa kujenga Ikulu na Airport kijijini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo hayo tu, nidhamu serikalini, kuchapa kazi, na kujitambua kuwa sisi ni nani na tunaweza kila kitu!Kwa kujenga Ikulu na Airport kijijini?
Mtu mweusi ni hatari kwa afya ya dunia.Denmark inatarajia kuufunga ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo 2024. Ni kati ya nchi ambazo zimekuwa zikiipa Tanzania misaada, tokea ikiitwa Tanganyika hadi sasa ikiwa inajulikana kwa jina adhimu, Tanzania.
Lakini Denmark ni nchi ya namna gani?
Ukifanya ulinganisho, Tanzania imeizidi kwa mambo mengi isipokuwa ujinga na umaskini. Ina rasilimali nyingi sana kuizidi, na hata idadi ya watu tumeipita mbali sana.
Denmark, ni kanchi kadoogo, kenye ukubwa wa kilomita za mraba 42,920 lakini inaizidi kiuchumi Tanzania, nchi Kuubwa kieneo, yenye kilomita za mraba 945,087.
Denmark, ni kanchi kadoogo kenye watu milioni tano lakini inaipa misaada nchi kuubwa, Tanzania, yenye watu milioni sitini na moja.
Ni nini siri ya kanchi kadogo kuizidi nchi kubwa kama Tanzania? Imekuwa ikiisadia Tanzania tokea 1963, enzi hizo ikiitwa Tanganyika, lakini hakuna taarifa ya Tanzania ambayo ni nchi kubwa kuisaidia Denmark kanchi kadogo.
Imewezekanaje kwao lakini kwetu ikashindikana?
Mwingine anaweza kusema ni kwa sababu ya ukoloni, lakini hilo halina mashiko. Hata Korea Kusini ilishawahi kuwa koloni la Japan, lakini kwa sasa wanatukimbiza kiuchumi.
Ni nini walichogundua hao watu weupe ambao weusi wa Tanganyika na Zanzibar hawajagundua?
Angalia, hata eneo la Korea Kusini ni dogo sana ukililinganisha na ukubwa wa Tanzania. Ina kilomita za mraba 100,210 na watu milioni hamsini na moja.
Inawezekanaje kanchi kadoogo, Denmark, kuipa misaada nchi kuubwa, Tanzania?
Upumbavu na ujinga huu, ndio haswaa sababu ya tulipo na tutaendelea kuzidi kuwa chini!Huyo Magufuli nae ni mwehu mwingine wala sio wa kumention humu. Bora hata ungemtaja JK NYERERE ila huyo mwehu anatawala badala ya kuongoza ni kielelezo cha mfalme juha ambae alishawahi pita hapa nchini.
Hata visiwa vya Unguja na Pemba viko chini ya Tanganyika.Unaposema France unamaanisha nini?
Kwamba France kale ka sehemu ya Ulaya tu ambapo empire yake kule west Africa, Visiwa vya Carebean , Guyana, Mayote viko chini yake au France mtaa uliopo kule Sumbawanga?
Mwingine kaitaja Denmark hajui kuwa Greenland ni sehemu ya Denmark?
Ulishaona katuni ya shetani mzungu/mweupe?Hapana mkuu.
Sijui ni mwaka gani aina ya uongozi tulio nao utabadilika.Hizo ni fikra tu. Hatuna uhakika kama mambo yatabakia vile vile au yatabadilika, kwa sababu hatujawahi kubadili uongozi na mifumo yake hata mara moja. Ila tu tumejazwa na imani kuwa hali itakuwa vile vile.
Inategemea nani mchoraji wa hizo katuni. Sidhani kama mzungu atafurahia kuchora katuni ya Shetani mwenye sura kama yao.Ulishaona katuni ya shetani mzungu/mweupe?
Ila kwa kweli hii nchi yani ukifikiria vzr Ina mambo ya hovyo kuliko alafu watu wanafurahi kabisa mambo ya hovyo yanafanyika watu Wana matatizo lukuki huku mtaani maji hakuna umeme hakuna kila.kona matatizo alafu pesa zinaenda kwenye mipira yani ujingaujinga tuJust imagine... Unanunua tiketi kwa ajili ya watu ambao wangeweza kujinunulia tiketi... What a wastage of resourses any way yani Muumba aje tu atutwae wote[emoji34][emoji34][emoji34]
Yeah mtu wa kawaida anaweza kufanya kazi zaidi ya tatu tofauti ili mkono uende kinywani. Waajiri hawana simile au uvumulivu wa uzembe au ubadhirifu wa aina yoyoye ile. Matokeo ya kazi yanapaswa kuonekana sasa hivi ili kujihakikishia kibarua chako ukifanya kazi taasisi ya aina yoyote ile. Huo ni baadhi ya uzoefu wangu tu. Magufuli alileta ile model ya tumbua tumbua na kuonyesha hulka ya kutovumilia uzembe wa aina yoyote ile matokeo yake kale kafala kakaanza kumuita dikteta uchwara. Leo hii eti mnajiuliza Denmark inawezaje?Tumegee kidogo uzoefu wako mkuu.
SawaHajawahi kuwa na mwelekeo wowote wa kuipeleka nchi huko unakokusema, yule alikua ni mpiga kelele tu.
Keleke zilikua nyingi kuliko vitendo. Ukute angekuwa hai hata ile Ikulu isingekamilika, maana alishahamia CHATO.
Wenzetu Wana akili sio sisi tunaswagwa kama kuku kila siku.kuimba nabii flani sijui nini ujingaujinga tuNayo pia ni kanchi kadoogo, inaingia Tanzania zaidi ya mara mbili, na kana population ya watu milioni tano tu, lakini inaipa Tanzania misaada.
Ila Wazungu nao!!! Kama vile hawawaamini watu weusi.
Mwaka 2009, niliingia ibadani kwenye Kanisa moja mkoani Kilimanjaro. Mchungaji wa hilo Kanisa alikuwa amerejea kutoka Finland alikoenda kuomba msaada. Katika taarifa aliyoitoa Kanisani ya safari yake, alisema Wafinish wamekubali kuufadhili mradi husika ila hawatatuma pesa, watakuja kuusimamia wenyewe. Walikuwa na mashaka kuwa kama wangewapatia pesa taslimu, huenda zingetumika isivyostahiki.
Yaani hawawaamini hata Wachungajui?
Halafu kumbe Kabelgiji nako ni kadoogo, hakafikii hata mkoa wa Arusha, kana ukubwa wa kilomita za mraba 30,688 huku Arusha ikiwa na kilomita za mraba 37,576.Ukubwa wa pua si wingi wa kamasi.Jiulize ki nchi kama Belgium kutawala linchi likubwa kama Congo -Belge.
Kuna mwingine pia alisema hata kupigana vita ya Kagera kuliigharimu uchumi wa nchi , sijui kama Kuna ukweli wa hili.Kati ya makosa ninayoamini yalifanywa na baba wa Taifa ni kukumbatia sera ya Ujamaa.
Japo inawezekana ujamaa ulisaidia kutufanya kuwa wamoja, ulichangia pakubwa kutudidimiza kiuchumi.
Mtu mweusi ni hatari kwa afya ya dunia
Tanzania imewazidi Denmark kuwa na wasomi wengi wenye PHD ambao majina yao yananza na Dr. Siku hizi wameongezeka na wengine nimeona wanaanza na CPA so and so. Matunda ya wasomi hawa hayaonekani. Badala ya kujikita kuendeleza nchi yetu kupitia fani walizosomea wanakimbilia kwenye siasa ambako hela zipo njenje. Kama tunataka kuendelea mishahara ya wabunge ipunguzwe iwe milioni moja na watumie public transport tuone kama wataendelea kutoana macho kuutaka ubunge. Bunge lenyewe ukiangalia wabunge wanaokuwemo mjengoni wakati mijadala muhimu inaendelea zaidi ya robo tatu hawamo. Kuna haja gani kuwalipa mahela yote wanayopata halafu tutegemee nchi yetu kupata maendeleo!!Ukifanya ulinganisho, Tanzania imeizidi kwa mambo mengi isipokuwa ujinga na umaskini. Ina rasilimali nyingi sana kuizidi, na hata idadi ya watu tumeipita mbali sana.
Hapana, hapana mkuu! Waafrika hawataendelea kuwa duni milele. Kuna kizazi cha fikra mpya kinaibuka. Kitapindua "meza"Mwafrica alikuja duniani Kwaajili ya kumtumikia mweupe Tu....watu watakuja na sababu zaidi ya 100 lkn ukweli utabikia kuwa hivyo