REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,283
- 11,558
ok.Kuna usemi wa kiswahili unasema kibaya chajitembeza kizuri cha jiuza haya angalia hayo mapokezi unaona watu wa tabaka moja hatuoni wale wenzetu wasio na viatu unga unga mwana walisukumwa na tukio zaidi tunaona kundi furani liliotoka nyumbani likavaa na kupendeza ajiri ya tukio maana yake nini ni watu walioandaliwa ajiri ya tukio
Misafara inapita haisimani kuona tukio waimbe yani hatq parade za simba ya Yanga zimezidi ubora
Grishoni na bashite ujumbe mmeupata
Hakuna makasiriko acheni chezea pesa kwa mambo ambayo wanainchi wanawesa yafanya kwa mapenzi yao si mpaka waziri au nani awepo kwani matukio haya si mageni yalikuwepo na jamii iliyasapoti sana pale jamii ilipokuwa sawa hakuna kutekana tekana uwana uwanaok.
but punguza makasiriko gentleman na itapendeza zaidi 🐒
Alijua Kura zilitoka Tz?Tuko busy Mitandaoni na Ops Katiba Mpya na Free Tundu Lissu.
Wegesa anatandika Mikutano hata saa 12 alfajiri na Nyomi Ni la kutisha na makundi yote yanahudhuria.
acha porojo gentleman plz,Hakuna makasiriko acheni chezea pesa kwa mambo ambayo wanainchi wanawesa yafanya kwa mapenzi yao si mpaka waziri au nani awepo kwani matukio haya si mageni yalikuwepo na jamii iliyasapoti sana pale jamii ilipokuwa sawa hakuna kutekana tekana uwana uwana
Hao wanywa visungura ndio nyomi?Nyomi kibao limejitokeza Airport
Hata kama nchi ingekuwa imejaa furaha unakwenda Airport kufanya nini?Kuna usemi wa kiswahili unasema kibaya chajitembeza kizuri cha jiuza haya angalia hayo mapokezi unaona watu wa tabaka moja hatuoni wale wenzetu wasio na viatu unga unga mwana walisukumwa na tukio zaidi tunaona kundi furani liliotoka nyumbani likavaa na kupendeza ajiri ya tukio maana yake nini ni watu walioandaliwa ajiri ya tukio
Misafara inapita haisimani kuona tukio waimbe yani hatq parade za simba ya Yanga zimezidi ubora
Grishoni na bashite ujumbe mmeupata