kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
It's stressful wala sio utani, hata wanaofanya biashara kubwa nao wanapitia changamoto zao, kumbuka mikopo mikubwa wanayochukua, return ikishuka kidogo tu nao wanaumiza kichwa.They vary accordingly, kuna week inazidi hapo kuna week inapungua hapo.. ila dah biashara ya mitaji mikubwa naona ndio haina hizi stress za hapaπ€¦π½ββοΈ
Kweli hapo lazima uchizi, naona capital iendane na income tu.. biashara ukiwa unaiplan inakuonesha mwanga mpaka sio poa.. pesa unayoweka returns zake haziridhishi..It's stressful wala sio utani, hata wanaofanya biashara kubwa nao wanapitia changamoto zao, kumbuka mikopo mikubwa wanayochukua, return ikishuka kidogo tu nao wanaumiza kichwa.
Mtu kaweka 500m analalamika kupata faida ya 5m per month. π’
Binafsi nina kiofisi, hayo mahesabu yako sifanyi. Naona kama nitawehuka tu, muhimu nikifika nakuta kika kitu kinaenda, narekodi purchases, sales na expenses baaaas!! Nikiona manunuzi ya mwezi yameshuka najua tu faida ni ndogo. Nikiona mauzo ya mwezi madogo napigia tu mstari najua mwezi wa hasara huu...Kweli hapo lazima uchizi, naona capital iendane na income tu.. biashara ukiwa unaiplan inakuomesha mwanga mpaka sio poa.. pesa unayoweka returns zake haziridhishi..
Plough back your profits to increase your capital.Asante, nimeokota ku-purchase in bulks kupunguza gharama ila unnecessary expenses sina kabisa!
Duhh mimi naandika ata matumizi yangu ya nyumbani sembuse ofisi uwii nina note book kama tano za kuandika tuπBinafsi nina kiofisi, hayo mahesabu yako sifanyi. Naona kama nitawehuka tu, muhimu nikifika nakuta kika kitu kinaenda, narekodi purchases, sales na expenses baaaas!! Nikiona manunuzi ya mwezi yameshuka najua tu faida ni ndogo. Nikiona mauzo ya mwezi madogo napigia tu mstari najua mwezi wa hasara huu...
....shida inakuja kama plowback (ploughing back) inaenda kuinvest kwenye bidhaa hizo hizo zinazozidiwa na matumizi. Na pia strategy hii itamzuia kutafuta external financing.Plough back your profits to increase your capital.
Uingize sokoni mzigo mkubwa anakuja kenge analeta Mali kama ile ile yako anauza kwa bei we uliyochukulia.It's stressful wala sio utani, hata wanaofanya biashara kubwa nao wanapitia changamoto zao, kumbuka mikopo mikubwa wanayochukua, return ikishuka kidogo tu nao wanaumiza kichwa.
Mtu kaweka 500m analalamika kupata faida ya 5m per month. π’
Unashindwa hata uanzie wapi, unajiuliza yeye kanunulia wapi hupati jibu.Uingize sokoni mzigo mkubwa anakuja kenge analeta Mali kama ile ile yako anauza kwa bei we uliyochukulia.
Hapo ndo ile pressure sio pressure, kutetemeka sio kutetemeka, hofu flan na uoga.Unashindwa hata uanzie wapi, unajiuliza yeye kanunulia wapi hupati jibu.
Hatuna pa kusemea! Wale watu wa service levy wakipita nawaambia mi sio muhusika! Nakwepa ila sina namnaβΉοΈHapo ndo ile pressure sio pressure, kutetemeka sio kutetemeka, hofu flan na uoga.
Wafanyabiashara wadogo wanapitia mengi sema ndo hvo kimya kimya wanakufa na tai shingoni
...hapo wewe inabidi ufanye sale, nunua kimoja pata kimoja bure(BOGO) Bei unaweka ya kununua bidhaa mbili kwa moja. Hapa utauza zaidi na ikibidi, nenda kanunue kwakeUingize sokoni mzigo mkubwa anakuja kenge analeta Mali kama ile ile yako anauza kwa bei we uliyochukulia.
Biashara ndogo inabidi ujikane nafsi, hata Kula yako lazima iwe ya kinidhamu, kama mtaji haujawa mkubwa au mzunguko wa pesa si mkubwa basi pesa zinakimbia kwenye wants hizo maana biashara ikiwa ndogo huwezi pata Faida kubwa, coz Kwa maingizo hayo lazima hata Kula iwe ya kusukuma siku ili uweze kukuza mtaji...Nakumbuka nyumbani kila tukiwa na Mradi mpya basi tutaishi kama wakimbizi, Mzee kila ukimgusa "atakwambia sina hela ya mchezo mm" na pochi anakutolea jeupe limejaa risiti dadeki, lakini ile yote ni kuonyesha kuwa biashara bado ni ndogo nidhamu lazima iwepo na ukishindwa hili utakuwa hukui kabisa...Cha ajabu matumizi yangu hayategemei kipato cha ofisi, naongelea zile expenses za kawaida ukiwa ndani ya ofisi..
Kuna biashara nilikuaga nafanya naingiza 150-200k karibia kila siku,lakini mtaji haukuiKuna fixed expenses huna namna lazima zilipwe:
1. Maji
2. Umeme
3. Ulinzi
4. Kodi
5. Mshahara wa mfanyakazi(kama yupo).
6. Leseni na kodi za serikali
Hapa huwezi kujibana maana hizi ni za lazima. Biashara ikifeli kulipa hizi expenses lazima kuwe na source nyingine iliyopo stable.
Ndio maana wajasirimali wengi wanalia, au nasema uongo naa?
Hii 150k-200k ilikuwa ni mauzo au faida?Kuna biashara nilikuaga nafanya naingiza 150-200k karibia kila siku,lakini mtaji haukui
Kuja kupiga hesabu kwa mwezi mzima faida ni kama elf 30 hapo sijajilipa mwenyewe πππ ndo maana nashangaaga sana mtu kafungua duka miezi miwili kannua range uwii π
Kuna biashara watu wanaingiza mpaka 500k kwa siku inategemea na soko lako tu(eneo,ubunifu) kuna watu wameteka masoko hatari!Hii 150k-200k ilikuwa ni mauzo au faida?
Maana kwa faida ya 150k per day hiyo ni biashara yenye capital kubwa tu. Yani 150k per day kama faida utaishi poa sana mjini hapa.
Kama ni mauzo, kuna biashara ili ikupe faida ya 50k per day mauzo yawe zaidi ya 1m.