Income ipo, expenses za ofisi zipo chini yake lakini profit haiendani na juhudi

Nimesom baadhi ya comments. Kwa upande wangu mm naon wan force ufany vitu ambavyo hautaweza. Mfano suala la kupunguza matumiz ambay ni ya lazim. Mm nakubalian na yule aliyesem tanua iyo biashara. Mfano unawez kuongeza mpesa Yan Kam umewez kubuni biashara na ukaingiz iyo fedha huo ni mwanzo mzuri. Embu tafakar ni kitu gan unawez kubuni tena ndani iyo biashara kulingana na mazingira. Kama ikishindikan badilish biashara Yani mtu uache kula kwel ili upat faida utafanya hivy mpak lini
 
Yaan afungue biashara zingine km 4 hivi kutoka 1 yaan afanye duplication ya mauzo maana yake inabidi afungue hio biashara zaidi ya mara 2 mpaka 4 au sio? Can you do that on PDF or on field?
Umemuelewa tofauti
Anamaanisha kama anauza mosimo 10 per week means auze mosimo 20 per week
Atawezaje ku double sales???? Afanye marketing
 
Usitake majibu yako yawe sahihi kwa Kila mtu
Hapo nimempa option mbili
Why?

1. Anaweza kuongeza sales kwakuongeza combo products (ndo kaongeza mtaji hivyo)
2. Anakuza mauzo yake mfano from mosimo 10 to 20 per week means kama Kila mosimo alikuwa anatengeneza faida ya 2k means awali alikuwa na faida ya 20k now atakuwa na faida ya 40k


Huko kwenye milioni 500 umefika mbali sana
 
Investment ina uhusiano mkubwa na return pia. Usimamizi wa pesa kwenye biashara ambazo zimekuwa zinakuwa ni changamoto na hii inatokea na dusu Kwa dusu hakuna utaratibu wa kujilipa mwisho wa mwenzio ndio maana inakuwa changamoto wakati mwingine ku trace real profit
 
Biashara ngumu sana hiyo! Sisi wengine ni mpaka tupambana wenyewe after all hatuna kitu cha kuuza😬
Ulishaskia kahaba yupi au Malaya yupi yupo kwenye top 10 ya list ya matajiri KATIKA taifa au Dunia eti kwamba katoboa sababu ya kuuza k au kijambio.
Sijawahi sikia kwakweli, napo naona wana mafanikio makubwa kuzidi sisi tunaopambana wenyeweπŸ˜…
 
Wewe mtaji hauzidi laki 3 tenaπŸ˜‚πŸ˜‚

Machine za rangi moja ni 150k

Rangi za gel zipo 30+@10k

Kuna za kawaida

Kuna vifaa vya manicure

Kuna bidhaa nyingine pia

Mambo ni mengi jamani wewe

Mtaji wa 400,ukuletee mpaka 100, kwa week, kila mtu angeanza biashara na kulalamika kungepungua!πŸ˜…

Hakuna biashara ndogo ukianza kuweka pesa! (Haimaanishi ntamfikia mwenye 500mils)
 
Dusu kwa dusu maana yake nini?
 
Dusu kwa dusu maana yake nini?
( Uingizaji wa hela wa kidogo kidogo ) . Nzuri jiwekee utaratibu wa mwisho wa mwezi, ila ukiwa na ya wiki au kwa siku ina changamoto. Ila ukiweka Kwa mwezi Kuna kitu tofauti utaanza kukiona
 
Kwa mwezi nitaridhika snaa na sitoona makosa madogo madgo kama haya yaliyopo sasa!
Ukitaka growth fanya hivyo. Biashara nyingi za Kati au chini wanazifubuza Kwa utaratibu usio mzuri wa utoaji pesa. Nitafute nikupe ushauri wa biashara na hesabu Bure kabisa Kwa brother kama wewe..
 
Ukitaka growth fanya hivyo. Biashara nyingi za Kati au chini wanazifubuza Kwa utaratibu usio mzuri wa utoaji pesa. Nitafute nikupeushauri wa biashara na hesabu Bure kabisa Kwa brother kama wewe..
Nikutafute wapi sista? Kwanini usitoe hapa kwa faida ya members mkuu! Nyie wadada mkifuatwa pm mnaringa sana! Kwanza pm umefunga mtu akutafute wapi usingizini au?
 
Nikutafute wapi sista? Kwanini usitoe hapa kwa faida ya members mkuu! Nyie wadada mkifuatwa pm mnaringa sana! Kwanza pm umefunga mtu akutafute wapi usingizini au?
πŸ˜… Nafungua Kwa ajiri yako brother. Ndio maana Kuna consultation bro wangu, hizo ni service ni taalamu za watu Kuna pa kutoa free na pa kulipia na Kwa wewe Bure kabisa brother nimekuwa kwenye game for 15 years ups and down nyingi nimepita nazo
 
πŸ˜… Nafungua Kwa ajiri yako brother. Ndio maana Kuna consultation bro wangu, hizo ni service ni taalamu za watu Kuna pa kutoa free na pa kulipia na Kwa wewe Bure kabisa brother nimekuwa kwenye game for 15 years ups and down nyingi nimepita nazo
Aanh sister uje useme nimekutongoza, weka hapa ata kidogo tufaidike wachache bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…