Income ipo, expenses za ofisi zipo chini yake lakini profit haiendani na juhudi

Punguza matumizi kwa kupunguza idadi ya watu, pika chakula nyumbani beba lunch box ofisini
 
Kwanza, kuhusu swali la kama hii ni hali ya kawaida. Ndiyo, ni ya kawaida. Biashara nyingi ndogo zinaweza kuwa na income > expenses lakini bado mmiliki akahisi hakuna pesa. Sababu kubwa ni kwamba faida halisi huwa ndogo baada ya kujumlisha gharama zote, hasa zile za kila siku kama chakula, umeme, maji, na matumizi madogo madogo yanayokula pesa kimya kimya. Hii huitwa โ€œbusiness that survives but doesnโ€™t growโ€.

Pili, hapa kuna jambo muhimu sana: tenganisha matumizi ya biashara na matumizi ya maisha. Chakula chako binafsi, matumizi ya nyumbani, hata kama unafanya biashara nyumbani, hayapaswi kuhesabiwa yote kama gharama za biashara. Biashara ya urembo inapaswa kubeba:
โ€“ gharama za bidhaa (creams, vifaa, n.k.)
โ€“ umeme/maji yanayotumika moja kwa moja kwenye huduma
โ€“ kodi kama ipo
โ€“ vifaa na matengenezo
Ukichanganya matumizi ya maisha na ya biashara, faida itaonekana ndogo kuliko ilivyo, na kichwa kitachoka bure.
 
Mo na Bakhresa wapo kwenye mass market

Nashauri ili tusimchamganye muomba ushauri tujikite na hesabu halisi na za kweli kutokata na stage ya biashara yake
 
Biashara ngumu sana hiyo! Sisi wengine ni mpaka tupambana wenyewe after all hatuna kitu cha kuuza๐Ÿ˜ฌ

Sijawahi sikia kwakweli, napo naona wana mafanikio makubwa kuzidi sisi tunaopambana wenyewe๐Ÿ˜…
Hawana lolote hao wanakalia Tako moja vijambio vyao vinawauma washafumuliwa marinda
 
Umewaza nini Mzee unamjua Nicole Joyce Berry? Tulia kwanza usije kwa pupa utakaa
Ndo ametajirika Kwa k na kijambio sio, mchunguze Kwa undani kama hajinyeagi huyo, matundu yote hapo yapo wazi akicheka au akikihoa anajamba ushuzi au anakunya, hapo ni mwendo wa kunuka mavi tuu maaaaamaeeee

Na huyo hawezi kukalia matako yote ni mwendo wa kukalia Tako moja hata akiwa anaendesha gari ili asijitoneshe kijambioni maumivu ya kusuguliwa.
 
 
tafuta mhasibu akupigie hesabu unakosea upigaji wako wa hesabu kuna principals of accounting unazikosea hauruhusiwi kuchanganya mahesabu ya biashara na binafsi yanatakiwa kujitegemea nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ