India na China wakinukisha, wanajeshi watatu wa India wauawa, dunia inatamani sana damu

China Ni wababe wa India, Kuna kipindi Tena walichapana ngumi palepale borderline, wanajeshi wa India walipigwa ngumi mpaka wakataka kuanzisha Vita ya mitutu, hawa jamaa huwa hawaelewani kabisa.
Jamaa wanachukiana mnoo sijui kwanini
 
Sasa Angola ndio unaifananisha na China au India ...wewe jamaa sijui umekula maharage ya wapi ?
 
Ndugu yao akina Pimbi .... Kenya yenyewe ina rank kubwa kwa ukanda huu ila anachezea kichapo na wavaa makobazi
Unafkiri hata kama ingekuwa TZ ni rahisi kuwapiga wavaa makobazi kwenye nchi yao???...Wale jamaa they have nithing to lose..Russia,Marekani,UK wote wanajua mziki wa wavaa makobazi...Usiwacheke kabisa kenya,..
 
Wachangiaji wengi wa huu uzi wamechagua upande wa China (hata Mimi hapo awali) nadhani ni sababu ya mahusiano ya kibiashara baina ya China na Tz.

pia ushindani wa China na Marekani kibiashara na kijeshi huko bahari ya kusini mwa China umetufanya tuione China kama taifa babe kuliko India kwenye hilo eneo.

Ila kumbukeni hata India ni mwekezaji mkubwa hapa nchini na anategemewa sana kwa matibabu na raia wetu wengi hivyo msiwatabirie mabaya.

Hayo mataifa mawili ni wawekezaji wakubwa huku Africa, pia wanafanya biashara ya mamilioni ya dola na mataifa mengi huku Africa, hivyo tuwaombee amani.
 
India anatoshana na Pakistani sio China. Pak kila mara anadungua ndege za India F16 kwa kutumia Old Migs
 
Yaani kwao bado Corona haitoshi mpaka wanafikia hatua ya kutafuta msaada wa vita?
 
Unafkiri hata kama ingekuwa TZ ni rahisi kuwapiga wavaa makobazi kwenye nchi yao???...Wale jamaa they have nithing to lose..Russia,Marekani,UK wote wanajua mziki wa wavaa makobazi...Usiwacheke kabisa kenya,..
Kwani russia na usa wanaendaga kwa wavaa makobazi kufanya biashara ya mkaa na mirungi?? kenya utopolo tu pale westgate makobazi wamepiga wakachomoka maaskari wanakimbilia kuiba mikate supermarket
 
Wale wameenda kukata mikaa tu kule na kuuza mirungi jeshi lina vifaa ila discipline 0 hamna tofauti na maimai
 
Wahindi uwa hawana uelewano na yeyote yule,wacha wachapwe akili iwakae sawa
Wahindi nao ni kama ndugu zetu wapare, kila mara wao tu ndio wana migogoro ya mipaka na majira zao, mara agombane na Pakistani, leo china kesho sijui Nepal, kesho kutwa Bangladeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…