India wabadili jina la nchi yao

India wabadili jina la nchi yao

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
7,021
Reaction score
11,475
Kuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na jina la Mjerumani ambaye alilitambua eneo hili kama Deutsch Ostafrika

Leo huko India muswaada unaandaliwa kupelekwa Bungeni ili kuachana na jina "India" ili nchi hiyo iitwe Bharat. Yasemekana jina la asili ni Bharat na hilo jina "India" lililetwa na UKOLONI wa Mwingereza alipotawala eneo hilo kati ya 1747-1957
Screenshot_20230905_160805_X.jpg
Screenshot_20230905_161000_X.jpg
 
Je! "ZANZIBAR" ni jina la wapi??
Asili yake ni kutoka kwa nani?

Je! Kama huu
"MUUNGANO" ukivunjika,Huku Bara tunajulikana kama nchi gani?

Tuanzie hapo kwanza utupe jibu tukuelewe.
Na ni nini lengo au hoja yako haswa ni nini?
 
Kuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na jina la Mjerumani ambaye alilitambua eneo hili kama Deutsch Ostafrika

Leo huko India muswaada unaandaliwa kupelekwa Bungeni ili kuachana na jina "India" ili nchi hiyo iitwe Bharat. Yasemekana jina la asili ni Bharat na hilo jina "India" lililetwa na UKOLONI wa Mwingereza alipotawala eneo hilo kati ya 1747-1957View attachment 2740020View attachment 2740021
Bongo hawawezi peleka muswada huo coz wanamuogopa mkoloni asije wanyima msaada!!
 
Kuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na jina la Mjerumani ambaye alilitambua eneo hili kama Deutsch Ostafrika

Leo huko India muswaada unaandaliwa kupelekwa Bungeni ili kuachana na jina "India" ili nchi hiyo iitwe Bharat. Yasemekana jina la asili ni Bharat na hilo jina "India" lililetwa na UKOLONI wa Mwingereza alipotawala eneo hilo kati ya 1747-1957View attachment 2740020View attachment 2740021
Kwani Tanzania ni jina la kikoloni mkuuu tuanzie hapo mkuu
 
Kuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na jina la Mjerumani ambaye alilitambua eneo hili kama Deutsch Ostafrika

Leo huko India muswaada unaandaliwa kupelekwa Bungeni ili kuachana na jina "India" ili nchi hiyo iitwe Bharat. Yasemekana jina la asili ni Bharat na hilo jina "India" lililetwa na UKOLONI wa Mwingereza alipotawala eneo hilo kati ya 1747-1957View attachment 2740020View attachment 2740021
Acha Ushamba wewe
 
Hatupiganii jina tunapigania mamlaka
 
India hii ya leo haijawahi kuwa Nchi moja, hali kadhalika Tanganyika kabla ya Wakoloni haijawahi kuwa Nchi moja.

Tujikite kwenye mambo yenye kubadilisha maisha yetu for the better, kama vile KATIBA BORA MPYA, kuondoa Autocracy Nchini, na kuhakikisha Democracy inaota mizizi kwenye Jamii zetu.
 
Kuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na jina la Mjerumani ambaye alilitambua eneo hili kama Deutsch Ostafrika

Leo huko India muswaada unaandaliwa kupelekwa Bungeni ili kuachana na jina "India" ili nchi hiyo iitwe Bharat. Yasemekana jina la asili ni Bharat na hilo jina "India" lililetwa na UKOLONI wa Mwingereza alipotawala eneo hilo kati ya 1747-1957View attachment 2740020View attachment 2740021
Basi wewe tuambie kabla kuitwa Tanganyika ni jina lipi la asili unalolijua lilikuwa likitumika ili tulipiganie. Ukitoa jibu basi utakuwa una uhalali wa kutetea hoja yako. Km hujui basi utakuwa mropokaji tu km wengine. Am awaiting.
 
Usiwe na wasiwasi. Tutajiita Bongoland baada ya kuachana na hao kupe.
 
Kuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na jina la Mjerumani ambaye alilitambua eneo hili kama Deutsch Ostafrika

Leo huko India muswaada unaandaliwa kupelekwa Bungeni ili kuachana na jina "India" ili nchi hiyo iitwe Bharat. Yasemekana jina la asili ni Bharat na hilo jina "India" lililetwa na UKOLONI wa Mwingereza alipotawala eneo hilo kati ya 1747-1957View attachment 2740020View attachment 2740021
kila cha mkoloni ni kibaya na kila cha ccm nikizuri?
 
Basi wewe tuambie kabla kuitwa Tanganyika ni jina lipi la asili unalolijua lilikuwa likitumika ili tulipiganie. Ukitoa jibu basi utakuwa una uhalali wa kutetea hoja yako. Km hujui basi utakuwa mropokaji tu km wengine. Am awaiting.
Akikujibu nitag tafadhali.
 
Kuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na jina la Mjerumani ambaye alilitambua eneo hili kama Deutsch Ostafrika

Leo huko India muswaada unaandaliwa kupelekwa Bungeni ili kuachana na jina "India" ili nchi hiyo iitwe Bharat. Yasemekana jina la asili ni Bharat na hilo jina "India" lililetwa na UKOLONI wa Mwingereza alipotawala eneo hilo kati ya 1747-1957View attachment 2740020View attachment 2740021
Muandishi acha kamba, unatufunga kamba wazi wazi. Jina Tanganyika sio la wazungu au la kikoloni.

Jina "Tanganyika" linatoka katika lugha ya Kibantu. "Tanga" inamaanisha "kusafiri kwa meli" na "nyika" inamaanisha "eneo la porini" au "tambarare." Kwa hiyo, "Tanganyika" kwa kiasi kikubwa inaweza kutafsiriwa kama "Kusafiri kwa Meli katika Eneo la Porini" au "Kusafiri kwa Meli katika Tambarare."
 
Kuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na jina la Mjerumani ambaye alilitambua eneo hili kama Deutsch Ostafrika

Leo huko India muswaada unaandaliwa kupelekwa Bungeni ili kuachana na jina "India" ili nchi hiyo iitwe Bharat. Yasemekana jina la asili ni Bharat na hilo jina "India" lililetwa na UKOLONI wa Mwingereza alipotawala eneo hilo kati ya 1747-1957View attachment 2740020View attachment 2740021
Kama ilivyo Tanzania ndivyo ilivyo Tanganyika, ungeanza kuulizs maana ya hilo jina ili uelewe.
 
Nini maana ya Tanganyika?Tuanzia hapo kwanza
Kasome barua za Mkwawa na bwana kheri, itaikuta Tanganyika. Kuna Jimbo linaitwa Tanganyika pia huko congo Dr, Tanga na nyika, nyika na vome, umekuta nchi imekatwa miti, ungeikuta na miti yake ungejua kwa nini iliitwa Tanganyika
 
Back
Top Bottom