Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Kuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na jina la Mjerumani ambaye alilitambua eneo hili kama Deutsch Ostafrika
Leo huko India muswaada unaandaliwa kupelekwa Bungeni ili kuachana na jina "India" ili nchi hiyo iitwe Bharat. Yasemekana jina la asili ni Bharat na hilo jina "India" lililetwa na UKOLONI wa Mwingereza alipotawala eneo hilo kati ya 1747-1957