Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Zanzibar=Zenj=Mtu mweusi mwenye sura tatanishiJe! "ZANZIBAR" ni jina la wapi??
Asili yake ni kutoka kwa nani?
Je! Kama huu
"MUUNGANO" ukivunjika,Huku Bara tunajulikana kama nchi gani?
Tuanzie hapo kwanza utupe jibu tukuelewe.
Na ni nini lengo au hoja yako haswa ni nini?
Tanganyika=Uwanda wa maji, mwambao wa fukwe, nyika za mbuga na konde kwa mashamba zilizo chini ya tawala za watu weusi wenye misuli ya kupambana na chochote