India wabadili jina la nchi yao

India wabadili jina la nchi yao

Je! Zanzibar ni jina la wapi??
Asili yake ni kutoka kwa nani?

Je u
MUUNGANO huu ukivunjika Huku Bara tunajulikana kama nchi gani?
Zanzibar ni muunganisho wa Unguja na Pemba.
 
Kasome barua za Mkwawa na bwana kheri, itaikuta Tanganyika. Kuna Jimbo linaitwa Tanganyika pia huko congo Dr, Tanga na nyika, nyika na vome, umekuta nchi imekatwa miti, ungeikuta na miti yake ungejua kwa nini iliitwa Tanganyika
Hata ukitoka Muheza unapokwenda Tanga kabla ya kufika Pongwe kuna kijiji kinaitwa Tanganyika.
 
Muandishi acha kamba, unatufunga kamba wazi wazi. Jina Tanganyika sio la wazungu au la kikoloni.

Jina "Tanganyika" linatoka katika lugha ya Kibantu. "Tanga" inamaanisha "kusafiri kwa meli" na "nyika" inamaanisha "eneo la porini" au "tambarare." Kwa hiyo, "Tanganyika" kwa kiasi kikubwa inaweza kutafsiriwa kama "Kusafiri kwa Meli katika Eneo la Porini" au "Kusafiri kwa Meli katika Tambarare."
Tanga na nyika,ukisafiri toka iringa kwa mkwawa mpaka Tanga kwa abushiri,sharti utange na nyika
 
Kuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na jina la Mjerumani ambaye alilitambua eneo hili kama Deutsch Ostafrika

Leo huko India muswaada unaandaliwa kupelekwa Bungeni ili kuachana na jina "India" ili nchi hiyo iitwe Bharat. Yasemekana jina la asili ni Bharat na hilo jina "India" lililetwa na UKOLONI wa Mwingereza alipotawala eneo hilo kati ya 1747-1957View attachment 2740020View attachment 2740021
Hamia india
 
Muandishi acha kamba, unatufunga kamba wazi wazi. Jina Tanganyika sio la wazungu au la kikoloni.

Jina "Tanganyika" linatoka katika lugha ya Kibantu. "Tanga" inamaanisha "kusafiri kwa meli" na "nyika" inamaanisha "eneo la porini" au "tambarare." Kwa hiyo, "Tanganyika" kwa kiasi kikubwa inaweza kutafsiriwa kama "Kusafiri kwa Meli katika Eneo la Porini" au "Kusafiri kwa Meli katika Tambarare."
Jina la Tanganyika ni mkusanyiko wa maneno mawili

1. TANGA- Ni kuhangaika, kusumbuka, na kutotulia bila ya lengo maalum.

2. NYIKA- Ni mapori msitu mikubwa ambayo Kwa sehemu kubwa huwa inatawaliwa na nyasi.

Hivyo asili ya watanganyika ni watu wakuhangaika na kuhemea misituni bila ya kuwa na malengo na ukiangalia makabila mengi ya watanganyika wapo hivyo kuhama hama na kusumbuka na kutanga na nyika, kuhemea chakula, kutafuta maji malisho au hata bila sababu za msingi
 
Wanapigania jina au mamlaka?? Inawezekana bichwa lako limejaa kamasi.

Jina Tanganyika sio hoja, hoja ni mamlaka ya Tanganyika kama ilivyo kwa mamlaka ya Zanzibar.
Zanzibar wana mamlaka gani? Je wana kiti UN?
 
Basi wewe tuambie kabla kuitwa Tanganyika ni jina lipi la asili unalolijua lilikuwa likitumika ili tulipiganie. Ukitoa jibu basi utakuwa una uhalali wa kutetea hoja yako. Km hujui basi utakuwa mropokaji tu km wengine. Am awaiting.
Amesema kabla ya Mwingereza ilikuwa inaitwa Deutsch Ostafrika
 
Sio lazima kuiga kila kitu kutoka huko nje
 
Kuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na jina la Mjerumani ambaye alilitambua eneo hili kama Deutsch Ostafrika

Leo huko India muswaada unaandaliwa kupelekwa Bungeni ili kuachana na jina "India" ili nchi hiyo iitwe Bharat. Yasemekana jina la asili ni Bharat na hilo jina "India" lililetwa na UKOLONI wa Mwingereza alipotawala eneo hilo kati ya 1747-1957View attachment 2740020View attachment 2740021
At least ungetaja jina la asili ya nchi yetu kabla ya Tanganyika au Tanzania.

Kabla ya kuitwa "India" elders waliita "Bharat" Je, sisi "Tanganyika" kabla ya kuitwa "Tanzania" tulikuwa na jina gan?

Na je unapendekeza jina la wajeruman??
 
Amesema kabla ya Mwingereza ilikuwa inaitwa Deutsch Ostafrika
Muongo tu huyo, basi atuambie jina hilo asili yake ni nini na lina maana gani. Tatizo elimu yetu hii ya kukariri mambo haya ndo madhara yake plus ugumu wa maisha
 
Kuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na jina la Mjerumani ambaye alilitambua eneo hili kama Deutsch Ostafrika

Leo huko India muswaada unaandaliwa kupelekwa Bungeni ili kuachana na jina "India" ili nchi hiyo iitwe Bharat. Yasemekana jina la asili ni Bharat na hilo jina "India" lililetwa na UKOLONI wa Mwingereza alipotawala eneo hilo kati ya 1747-1957View attachment 2740020View attachment 2740021

Wakati US wakiachana na DP - World, sisi tunawakumbatia.
Huu sio utumwa mamboleo!!?
The Dubai Ports World controversy began in February 2006 and rose to prominence as a national security debate in the United States. At issue was the sale of port management businesses in six major U.S. seaports to a company based in the United Arab Emirates (UAE), and whether such a sale would compromise port security.

The controversy pertained to management contracts of six major United States ports. The purchaser was DP World (DPW), a state-owned company in the UAE. The contracts had already been foreign-owned, by Peninsular and Oriental Steam Navigation Company (P&O), a British firm taken over by DPW (completed in March 2006). Although the sale was approved by the executive branch of the United States Government, various United States political figures argued that the takeover would compromise U.S. port security.
 
Hao wahindi wajingaa sanaa kama wanataka kubadili jina basi waachane na mipaka aliyochora huyo mkoloni.

Yaani hao waunga huo mswada hawana tofauti na watanganyika waliovurugwa kwa kutaka kiswahili kitumike kufundisha chuo kikuu.

Hovyo sana, yaani mzungu wa watu katoka huko kwake kachunguza kapima nchi kwa marefu na mapana afu yanakuja yanataka kufuta
 
Kuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na jina la Mjerumani ambaye alilitambua eneo hili kama Deutsch Ostafrika

Leo huko India muswaada unaandaliwa kupelekwa Bungeni ili kuachana na jina "India" ili nchi hiyo iitwe Bharat. Yasemekana jina la asili ni Bharat na hilo jina "India" lililetwa na UKOLONI wa Mwingereza alipotawala eneo hilo kati ya 1747-1957View attachment 2740020View attachment 2740021
Sawa naona hata Uturuki ilibadili jina,Eswatin ,Burma nk
 
Kasome barua za mkwawa na bwana kheri,itaikuta Tanganyika,Kuna Jimbo linaitwa Tanganyika pia huko congo Dr,Tanga na nyika,nyika na vome,umekuta nchi imekatwa miti,ungeikuta na miti yake ungejua kwa nini iliitwa Tanganyika
Umeona hizi?
 
Back
Top Bottom