Bongo hawawezi peleka muswada huo coz wanamuogopa mkoloni asije wanyima msaada!!Kuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na jina la Mjerumani ambaye alilitambua eneo hili kama Deutsch Ostafrika
Leo huko India muswaada unaandaliwa kupelekwa Bungeni ili kuachana na jina "India" ili nchi hiyo iitwe Bharat. Yasemekana jina la asili ni Bharat na hilo jina "India" lililetwa na UKOLONI wa Mwingereza alipotawala eneo hilo kati ya 1747-1957View attachment 2740020View attachment 2740021
Kwani Tanzania ni jina la kikoloni mkuuu tuanzie hapo mkuuKuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na jina la Mjerumani ambaye alilitambua eneo hili kama Deutsch Ostafrika
Leo huko India muswaada unaandaliwa kupelekwa Bungeni ili kuachana na jina "India" ili nchi hiyo iitwe Bharat. Yasemekana jina la asili ni Bharat na hilo jina "India" lililetwa na UKOLONI wa Mwingereza alipotawala eneo hilo kati ya 1747-1957View attachment 2740020View attachment 2740021
Acha Ushamba weweKuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na jina la Mjerumani ambaye alilitambua eneo hili kama Deutsch Ostafrika
Leo huko India muswaada unaandaliwa kupelekwa Bungeni ili kuachana na jina "India" ili nchi hiyo iitwe Bharat. Yasemekana jina la asili ni Bharat na hilo jina "India" lililetwa na UKOLONI wa Mwingereza alipotawala eneo hilo kati ya 1747-1957View attachment 2740020View attachment 2740021
Hatupiganii jina tunapigania mamlakaKuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na jina la Mjerumani ambaye alilitambua eneo hili kama Deutsch Ostafrika
Leo huko India muswaada unaandaliwa kupelekwa Bungeni ili kuachana na jina "India" ili nchi hiyo iitwe Bharat. Yasemekana jina la asili ni Bharat na hilo jina "India" lililetwa na UKOLONI wa Mwingereza alipotawala eneo hilo kati ya 1747-1957View attachment 2740020View attachment 2740021
MkuuJe! Zanzibar ni jina la wapi??
Asili yake ni kutoka kwa nani?
Je u
MUUNGANO huu ukivunjika Huku Bara tunajulikana kama nchi gani?
Basi wewe tuambie kabla kuitwa Tanganyika ni jina lipi la asili unalolijua lilikuwa likitumika ili tulipiganie. Ukitoa jibu basi utakuwa una uhalali wa kutetea hoja yako. Km hujui basi utakuwa mropokaji tu km wengine. Am awaiting.Kuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na jina la Mjerumani ambaye alilitambua eneo hili kama Deutsch Ostafrika
Leo huko India muswaada unaandaliwa kupelekwa Bungeni ili kuachana na jina "India" ili nchi hiyo iitwe Bharat. Yasemekana jina la asili ni Bharat na hilo jina "India" lililetwa na UKOLONI wa Mwingereza alipotawala eneo hilo kati ya 1747-1957View attachment 2740020View attachment 2740021
asili yake ni zinj na bar maana nchi ya watu weusiJe! Zanzibar ni jina la wapi??
Asili yake ni kutoka kwa nani?
Usiwe na wasiwasi. Tutajiita Bongoland baada ya kuachana na hao kupe.Kuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na jina la Mjerumani ambaye alilitambua eneo hili kama Deutsch Ostafrika
Leo huko India muswaada unaandaliwa kupelekwa Bungeni ili kuachana na jina "India" ili nchi hiyo iitwe Bharat. Yasemekana jina la asili ni Bharat na hilo jina "India" lililetwa na UKOLONI wa Mwingereza alipotawala eneo hilo kati ya 1747-1957View attachment 2740020View attachment 2740021
kila cha mkoloni ni kibaya na kila cha ccm nikizuri?Kuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na jina la Mjerumani ambaye alilitambua eneo hili kama Deutsch Ostafrika
Leo huko India muswaada unaandaliwa kupelekwa Bungeni ili kuachana na jina "India" ili nchi hiyo iitwe Bharat. Yasemekana jina la asili ni Bharat na hilo jina "India" lililetwa na UKOLONI wa Mwingereza alipotawala eneo hilo kati ya 1747-1957View attachment 2740020View attachment 2740021
Akikujibu nitag tafadhali.Basi wewe tuambie kabla kuitwa Tanganyika ni jina lipi la asili unalolijua lilikuwa likitumika ili tulipiganie. Ukitoa jibu basi utakuwa una uhalali wa kutetea hoja yako. Km hujui basi utakuwa mropokaji tu km wengine. Am awaiting.
Muandishi acha kamba, unatufunga kamba wazi wazi. Jina Tanganyika sio la wazungu au la kikoloni.Kuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na jina la Mjerumani ambaye alilitambua eneo hili kama Deutsch Ostafrika
Leo huko India muswaada unaandaliwa kupelekwa Bungeni ili kuachana na jina "India" ili nchi hiyo iitwe Bharat. Yasemekana jina la asili ni Bharat na hilo jina "India" lililetwa na UKOLONI wa Mwingereza alipotawala eneo hilo kati ya 1747-1957View attachment 2740020View attachment 2740021
Kama ilivyo Tanzania ndivyo ilivyo Tanganyika, ungeanza kuulizs maana ya hilo jina ili uelewe.Kuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na jina la Mjerumani ambaye alilitambua eneo hili kama Deutsch Ostafrika
Leo huko India muswaada unaandaliwa kupelekwa Bungeni ili kuachana na jina "India" ili nchi hiyo iitwe Bharat. Yasemekana jina la asili ni Bharat na hilo jina "India" lililetwa na UKOLONI wa Mwingereza alipotawala eneo hilo kati ya 1747-1957View attachment 2740020View attachment 2740021
Kasome barua za Mkwawa na bwana kheri, itaikuta Tanganyika. Kuna Jimbo linaitwa Tanganyika pia huko congo Dr, Tanga na nyika, nyika na vome, umekuta nchi imekatwa miti, ungeikuta na miti yake ungejua kwa nini iliitwa TanganyikaNini maana ya Tanganyika?Tuanzia hapo kwanza