India wabadili jina la nchi yao

Yaani mshashindwa kutatua masuala ya mafuta, bandari, Katiba, etc sasa mmehamia kwenye hili la Tanganyika??
Hivi kwenye muungano uliopo... mbona nchi moja kati ya zile zilizoungana haimo??
Kuna nini chini ya pazia??
 
This country Iko too big kuanza kuwa refer mwabukusi na mdude kama national heroes

Wale wamepenya kwenye agenda ya watu na kupata mic ya kupiga mbinja

Founders na walezi wa chadema ndio wa kuwaheshimu

Mzee wa mihogo naye keshajimaliza kwa sasa… kwa popo, SI NDEGE WALA SI MNYAMA
 
Mimi nawaangalia tu, kuna mji ulikuwa unaitwa Mzizima, sasa ivi una jina la mkoloni wa Oman hamuangaiki nao
 

Nyie ndio mnaokana majina yenu ya asili, Jina lako halisi unaitwa shetani unataka uitwe "SHETTY" 😆 😆 😆
 
Tanganyika jina lake ni Azania au unaweza kuiita Danganyika, Bantuland, Bara, Neema, unaweza kuiita chochote kwa sababu kabla ya kuja mkoloni, hizi nchi za kiafrika hazikuwa nchi bali mkusanyiko wa viinchi vidogo yaana vikabila. Hivyo, nashauri Tanzani aiitwe Father of All to begin with.
 
Tanga sio maana yake hiyo, tanga ni neno la kibondei maana yake shamba, ulipomji wa sasa wa tanga zamani ndipo yalipokuwepo mashamba ya wabondei, wao waliishi visiwani pembeni ya mji wa tanga wa sasa, kuitwa tanganyika tuwaulize wajerumani walipoingia tanga kwa mara ya kwanza 1890 kisha kujenga boma lao la kwanza ambalo mpka leo ni jengo la makumbusho linaitwa tanga rithi, anyway tanganyika ni jina lenye historia kubwa na ukoroni wa kijerumani
 
Hivi jina la Tanganyika tulipewa na mkoloni? Sio kipindi cha Ukoloni wao wakolonj waliitambua kama Africa ya mashariki ya kijeruman?
Ni mjerumani huyo, kumbuka hakuacha tamaduni yake hapa, alitumia majina na lugha za asili, yeye ndio muhusika wa kusambaza kiswahili tanganyika
 
Ni mjerumani huyo, kumbuka hakuacha tamaduni yake hapa, alitumia majina na lugha za asili, yeye ndio muhusika wa kusambaza kiswahili tanganyika
Lakini kumbuka kipindi cha Mjeruman nchi yako ikitwa Africa Mashariki ya Kijerumani! jina Tanganyika lilitokana na aina zamaki walikuwa wanapatika katika ziwa Tanganyika! alipokuja Muingereza ndipo akaona alitumie rasmi kwa nchi iliyoitwa Tanganyika Territory.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…