India: Wanafunzi washambuliwa wakiwa katika sala

India: Wanafunzi washambuliwa wakiwa katika sala

Wanataka kujenga kanisa la mashoga Pemba ?? mahali hakuna wakristo wala mashoga ??
Mkuu pemba hakuna mashoga????
Unamjua anti Abduly cheupe au yule demu anaesagana wa kipemba yupo anajiita Sofia Mtamu.....wewe????😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Au wewe wakuja haukai visiwani??
NB.....PEMBA HAKUNA WAKRSTO 😂🤣🤣🤣
 
Yaani Roho Mtakatifu wako amekutekenya umtukane Yesu na Mitume mingine kuwa walibinuka , au huna dini kafiri wewe ??

Naye Ezra Kuhani akasimama juu ya mimbari ya mti waliyokuwa wameifanya kwa kusudi hilo na karibu naye
akasimama Matithia ....... Ezra akakifungua kitabu machoni pa watu wote (maana alikuwa juu ya wote) na hapo alipokijua, watu wote walisimama Ezra akamhimidia Bwana, Mungu Mkuu. Nao wote wakaitika , Amina, Amina, pamoja na kuinua mikono yao kisha wakainama vichwa vyao wakamsujudia Bwana vifudifudi. (Nehemia 8:4-12; Mwanzo 17:3).

Yesu , Akaendelea mbele kidogo akaanguka kifulifuli akaomba ... (Mathayo 26;39).

Msujudie Mungu. (Ufunuo 22:9).

Musa akafanya haraka akainamisha kichwa chake hata nchi, akasujudu. (Kutoka 34:8; 1 Wakorintho 14:25).
Dini ndio nini mkuu.....na Yesu ndio nani???? Maana kuna yesu wa kiarabu issa na yesu wa kiyahudi Emanuel.....au ndio unaomba uungwaji mkono na wafuasi wa Yesu 🤣🤣🤣🤣???
Sasa ukimtukana kwa kiarabu kua yeye kafiri....haisaidii kitu.
Sio lazima wote wafuate utamaduni wa kiarabu.
NB: MZEE 😂🤣🤣 UNADHANI UKIWATUKANA HAO NDIO WATABADILISHA DINI ZAO WAKUFUATE 🤣🤣
 
nashangaa unashabikia kupigwa waislamu na wayahudi wakati hata hao wakristo ndiyo hawathaminiwi kabisa.
Mkuu hujui kua wakirsto na wayahudi wanamuabudu mungi wa kiyahudi aitwae Yehova.....!!!
Hata iweje wakrsto.....lazima wawaunge mkono wayahudi sababu dini yao imetokana na wayahudi.
Wakristo na waarabu na dini ya kiarabu na mungu wa kiarabu allah...ni vitu viwili tofauti mkuu.
Kwa waislamu mkrsto ni kafri
Kwa wakrsto muislamu ni kafri
😂🤣🤣🤣🤣🤣
 
Waislam huwa sio waelewq, huwatesa sana Wakristo kwenye nchi zao, lkn wao wakiguswa ni vilio vitupu.

Watu waachwe waabudu wanachokiamini.
Hao wanafunzi wameonewa bure
20231011_121906.jpg
 
Mkuu pemba hakuna mashoga????
Unamjua anti Abduly cheupe au yule demu anaesagana wa kipemba yupo anajiita Sofia Mtamu.....wewe????😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Au wewe wakuja haukai visiwani??
NB.....PEMBA HAKUNA WAKRSTO 😂🤣🤣🤣

Ulifika lini pemba ?+ au wapemba walikushughulikia kariakoo? 😛 😛 😛
 
Wanafunzi wasiopungua wanne wa kigeni wamejeruhiwa baada ya kundi la Wahindu wenye chuki za kidini kuvamia dakhalia ya chuo kikuu katika jimbo la Gujarat magharibi mwa India na kushambulia kundi la wanafunzi waliokuwa wanasali Sala ya Tarawehe katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.

Wanafunzi walioshambuliwa wamevieleza vyombo vya habari vya ndani kuwa kikundi kidogo kilikusanyika Jumamosi usiku ndani ya majengo ya dakhalia ya wavulana kwa ajili ya Sala ya Tarawehe kwa kuwa hakuna msikiti kwenye chuo kikuu kilichoko Ahmedabad. Muda mfupi baadaye, kundi la watu waliokuwa na fimbo na visu walivamia hosteli hiyo na kuwashambulia wanafunzi hao na kufanya uharibifu ndani ya vyumba vyao.

Mwanafunzi mmoja amesema: "kikundi cha wanafunzi 15 walikuwa wanasali wakati watu watatu walipowajia na kuanza kupiga makelele ya 'Jai Shri Ram' yaani [Salamu bwana Ram]. Walituzuia tusisali hapa”.
Mwanafunzi mmoja kutoka Afrika amesema: "hatuwezi kuishi hivi, tulikuja India kusoma na sasa tunashambuliwa kwa sababu ni wakati wa Ramadhani na kwa sababu Waislamu wanasali".

Tovuti ya habari ya Indian Express imeripoti kuwa wanafunzi wawili walijeruhiwa vibaya na wanaendelea kupata matibabu hospitalini baada ya wanafunzi kutoka Afghanistan, Uzbekistan, Sri Lanka, Bangladesh na nchi kadhaa za Afrika kushambuliwa.

Makundi ya Wahindu ya mrengo wa kulia yenye misimamo mikali na chuki za kidini yamekuwa yakiendesha kampeni za hujuma na mashambulio katika maeneo ya umma dhidi ya Waislamu wanaosali.

Mapema mwezi huu, askari polisi mmoja katika mji mkuu New Delhi alisimamishwa kazi baada ya kuwapiga mateke wanaume Waislamu waliokuwa wakisali kando ya barabara.
Daaah.... Hawa Wahindi katika Uislamu wameona hilo tu ndo la maana kuiga? Kushambulia imani za wenzao? Kuwaona wenzao ni Makafir? Hii dunia malipo ni hapa hapa.
 
Shehe, muhammad kasema anataka muingizo mwema shehe.

Theodore Jennings, in “The Man Jesus Loved“, might just have some such corroborating evidence, from the Gospel of Mark, and from infuriatingly fragmentary evidence from what just might be a lost, more extended version of that Gospel: something known as the “Secret Gospel” of Mark.

In the first part of the book, Jennings offer an extensive examination of the evidence from John’s Gospel, and concludes that yes, the evidence is clear: there was indeed an unusually intimate relationship between Jesus and the author of that Gospel (whom he does not believe was in fact John). But then he continues, to look for further evidence from the other Gospels.


In Mark, he first draws our attention to a well-known passage which is seldom remarked on for homoerotic associations – the story of the “rich young man”, drawing attention to the words of the text,:


Jesus, looking at him, loved him, and said….

Alone, this these words are not particularly remarkable, except that elsewhere in the Gospels, Jesus is not said to “love” specific individuals outside of the “beloved disciple” of John’s Gospel. It becomes more interesting though, when read together with some other lines from Mark . Jennings first discusses the curious matter of the “neaniskos“, or “naked young man”, in Jesus company in the Garden of Gethsemane:


And they all forsook him and fled.
And a youth (“neaniskos”) accompanied him, clothed in a linen cloth (“sindona”) over his nudity (“gumnos”). And they seized him. And he, leaving his linen cloth, fled nude (“gymnos”).

(Mark 14: 50 -52)


Who is this youth? What is he doing there?

Why has he stayed behind, “accompanying” Jesus, after all the others have fled (at least until he is seized, and then flees, naked).

Why is he so lightly clothed, that his garment can fall away so easily (the “sindoma” was not properly an item of clothing at all, but just a loose linen sheet)?

And why use a word, “gymnos” for nudity, which is strongly associated with the homoeroticism of the Greek gymnasium – where young men exercised naked, and older men came to admire them?
 
Dini ndio nini mkuu.....na Yesu ndio nani???? Maana kuna yesu wa kiarabu issa na yesu wa kiyahudi Emanuel.....au ndio unaomba uungwaji mkono na wafuasi wa Yesu 🤣🤣🤣🤣???
Sasa ukimtukana kwa kiarabu kua yeye kafiri....haisaidii kitu.
Sio lazima wote wafuate utamaduni wa kiarabu.
NB: MZEE 😂🤣🤣 UNADHANI UKIWATUKANA HAO NDIO WATABADILISHA DINI ZAO WAKUFUATE 🤣🤣

Lini Yesu aliitwa Emmanuel au unampakazia majina tu
 
Mkuu hujui kua wakirsto na wayahudi wanamuabudu mungi wa kiyahudi aitwae Yehova.....!!!
Hata iweje wakrsto.....lazima wawaunge mkono wayahudi sababu dini yao imetokana na wayahudi.
Wakristo na waarabu na dini ya kiarabu na mungu wa kiarabu allah...ni vitu viwili tofauti mkuu.
Kwa waislamu mkrsto ni kafri
Kwa wakrsto muislamu ni kafri
😂🤣🤣🤣🤣🤣


Was there a Jesus? Of course there was a Jesus – many!



The archetypal Jewish hero was Joshua (the successor of Moses) otherwise known as Yehoshua (Yeshua) bin Nun (‘Jesus of the fish’). Since the name Jesus (Yeshua or Yeshu in Hebrew, Iesous in Greek, source of the English spelling) originally was a title (meaning ‘saviour’, derived from ‘Yahweh Saves’) probably every band in the Jewish resistance had its own hero figure sporting this moniker, among others.


Josephus, the first century Jewish historian mentions no fewer than nineteen different Yeshuas/Jesii, about half of them contemporaries of the supposed Christ! In his Antiquities, of the twenty-eight high priests who held office from the reign of Herod the Great to the fall of the Temple, no fewer than four bore the name Jesus:

Jesus ben Phiabi, Jesus ben Sec, Jesus ben Damneus and Jesus ben Gamaliel.

Even Saint Paul makes reference to a rival magician, preaching ‘another Jesus’ (2 Corinthians 11,4). The surfeit of early Jesuses includes:

Jesus ben Sirach. This Jesus was reputedly the author of the Book of Sirach (aka 'Ecclesiasticus, or the Wisdom of Jesus the Son of Sirach'), part of Old Testament Apocrypha. Ben Sirach, writing in Greek about 180 BC, brought together Jewish 'wisdom' and Homeric-style heroes.


Jesus ben Pandira. A wonder-worker during the reign of Alexander Jannaeus (106-79 BC), one of the most ruthless of the Maccabean kings. Imprudently, this Jesus launched into a career of end-time prophecy and agitation which upset the king. He met his own premature end-time by being hung on a tree – and on the eve of a Passover. Scholars have speculated this Jesus founded the Essene sect.


Jesus ben Ananias. Beginning in 62AD, this Jesus had caused disquiet in Jerusalem with a non-stop doom-laden mantra of ‘Woe to the city’. He prophesied rather vaguely:


"A voice from the east, a voice from the west, a voice from the four winds, a voice against Jerusalem and the holy house, a voice against the bridegrooms and the brides, and a voice against the whole people."

– Josephus, Wars 6.3.


Arrested and flogged by the Romans, Jesus ben Ananias was released as nothing more dangerous than a mad man. He died during the siege of Jerusalem from a rock hurled by a Roman catapult.


Jesus ben Saphat. In the insurrection of 68AD that wrought havoc in Galilee, this Jesus had led the rebels in Tiberias ("the leader of a seditious tumult of mariners and poor people" – Josephus, Life 12.66). When the city was about to fall to Vespasian’s legionaries he fled north to Tarichea on the Sea of Galilee.


Jesus ben Gamala. During 68/69 AD this Jesus was a leader of the ‘peace party’ in the civil war wrecking Judaea. From the walls of Jerusalem he had remonstrated with the besieging Idumeans (led by ‘James and John, sons of Susa’). It did him no good. When the Idumeans breached the walls he was put to death and his body thrown to the dogs and carrion birds.


Jesus ben Thebuth. A priest who, in the final capitulation of the upper city in 69AD, saved his own skin by surrendering the treasures of the Temple, which included two holy candlesticks, goblets of pure gold, sacred curtains and robes of the high priests. The booty figured prominently in the Triumph held for Vespasian and his son Titus.
 
Dini ndio nini mkuu.....na Yesu ndio nani???? Maana kuna yesu wa kiarabu issa na yesu wa kiyahudi Emanuel.....au ndio unaomba uungwaji mkono na wafuasi wa Yesu 🤣🤣🤣🤣???
Sasa ukimtukana kwa kiarabu kua yeye kafiri....haisaidii kitu.
Sio lazima wote wafuate utamaduni wa kiarabu.
NB: MZEE 😂🤣🤣 UNADHANI UKIWATUKANA HAO NDIO WATABADILISHA DINI ZAO WAKUFUATE 🤣🤣


But then with so many Jesuses could there not have been a Jesus of Nazareth?


The problem for this notion is that absolutely nothing at all corroborates the sacred biography and yet this 'greatest story' is peppered with numerous anachronisms, contradictions and absurdities.

For example, at the time that Joseph and the pregnant Mary are said to have gone off to Bethlehem for a supposed Roman census, Galilee (unlike Judaea) was not a Roman province and therefore ma and pa would have had no reason to make the journey.

Even if Galilee had been imperial territory, history knows of no ‘universal census’ ordered by Augustus (nor any other emperor) – and Roman taxes were based on property ownership not on a head count. Then again, we now know that Nazareth did not exist before the second century.




It is mentioned not at all in the Old Testament nor by Josephus, who waged war across the length and breadth of Galilee (a territory about the size of Greater London) and yet Josephus records the names of dozens of other towns. In fact most of the ‘Jesus-action’ takes place in towns of equally doubtful provenance, in hamlets so small only partisan Christians know of their existence (yet well attested pagan cities, with extant ruins, failed to make the Jesus itinerary).


What should alert us to wholesale fakery here is that practically all the events of Jesus’s supposed life appear in the lives of mythical figures of far more ancient origin. Whether we speak of miraculous birth, prodigious youth, miracles or wondrous healings – all such 'signs' had been ascribed to other gods, centuries before any Jewish holy man strolled about. Jesus’s supposed utterances and wisdom statements are equally common place, being variously drawn from Jewish scripture, neo-Platonic philosophy or commentaries made by Stoic and Cynic sages.
 
Mkuu pemba hakuna mashoga????
Unamjua anti Abduly cheupe au yule demu anaesagana wa kipemba yupo anajiita Sofia Mtamu.....wewe????😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Au wewe wakuja haukai visiwani??
NB.....PEMBA HAKUNA WAKRSTO 😂🤣🤣🤣

Mimi namjua yule shoga Albert Kibuno wa kanisa katoliki pale minara miwili , aliyekuwa ofisa utawala akifanya kazi OKM akiwasaidia sana mabaharia kupata passport
 
Hao wameandamana au wamefanya insurgence??
Wahindu wanafanya insurgence.
Zanzibar toka miaka ya nyuma na Pemba ilizoeleka na kujijenga kuwa ni visiwa vyenye tamaduni za kiarabu na kiislam.
Ukiishi tofauti na wao lazima wang'ake kuwa unawaulia tamaduni zao.
Ila uliskia mtu Zanzibar kapigwa ama kuchomwa visu kisa anaenda kinyume na tamaduni za kule??
Kilichofanyika hapo ni sawa kinachofanyika ULAYA KWA MAANDAMANO YA LGBTQ KUWA WAPEWE HAKI ZAO NA ANAEWAPINGA AMEPINGANA NA TAMADUNI ZAO.
na wa hindu wanapinga kuharibiwa tamaduni zao huoni wote wapo sawa ni kama China tu serekali ilianza kuwafyeka waislam kwa sababu wanaharibu tamaduni zao

nimetuma point yako
 
Shehe, muhammad kasema live anataka kuingizwa mwingizo mwema na allah na akainama kabisa, aya nimeleta, nawewe naomba aya acha porojo.


JOHN 20:2

John the Evangelist: Beloved Disciple of Jesus —​





Jesus and Beloved Disciple in detail from study for The Last Supper by Becki Jayne Harrelson


John the Evangelist is commonly considered to be Jesus’ “Beloved Disciple” — and possibly his lover. His feast day is Dec. 27.
 
Yaani hawa watu ni kero, inabidi kuwavumilia sana, jamaa wanaamua kubinuka binuka na kunyanyua makalio katikati ya barabara kwenye nchi ya watu....
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom