Hii wewe umeipata wapi?Pakistan imesema inajitayarisha kujibu vita vilivyoanzishwa na India ndani ya mipaka yake huku ikitoa tangazo la kuzidondosha ndege 5 za kivita za India zilizoshiriki mashambulizi hayo.
Wakati huo huo jeshi la India limepeperusha bendera nyeupe mpakani na jimbo la Kashmir upande wa Pakistan ikiwa ni dalili ya kusalimu amri kwa vikosi vya India eneo hilo.Vikosi hivyo mbali na bendera hiyo vimetoweka eneo hilo la mpaka.Hiyo inaweza ikawa ni ishara mbaya kwa India katika eneo ambalo wakazi wake wengi ni wafuasi ya taifa la Pakistan.
Taarifa hiyo imetolewa na akaunti ya X ya wizara ya ulinzi ya Pakistan
Pakistan claims Indian army raised ‘white flag’ at border
Pakistan has claimed that Indian troops raised a white flag, a common symbol of surrender, at a military post along the border dividing Kashmir.
The Pakistani government made the claim on its official X account.
Pakistani Minister for Information and Broadcasting Attaullah Tarar echoed the claim on his X account, posting: “First they fled from the investigation, now they fled from the field.”aljazeera
Wapi wame andika ndege 5 zime angushwa ?Pakistan imesema inajitayarisha kujibu vita vilivyoanzishwa na India ndani ya mipaka yake huku ikitoa tangazo la kuzidondosha ndege 5 za kivita za India zilizoshiriki mashambulizi hayo.
Wakati huo huo jeshi la India limepeperusha bendera nyeupe mpakani na jimbo la Kashmir upande wa Pakistan ikiwa ni dalili ya kusalimu amri kwa vikosi vya India eneo hilo.Vikosi hivyo mbali na bendera hiyo vimetoweka eneo hilo la mpaka.Hiyo inaweza ikawa ni ishara mbaya kwa India katika eneo ambalo wakazi wake wengi ni wafuasi ya taifa la Pakistan.
Taarifa hiyo imetolewa na akaunti ya X ya wizara ya ulinzi ya Pakistan
Pakistan claims Indian army raised ‘white flag’ at border
Pakistan has claimed that Indian troops raised a white flag, a common symbol of surrender, at a military post along the border dividing Kashmir.
The Pakistani government made the claim on its official X account.
Pakistani Minister for Information and Broadcasting Attaullah Tarar echoed the claim on his X account, posting: “First they fled from the investigation, now they fled from the field.”aljazeera
Kwahiyo ukweli wa habari za kimataifa unazijua wewe tu!?? Asilete habari mwingine bila kupitia kwako uithibitishe kama ipo sahihi...Hii wewe umeipata wapi?
MOTOCHINI umeibuka tena mkuu, ulipotea sanaMpaka Sasa Ni 3
Kuuliza imekuwa kosa? Kutaka udhibitisho kwako dhambi? Ndiyo maana Mahmoud ABBAs aliwaita Mbwa nyie!!We mwanamke una matatizo ya akili...Jf wakupige sasa life Ban tumekuchoka ujue . Kwahiyo ukweli wa habari za kimataifa unazijua wewe tu!?? Asilete habari mwingine bila kupitia kwako uithibitishe kama ipo sahihi...halafu kwanini kila anaeleta habari za kimataifa wewe unamnathibisha na uislam eti? We mwehu kumbe?
Nimekosea wapi ili nijirekebishe?Unakosea sana ndugu.
Wapi umeonyeshaNaona umseshtushwa sana na matokeo ndani ya bahari nyekundu na huko India.Imekuwa hata kusoma unatetemeka.
Kila kitu nimekionesha hapo juu halafu unauliza nimepata wapi.
ndege hizo bei gani, maana kama ni ghali watafilisikaPakistan imesema inajitayarisha kujibu vita vilivyoanzishwa na India ndani ya mipaka yake huku ikitoa tangazo la kuzidondosha ndege 5 za kivita za India zilizoshiriki mashambulizi hayo.
Wakati huo huo jeshi la India limepeperusha bendera nyeupe mpakani na jimbo la Kashmir upande wa Pakistan ikiwa ni dalili ya kusalimu amri kwa vikosi vya India eneo hilo.Vikosi hivyo mbali na bendera hiyo vimetoweka eneo hilo la mpaka.Hiyo inaweza ikawa ni ishara mbaya kwa India katika eneo ambalo wakazi wake wengi ni wafuasi ya taifa la Pakistan.
Taarifa hiyo imetolewa na akaunti ya X ya wizara ya ulinzi ya Pakistan
Pakistan claims Indian army raised ‘white flag’ at border
Pakistan has claimed that Indian troops raised a white flag, a common symbol of surrender, at a military post along the border dividing Kashmir.
The Pakistani government made the claim on its official X account.
Pakistani Minister for Information and Broadcasting Attaullah Tarar echoed the claim on his X account, posting: “First they fled from the investigation, now they fled from the field.”aljazeera
#BREAKING - 🇵🇰‼️🇮🇳 India has lost a Rafale fighter jet tonight, shot down by Pakistan.Wapi wame andika ndege 5 zime angushwa ?
Mkuu, Marekani kawaambia wapigane. Sababu wataelezwa baadaye. 🙂Hao nao ni wapuuzi wengine, sasa wanapigania nini? Huko ni kutiana hasara tu