India yapoteza ndege 5 za kivita katika siku ya mwanzo ya vita

Pakistan imesema inajitayarisha kujibu vita vilivyoanzishwa na India ndani ya mipaka yake huku ikitoa tangazo la kuzidondosha ndege 5 za kivita za India zilizoshiriki mashambulizi hayo.

Wakati huo huo jeshi la India limepeperusha bendera nyeupe mpakani na jimbo la Kashmir upande wa Pakistan ikiwa ni dalili ya kusalimu amri kwa vikosi vya India eneo hilo.Vikosi hivyo mbali na bendera hiyo vimetoweka eneo hilo la mpaka.Hiyo inaweza ikawa ni ishara mbaya kwa India katika eneo ambalo wakazi wake wengi ni wafuasi ya taifa la Pakistan.

Taarifa hiyo imetolewa na akaunti ya X ya wizara ya ulinzi ya Pakistan

Pakistan claims Indian army raised ‘white flag’ at border​

Pakistan has claimed that Indian troops raised a white flag, a common symbol of surrender, at a military post along the border dividing Kashmir.
The Pakistani government made the claim on its official X account.
Pakistani Minister for Information and Broadcasting Attaullah Tarar echoed the claim on his X account, posting: “First they fled from the investigation, now they fled from the field.”aljazeera
Lazima Pakistan italipiza hili shambulio, hawa wanahitaji shinikizo la madola makubwa huu mzozo usiongezeke zaidi.

T14 Armata
 
Tummpasihaaaaaeeeeee janeja janejaaaaaa kuchi kuchiiii hooooutaaaaeeeeee , naliona jeshi la India lishaanza masongi mazito mazito hapa wakati huo huo jeshi la Pakistan linachagua askari wa kujitoa muhanga ama kweli ya leo kali magaidi undavandava vs kuch kuuuich hottaaaee
 
Pakistan imesema inajitayarisha kujibu vita vilivyoanzishwa na India ndani ya mipaka yake huku ikitoa tangazo la kuzidondosha ndege 5 za kivita za India zilizoshiriki mashambulizi hayo.

Wakati huo huo jeshi la India limepeperusha bendera nyeupe mpakani na jimbo la Kashmir upande wa Pakistan ikiwa ni dalili ya kusalimu amri kwa vikosi vya India eneo hilo.Vikosi hivyo mbali na bendera hiyo vimetoweka eneo hilo la mpaka.Hiyo inaweza ikawa ni ishara mbaya kwa India katika eneo ambalo wakazi wake wengi ni wafuasi ya taifa la Pakistan.

Taarifa hiyo imetolewa na akaunti ya X ya wizara ya ulinzi ya Pakistan

Pakistan claims Indian army raised ‘white flag’ at border​

Pakistan has claimed that Indian troops raised a white flag, a common symbol of surrender, at a military post along the border dividing Kashmir.
The Pakistani government made the claim on its official X account.
Pakistani Minister for Information and Broadcasting Attaullah Tarar echoed the claim on his X account, posting: “First they fled from the investigation, now they fled from the field.”aljazeera
Hamna mahali umeandika and prove ndege vita tano zimepotew, and also hakuna wanao claim white flag ni pakistan, but india hawajasema kitu?

Habari haijakamilika
 
Tatizo mkisikia Pakistani mnajuwa ni kama nchi zenu za Afrika,Pakistani ni watu wabaya na Taifa himara sema siasa ndiyo zinawayumbisha.India ataomba poo na yeye ndiyo atakuwa muathirika mkuu katika vita hii.
 
Lazima Pakistan italipiza hili shambulio, hawa wanahitaji shinikizo la madola makubwa huu mzozo usiongezeke zaidi.

T14 Armata
Porojo zitaendelea hivihivi ghafla utashangaa majeshi ya India yapo ndani ya Pakistan na majenerali wa Pakistan wametoroka na familia zao kwenda Uingereza.

Tupo hapa. India ikipigwa na Pakistan nafuta account.
 
Nimekosea wapi ili nijirekebishe?
Kutukana na kudhihaki dini za wengine.

Japo umeshaifuta comment yako ya dhihaka.

Wahenga walisema unapofika Vatican basi kubali kuishi na tabia za ki Vatican . Kwahiyo na wewe humu jitahidi kuishi kwa tabia za Staha na ustaarabu. Toa hoja kinzani pasipo kudhihaki utu au dini ya wenzako
 
Porojo zitaendelea hivihivi ghafla utashangaa majeshi ya India yapo ndani ya Pakistan na majenerali wa Pakistan wametoroka na familia zao kwenda Uingereza.

Tupo hapa. India ikipigwa na Pakistan nafuta account.
Kupigana full war sidhani, ila haya mashambulizi ya hapa na pale yatatawala kwa muda.
 
Kuna Watu wanalinganishaga BRICS na NATO sijui na nani...
Wahindi hiyo Dini yao ya Kihindu huwa inawafundisha mentality ya Kitumwa.

Hao wote ni Watu wa BRICS

Yaani India ni Wahindi ni scam masters, matapeli wa Dunia kuendesha ndege vita wamejulia wapi?

Unakuta hao marubani hata kazi walipata kwa kufake fake
Sasa mkuu BRICS na NATO wapi na wapi?
 
Umenifanya ni-Google kuangalia wanajeshi wa india wapojewapoje maana wanaume wahindi wanaonekanaga mchelemchele sana
 
Kutukana na kudhihaki dini za wengine.

Japo umeshaifuta comment yako ya dhihaka.

Wahenga walisema unapofika Vatican basi kubali kuishi na tabia za ki Vatican . Kwahiyo na wewe humu jitahidi kuishi kwa tabia za Staha na ustaarabu. Toa hoja kinzani pasipo kudhihaki utu au dini ya wenzako
Mimi sijafuta comment yoyote Ina maana na wewe Una tabia za uongo uongo kama Webabu kwa hiyo ni walewale tu waongo waongo!!
 
Bara ambalo halina vita kwa sasa ni amerika ukiacha washenzi wa haiti. Afrika na asia mwendo ni mnyukano tu, kuna sudan, congo dr, urusi na ukraine, gaza, yemen kwa wahuni wa houthi. Ulaya haina vita kwa upande wao wa magharibi.
 
#BREAKING - 🇵🇰‼️🇮🇳 India has lost a Rafale fighter jet tonight, shot down by Pakistan.

Villagers in Aklian Kalan, Punjab, captured footage of a French MICA missile still attached to its launcher. The site is just 20 km from Bathinda Air Force Station, home to No. 17 Rafale and No. 380 NETRA squadrons.
RAfale kazi ya mfaransa
 
Bara ambalo halina vita kwa sasa ni amerika ukiacha washenzi wa haiti. Afrika na asia mwendo ni mnyukano tu, kuna sudan, congo dr, urusi na ukraine, gaza, yemen kwa wahuni wa houthi. Ulaya haina vita kwa upande wao wa magharibi.
Janga
 
Mwenyewe sitarajii full scare war ila sitoshangaa maana wameishapigana multiple times. Kitu sitarajii ni matumizi ya nukes
Pakistan wana air defense nzuri kwa sasa, nadhani China ndio muuzaji mkubwa wa silaha kwao.

India japo imenunua Rafale za Ufaransa bado air force yake haijawa 'battle tested' kwa muda mrefu na uzoefu hawana mkubwa tofauti na Pakistan.
 
Back
Top Bottom