T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
India ndio inafanya mashambulizi ya anga ndani ya Pakistan. Kwahiyo ni ama uone kazi ya ndege za India au uone kazi ya AD za Pakistan.Pakistan wana air defense nzuri kwa sasa, nadhani China ndio muuzaji mkubwa wa silaha kwao.
India japo imenunua Rafale za Ufaransa bado air force yake haijawa 'battle tested' kwa muda mrefu na uzoefu hawana mkubwa tofauti na Pakistan.
Don't expect kuona kazi ya Indian Air Defense wakati haijaribiwi.
Pakistan wakirusha ndege zao anga la India ndio uone wao na India nani anaweza sumbua anga la mwenzake.