Lazima Pakistan italipiza hili shambulio, hawa wanahitaji shinikizo la madola makubwa huu mzozo usiongezeke zaidi.Pakistan imesema inajitayarisha kujibu vita vilivyoanzishwa na India ndani ya mipaka yake huku ikitoa tangazo la kuzidondosha ndege 5 za kivita za India zilizoshiriki mashambulizi hayo.
Wakati huo huo jeshi la India limepeperusha bendera nyeupe mpakani na jimbo la Kashmir upande wa Pakistan ikiwa ni dalili ya kusalimu amri kwa vikosi vya India eneo hilo.Vikosi hivyo mbali na bendera hiyo vimetoweka eneo hilo la mpaka.Hiyo inaweza ikawa ni ishara mbaya kwa India katika eneo ambalo wakazi wake wengi ni wafuasi ya taifa la Pakistan.
Taarifa hiyo imetolewa na akaunti ya X ya wizara ya ulinzi ya Pakistan
Pakistan claims Indian army raised ‘white flag’ at border
Pakistan has claimed that Indian troops raised a white flag, a common symbol of surrender, at a military post along the border dividing Kashmir.
The Pakistani government made the claim on its official X account.
Pakistani Minister for Information and Broadcasting Attaullah Tarar echoed the claim on his X account, posting: “First they fled from the investigation, now they fled from the field.”aljazeera
Kwenye QuranWapi wame andika ndege 5 zime angushwa ?
Hamna mahali umeandika and prove ndege vita tano zimepotew, and also hakuna wanao claim white flag ni pakistan, but india hawajasema kitu?Pakistan imesema inajitayarisha kujibu vita vilivyoanzishwa na India ndani ya mipaka yake huku ikitoa tangazo la kuzidondosha ndege 5 za kivita za India zilizoshiriki mashambulizi hayo.
Wakati huo huo jeshi la India limepeperusha bendera nyeupe mpakani na jimbo la Kashmir upande wa Pakistan ikiwa ni dalili ya kusalimu amri kwa vikosi vya India eneo hilo.Vikosi hivyo mbali na bendera hiyo vimetoweka eneo hilo la mpaka.Hiyo inaweza ikawa ni ishara mbaya kwa India katika eneo ambalo wakazi wake wengi ni wafuasi ya taifa la Pakistan.
Taarifa hiyo imetolewa na akaunti ya X ya wizara ya ulinzi ya Pakistan
Pakistan claims Indian army raised ‘white flag’ at border
Pakistan has claimed that Indian troops raised a white flag, a common symbol of surrender, at a military post along the border dividing Kashmir.
The Pakistani government made the claim on its official X account.
Pakistani Minister for Information and Broadcasting Attaullah Tarar echoed the claim on his X account, posting: “First they fled from the investigation, now they fled from the field.”aljazeera
Porojo zitaendelea hivihivi ghafla utashangaa majeshi ya India yapo ndani ya Pakistan na majenerali wa Pakistan wametoroka na familia zao kwenda Uingereza.Lazima Pakistan italipiza hili shambulio, hawa wanahitaji shinikizo la madola makubwa huu mzozo usiongezeke zaidi.
T14 Armata
Kutukana na kudhihaki dini za wengine.Nimekosea wapi ili nijirekebishe?
Kupigana full war sidhani, ila haya mashambulizi ya hapa na pale yatatawala kwa muda.Porojo zitaendelea hivihivi ghafla utashangaa majeshi ya India yapo ndani ya Pakistan na majenerali wa Pakistan wametoroka na familia zao kwenda Uingereza.
Tupo hapa. India ikipigwa na Pakistan nafuta account.
Sasa mkuu BRICS na NATO wapi na wapi?Kuna Watu wanalinganishaga BRICS na NATO sijui na nani...
Wahindi hiyo Dini yao ya Kihindu huwa inawafundisha mentality ya Kitumwa.
Hao wote ni Watu wa BRICS
Yaani India ni Wahindi ni scam masters, matapeli wa Dunia kuendesha ndege vita wamejulia wapi?
Unakuta hao marubani hata kazi walipata kwa kufake fake
Kitu kinachoweza kuwasaidia ni idadi yao.. ila ukiwapelekea moto, Wahindi wanaogopa ugomviUmenifanya ni-Google kuangalia wanajeshi wa india wapojewapoje maana wanaume wahindi wanaonekanaga mchelemchele sana
Mimi sijafuta comment yoyote Ina maana na wewe Una tabia za uongo uongo kama Webabu kwa hiyo ni walewale tu waongo waongo!!Kutukana na kudhihaki dini za wengine.
Japo umeshaifuta comment yako ya dhihaka.
Wahenga walisema unapofika Vatican basi kubali kuishi na tabia za ki Vatican . Kwahiyo na wewe humu jitahidi kuishi kwa tabia za Staha na ustaarabu. Toa hoja kinzani pasipo kudhihaki utu au dini ya wenzako
Mwenyewe sitarajii full scare war ila sitoshangaa maana wameishapigana multiple times. Kitu sitarajii ni matumizi ya nukesKupigana full war sidhani, ila haya mashambulizi ya hapa na pale yatatawala kwa muda.
kah! Hii kaliMkuu, Marekani kawaambia wapigane. Sababu wataelezwa baadaye. 🙂
RAfale kazi ya mfaransa#BREAKING - 🇵🇰‼️🇮🇳 India has lost a Rafale fighter jet tonight, shot down by Pakistan.
Villagers in Aklian Kalan, Punjab, captured footage of a French MICA missile still attached to its launcher. The site is just 20 km from Bathinda Air Force Station, home to No. 17 Rafale and No. 380 NETRA squadrons.
JangaBara ambalo halina vita kwa sasa ni amerika ukiacha washenzi wa haiti. Afrika na asia mwendo ni mnyukano tu, kuna sudan, congo dr, urusi na ukraine, gaza, yemen kwa wahuni wa houthi. Ulaya haina vita kwa upande wao wa magharibi.
Pakistan wana air defense nzuri kwa sasa, nadhani China ndio muuzaji mkubwa wa silaha kwao.Mwenyewe sitarajii full scare war ila sitoshangaa maana wameishapigana multiple times. Kitu sitarajii ni matumizi ya nukes
Changia kiungwana boss. Maisha yenyewe mafupi ukizoea lugha zinazokosa staha si nzuri sana isitoshe sie wote watu wazima.Kuuliza imekuwa kosa? Kutaka udhibitisho kwako dhambi? Ndiyo maana Mahmoud ABBAs aliwaita Mbwa nyie!!