T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
India ndio inafanya mashambulizi ya anga ndani ya Pakistan. Kwahiyo ni ama uone kazi ya ndege za India au uone kazi ya AD za Pakistan.Pakistan wana air defense nzuri kwa sasa, nadhani China ndio muuzaji mkubwa wa silaha kwao.
India japo imenunua Rafale za Ufaransa bado air force yake haijawa 'battle tested' kwa muda mrefu na uzoefu hawana mkubwa tofauti na Pakistan.
Duniani kuna upumbavu sana, kila siku kugombania jimbo la kashmir, kwani hilo jimbo lina utajiri kiasi gani, si alichukue mmoja tu yaishe!Hao nao ni wapuuzi wengine, sasa wanapigania nini? Huko ni kutiana hasara tu
Je ni hizi Zelensky alizokuwa akizililia apelekewe ?#BREAKING - 🇵🇰‼️🇮🇳 India has lost a Rafale fighter jet tonight, shot down by Pakistan.
Villagers in Aklian Kalan, Punjab, captured footage of a French MICA missile still attached to its launcher. The site is just 20 km from Bathinda Air Force Station, home to No. 17 Rafale and No. 380 NETRA squadrons.
Kwa ujinga ulionao umeona nilivyotukanwa si hoja na umeona mimi ndiye mkosa. Ulipaswa pia kumwambia aliyeporomosha kashfa kwangu.Changia kiungwana boss. Maisha yenyewe mafupi ukizoea lugha zinazokosa staha si nzuri sana isitoshe sie wote watu wazima.
Ndege na meli za kivita vinazidi kudhihiri kuwa si silaha tena za kujidai katika uwanja wa vita.India ndio inafanya mashambulizi ya anga ndani ya Pakistan. Kwahiyo ni ama uone kazi ya ndege za India au uone kazi ya AD za Pakistan.
Don't expect kuona kazi ya Indian Air Defense wakati haijaribiwi.
Pakistan wakirusha ndege zao anga la India ndio uone wao na India nani anaweza sumbua anga la mwenzake.
Kiburi si maungwana boss. Samahani sanaKwa ujinga ulionao umeona nilivyotukanwa si hoja na umeona mimi ndiye mkosa. Ulipaswa pia kumwambia aliyeporomosha
na wanaogopa sana polisi sijui ni kwanini...😎Kitu kinachoweza kuwasaidia ni idadi yao.. ila ukiwapelekea moto, Wahindi wanaogopa ugomvi
Wew uko wapi mda huu? Upo India au Pakistani?Tatizo mkisikia Pakistani mnajuwa ni kama nchi zenu za Afrika,Pakistani ni watu wabaya na Taifa himara sema siasa ndiyo zinawayumbisha.India ataomba poo na yeye ndiyo atakuwa muathirika mkuu katika vita hii.
Kunya anye kuku akinya bata mnasema kaharisha!! Mimi nimekubali!!Kiburi si maungwana boss. Samahani sana
Hilo ndiyo suluhisho, wawaambie wananchi wa Kashmir wapige kura wanataka kuwa nchi gani.Kama ikipigwa kura litakwenda Pakistan bila tabu.
Toka lini umekuwa mke wangu?We dada kumbe una matusi eenh
Wewe jamani nati kweli.Tummpasihaaaaaeeeeee janeja janejaaaaaa kuchi kuchiiii hooooutaaaaeeeeee , naliona jeshi la India lishaanza masongi mazito mazito hapa wakati huo huo jeshi la Pakistan linachagua askari wa kujitoa muhanga ama kweli ya leo kali magaidi undavandava vs kuch kuuuich hottaaaee
😄😄😄😄Wewe jamani nati kweli.
Hivi ni wewe uliandikaga ile statement kwenye uzi wa Urusi vs Ukreni 2022?
Eti askari wa Putin wanasonga mbele kuelekea Kiev, Putin anawapigia simu warudi ila hawataki kuelewa kitu. hahahaha