Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?


Nashukuru Sana Mkuu.

Moja ya vitu ambavyo najivunia ni uwezo wa kupokea maoni ya wengine positive bila kuchukia wanaotoa mitazamo Yao kunihusu au kuhusu mada fulani.

Mimi naamini Kila MTU anauelewa wake na mtazamo wake. Na ninaheshimu mitazamo ya wengine hata kama sikubaliani nayo.

Naamini katika Uhuru wa mawazo.
Ndio maana mimi sijawahi kumpiga MTU block wala kumu-ignore kwani natambua utofauti wetu
 
🤝❤️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…