raraa reree ni I'd yangu ya zamani bwashee ๐ kaa kwa kutulia jf ni kichaka๐Zilikuwa zama za raraa reree na sasa ni zama za min -me, hakika mbio za sakafuni huishia ukingoni!!
wew umeshuhudia zama zote babu yangu,, umesingiziwa na kusuruhisha mambo humu JF,, nitawaandalia majoho yenu wew na babu Grahams maan bado mpo gado na hamtaki kubadili i'd ๐ค๐๐Zama za kina win-one, Seran, Chica Gee, et al
Zilipita zama za Kaunga, Kongosho, Lady doctor
Zikaja zama za Atoto, Evelyn Salt...
Kila zama na kitabu chake, hakika wakati ukuta, kumbe watu wanaweza kupoteza ham hata ya kitu wanachopenda zaidi, ikiwa papa tu inachosha, unadhani nini hakichoshi๐
Dah.. Yaani kuna siku nasi hatutakuwepo๐ญZama za kina win-one, Seran, Chica Gee, et al
Zilipita zama za Kaunga, Kongosho, Lady doctor
Zikaja zama za Atoto, Evelyn Salt...
Kila zama na kitabu chake, hakika wakati ukuta, kumbe watu wanaweza kupoteza ham hata ya kitu wanachopenda zaidi, ikiwa papa tu inachosha, unadhani nini hakichoshi๐
Sisi ndio sisi bwashee najivunia sana kuwa na wana wa mvinyo natumani nikifa hamta acha niwanukie๐Niko Ushagoo huku.. Jana nilikula makali tupu๐
Mzee ana sound kama kijana wa miaka ya 90 ๐ anakuja ana kataa ๐Zama za Mshana Jr hazijapata mbadala bado๐
Msibani hatutalia tu ta celebrate kwa mda wako ulikuwa nasi japo anaweza kufa yeyote mzee au kijana au kichangaDah.. Yaani kuna siku nasi hatutakuwepo๐ญ
hana namjua huyo,, mishangazi ishamkamua kila kitu๐๐๐๐๐Muelese ana ngufu ?? ๐
Bwashee nipo hapa umatumbini nakunywa bia bila kulewa vizuri, nimezingirwa na wachumba wakifikiria nitanunua bia kabla sijalewa mimi kwanza๐ ๐Zilikuwa zama za raraa reree na sasa ni zama za min -me, hakika mbio za sakafuni huishia ukingoni!!
Unazeeka kwa mtindo wa ki Gnz naogopa lakini Dad ile issue ๐ฅน๐Haha๐ Daughter age go๐ฅฑ
Sisi wwngine tangu siku ya kwanza tunajulikana ni wachangiaji (contributors) lkn sio thread starter,kupitia mchango wangu unaweza kupata kitu kikubwa kuliko ningeanzisha uzi maana siwez kuanzisha,lakini naamin hata comment yangu ni jambo jipya na ina nguvu kama vile thread ya mtu x..Mfano mwingine ya watu ambao hawaanzishi thread ila comments zao zina vitu vipya ni kama mrangi Heaven Sent baba mwajuma nkJipya litakuaje kama haulileti wewe mkuu
๐คHebu uje tuongee nikitoka kutoa lock daughter
Ni kweli kabisa , na hata mimi nipo kama wewe , ila kiuhalisia kabisa jf inajengwa na wadau na wewe ni mdauSisi wwngine tangu siku ya kwanza tunajulikana ni wachangiaji (contributors) lkn sio thread starter,kupitia mchango wangu unaweza kupata kitu kikubwa kuliko ningeanzisha uzi maana siwez kuanzisha,lakini naamin hata comment yangu ni jambo jipya na ina nguvu kama vile thread ya mtu x..Mfano mwingine ya watu ambao hawaanzishi thread ila comments zao zina vitu vipya ni kama mrangi Heaven Sent baba mwajuma nk