Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Coming from an expert๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Hata najua basi na win-one someni hii kwa vituo
nimemuelewa kwa herufi kubwa hii kitu naielewa mnoo,, kuna kipindi flani hivi member deshi deshi alitrend mnooo kila uzi alikua anatajwa,, wanaume walijimaliza sana ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… sifa zilikua kedekede akipost vikucha tu like zilikua zinamwagika kama zote,,, ila saivi sijui imekuaje maskini๐Ÿ˜ช kapoteaaaa na hata akionekana sio kama mwanzo,, tuseme ndo mlimkinai au๐Ÿคญ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜,,,, kunao wengine pia kule selfika,, aah hebu nikae kimya
 
min -me ni expert kwenye eneo hili amesema vizuri, unatemwa kama "bazoka"!!
 
upendo โค๏ธโค๏ธukufikie popote ulipo mrembo wa yesu๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ